Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Taarifa za mwanzo tuliambiwa Lissu kazuiliwa kutia mguu German na kwamba Kiongozi German alimpigia simu kiongozi wa Tanzania na kutoa ahadi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha mbolea.Upo uwezekano Lissu anaongelea kutokea Singida na si German.
 
April 2019
Berlin, Germany

Hon Tundu Lissu opposition leader of Tanzanian Chadema party talks about the failure and human right abuse of President John Magufulis government and also his aspiration to ascending the presidency someday.

Source : afrobizgermany Berlin
 
The Chif Whip Prominent Opposition Leader.
 
April 2019
Berlin, Germany

Hon Tundu Lissu opposition leader of Tanzanian Chadema party talks about the failure and human right abuse of President John Magufulis government and also his aspiration to ascending the presidency someday.

Source : afrobizgermany Berlin

Lissu The Greatest
 
Taarifa za mwanzo tuliambiwa Lissu kazuiliwa kutia mguu German na kwamba Kiongozi German alimpigia simu kiongozi wa Tanzania na kutoa ahadi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha mbolea.Upo uwezekano Lissu anaongelea kutokea Singida na si German.
[emoji12]
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Mbona mnaweweseka vp
 
Hakuna wasiojulikana mzee ukwel wote anaujua lisu na dereva wake ningemuona wamaana angerudi tz tuone atafanyajwe alete hoja za msingi kwa sis tunaoelewa lisu kuna kitu anajua na tena akisemà baadhi ya top layer yote ya chadem watakimbia kusadikika country
Yaani bado mnaongeaga tu hizo propaganda za hovyo na kitoto na kipuuzi?
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Kwanini haya maneno usiiambie serikali tukufu ya mr stone mkuu?
 
Back
Top Bottom