minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,509
- 22,529
Ukisikia Hard talk maana yake ni hiyo hiyo. Kila wakati TAML alikuwa kwenye firing line na Sackur hakumuuliza maswali ya kimtego ila alitaka tu najibu yaliyonyooka. TAML alijitahidi, pamoja na kuulizwa maswali ambayo ni objective, aliyajibu subjectively ili ujumbe ufike na wako wale wanaofikiri kwa kufanya hivyo alikosea. All in all nilifurahi tu kujua kuwa watu zaidi ya 320 milioni waliangalia kipindi kile.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wanahaha kila kona lakini 9 na 10 ulimwengu umetambua kuwa Tanganyika hakuna Utawala wa demokrasia, hata CCM wakija na mada za kujifariji haitasadia kitu kwani watanzania wengi wameamka wanajua Sinema zao zote.