Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,552
- 15,001
Mimi sio wa timu za mchangani! Mijadala ya comprehension ya maongezi niliifanya miaka lukuki iliyopita. Nilishatoka hiyo ngazi kitambo!
Baadhi ya wabongo wanaona kaongea point sababu ya lugha ila ukimchukua mtu ambaye english ni lugha yake asilia, atakwambia mbona jamaa alikuwa anaongea kwa mihemko tu, hajaongea kitu.
Huijui watu wa Hard talk wewe ?!. Muulize Mkapa alirusha ngumi huko [emoji12][emoji23][emoji1787]. Na ole wake Jiwe ajichanganye. Naamini utaona aibu.Rais wetu his actions speak, hamna haja ya kwenda huko. Kama unabisha muulize Steve Suckur, alikiwa kamletea lissu na ushahidi wa approval uliofanywa na observer wa nje. Yeye lissu alienda na maneno ya mdomoni.
Bila kujua kwa ufasaha lugha ya malkia ...interactions na dunia itakupita kushoto.Hivi kushabikia kingereza kama hoja nako kuna shiko kweli??? Karine ya 21??
bugs
Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine. Uingereza hata teja au kibaka anaongea Kiingereza vizuri kumshinda Lisu, ha ha ha. Ulimbukeni shida.Tundu Lissu Kasoma Shule Ya Msingi Mahambe, O-Level Ilboru Kisha Advance Galanosi Lakini Anahojiwa Nusu Saa Na Anaongea Kingereza Kilichonyooka Alafu Kuna Mtu Kasoma Mpaka PhD, Hajui kuongea Kingereza Ukimuuliza Kwanini Anakwambia "Mimi Mtoto Wa Maskini" Ndugu Wewe Ni MJINGA!!
Swali la ushoga mtego. Lissu kajibu kwa akili sana. Interviews kama Hard Talk ni ngumu jamani. Kama hauko vizuri kichwani au kama lugha inakupiga chenga, bora usiende. Kweli Tundu Lissu anajua kingereza na kichwani yuko vizuri. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Ndugai na Makonda hawajawahi kujihangaisha na Lissu - hata kwa kumuandikia ujumbe wa pole mbali ya kutokwenda kumuona hospital lakini leo wamekuwa wa kwanza kumtaka arudi Nchini. Wamejipa kazi ya Utabibu na Udaktari and in their medical opinion, TL ameshapona. Unafiki ulioje!
Rais wa zamani wa Marekani, Ronald Reagan, aliwahi kusema kwamba serikali huwa hazitatui matatizo bali huyapanga upya tu. Ukifikiri kwa undani,kuna ukweli dhahiri. Tizama matatizo yaliyopo leo. Hayakuwepo siku za nyuma? Kama yalikuwepo na bado yapo, serikali inatatua?
mr mkiki.
Ile acc kule twitter ni yako au ume copy tweet yake?Lugha Hiyo hiyo Ndio Inayotumika Kufundishia, Inatumika Bungeni, Inatumika Mahakamani, Ukienda Kuomba Kazi Hata Serikalini Lazima Uijue Alafu Wewe Unasema Kuijua Ni shiko kweli? Alafu Kama Huoni Aibu Mafanikio Unayoyapata Na hiyo Lugha Kwanini Uone Aibu Kujivunia? Have a strap
Sioni uhusiano na nilichoongea boss. Kijipange urudi. Niachie akina Misuli na akina Philipo ndio wana akili nzuri, ww nenda kwa wendawazimu wenzio.
Mpumbavu huogopa hata kitu ambacho in reality hakipo, hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuogopa Lissu anapofanya mazoezi ya kutembea? amelala kitandani miaka mingapi? Hivi akitoka Ubelgiji kwenda London ni nongwa?! Ubelgiji mpaka London ni jirani kabisa, kwa ndege ni mwendo wa dakika 45 tu, mlitaka asifanye hata mazoezi, ptu..!! Kama angetaka kuzungumza na mataifa mbalimbali si angezungumza na mabalozi wa nchi mbalimbali palepale! Au si angeitisha press conference palepale Ubelgiji mwandishi gani angekosa kwenda, watu waache upumbavu, badala ya kujadili mambo yenye tija kwa taifa, watu wanahangaika na kumjadili mgonjwa..!! Tutafika kweli? Huu ni udhaifu..!!Kwa nn tumpe public attention hivi? he is fact less, yaani pamoja na kuwa mbobezi wa sheria bado anathamini hisia zake binafsi kuliko facts zenye ushahidi?
Sasa sijui ataenda na marekani? sijui ataongea hivihivi pia..hahahaha
::sasa nataman achukue interview na Mzalendo Shaka wa VOA atambomoa bomoa..
:::::: ya lissu imekwisha sasa, tugeukie siasa zenye tija.
Viva Magufuli Viva Makonda Viva wazalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kujua kwa ufasaha lugha ya malkia ...interactions na dunia itakupita kushoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatutafutia wasiojulikana wewe. Yaani ukiwa mtoto wa masikini unakuwa na PhD bila English [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787].Tundu Lissu Kasoma Shule Ya Msingi Mahambe, O-Level Ilboru Kisha Advance Galanosi Lakini Anahojiwa Nusu Saa Na Anaongea Kingereza Kilichonyooka Alafu Kuna Mtu Kasoma Mpaka PhD, Hajui kuongea Kingereza Ukimuuliza Kwanini Anakwambia "Mimi Mtoto Wa Maskini" Ndugu Wewe Ni MJINGA!!
Swali la ushoga mtego. Lissu kajibu kwa akili sana. Interviews kama Hard Talk ni ngumu jamani. Kama hauko vizuri kichwani au kama lugha inakupiga chenga, bora usiende. Kweli Tundu Lissu anajua kingereza na kichwani yuko vizuri. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Ndugai na Makonda hawajawahi kujihangaisha na Lissu - hata kwa kumuandikia ujumbe wa pole mbali ya kutokwenda kumuona hospital lakini leo wamekuwa wa kwanza kumtaka arudi Nchini. Wamejipa kazi ya Utabibu na Udaktari and in their medical opinion, TL ameshapona. Unafiki ulioje!
Rais wa zamani wa Marekani, Ronald Reagan, aliwahi kusema kwamba serikali huwa hazitatui matatizo bali huyapanga upya tu. Ukifikiri kwa undani,kuna ukweli dhahiri. Tizama matatizo yaliyopo leo. Hayakuwepo siku za nyuma? Kama yalikuwepo na bado yapo, serikali inatatua?
mr mkiki.
There is no proof, even the presenter said you are a prominent figure anyone can be after you!Huijui watu wa Hard talk wewe ?!. Muulize Mkapa alirusha ngumi huko [emoji12][emoji23][emoji1787]. Na ole wake Jiwe ajichanganye. Naamini utaona aibu.
Lissu hawezi kumsema Maghufuli na serikali yake vizuri. Wao serikalini walitaka afe na si vinginevyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndivyo mnavymtasfiria JIWE ??#Mtangazaji: Mh. Lissu ni kweli ulipigwa Risasi 38? Mbona fatuma karume hivi karibuni alisema ulipigwa risasi 18, Mbowe alisema 22, Godbless Lema alisema 32 na mkeo Alicia alisema 17? Tumwamini nani?
#Lissu: Rais Magufuli ni wa ajabu sana kutokea katika historia ya Tanzania amezuia mikutano ya hadhara, na WATESI wetu ni CCM , tunataka Rais kama wa Rwanda huyu wetu dikteta sijapata kuona
#Mtangazajii: sijakuelewa kabisa Mh. Lissu, unamaanisha nini
#Lisu: Makamanda wako tayari kunipitisha niwe mgombea urais wa chadema 2020
Sijui tatizo lilikuwa ni Lugha iliyotumiwa na ndugu Mtangazaji kuwa ngumu sana au risasi ziliathiri pia ubongo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajikanyaga ww.. Usiyeelewa kizungu.. Intaperenew brza..Nimeangalia ile clup ya hard talk zaidi ya mara tatu. Sijaamini kile wazungu wamemfanyia jamaa. Alibaki anajikanyaga kanyaga tu bila kuwa na hoja zilizonyooka. Nasema ile interview imewaumbua sana chadema. Aibu yao wenyewe. Walitehemea maswali direct yenye mrengo wa kuiabisha nchi lakini jamaa alichokutana nacho ni hatari tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trilion 1.5 ipo wapi? Kujenga chato Airport kijijini ndiyo utendaji mzuri? Kupelekwa ndege Canada kutengeneza kwa bilion 13 ndiyo ku win utendaji mzuri? Kuwabambikia kesi kuzua mikutano ya siasa kula 10% ununuzi wa ndege ujenzi za reli nk ndiyo Utawala bora?