fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Aiseee usilinganishe uchafu na usafi, hata kama ni tone tu usilinganisheeee ya ufoji cheti uje ulinganishwe na Ilboru?
TUNDU LISU MUNGU KAMJAALIA VITU VINGU, MOSI; UJASIRI, PILI; AKILI NYINGI; TATU; UZALENDO. KWA KIZUNGU NIMEMWOGOPA. HIVI MAKONDA AU NDUGAI WAKIITWA KWENYE HARD TALK YA BBC ITAKUWAJE? NAJUA WATAOMBA WALAZWE HOSPITAL ILI WASIENDE.