Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,372
- 1,207
Sasa watu wazima wanamwogopea kitu gani, mwacheni afanye mazoezi yake aanze kutembea, daktari wake akiridhika kwamba kapona atamruhusu, shida iko wapi?Mtu yeyote anayemuona Tundu Lisu ana tija ni kama unakua umebeba ugonjwa kichwani
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Membe for 2020 dadeki! Mwanadiplomasia nguli huyu, jasusi! Au mwasemaje makamamda.Yani Mungu amembariki huyu mtu.Live long Lissu.Mungu akulinde daima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa sijaiona hiyo clip lakini sitaki kuamini kama Lisu anaweza akaongea ushuzi kama huo ulio uandika#Mtangazaji: Mh. Lissu ni kweli ulipigwa Risasi 38? Mbona fatuma karume hivi karibuni alisema ulipigwa risasi 18, Mbowe alisema 22, Godbless Lema alisema 32 na mkeo Alicia alisema 17? Tumwamini nani?
#Lissu: Rais Magufuli ni wa ajabu sana kutokea katika historia ya Tanzania amezuia mikutano ya hadhara, na WATESI wetu ni CCM , tunataka Rais kama wa Rwanda huyu wetu dikteta sijapata kuona
#Mtangazajii: sijakuelewa kabisa Mh. Lissu, unamaanisha nini
#Lisu: Makamanda wako tayari kunipitisha niwe mgombea urais wa chadema 2020
Sijui tatizo lilikuwa ni Lugha iliyotumiwa na ndugu Mtangazaji kuwa ngumu sana au risasi ziliathiri pia ubongo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda tuliza akili utaelewa tuKweli akili ni nywele,ndiyo umeandika nini sasa?
'You can do anything but not everything'
kingereza ni tatizoEti ushoga unalindwa na katiba...??
Kiingereza kimekupiga chenga sema tu ukweli . Hakuna mahali T A Lissu alipohamasisha Ushoga na Usagaji hakuna!!! Sema hujui English.Wale wataalamu wa kingereza nisaidieni hapa..au Mimi sijaelewa?
Kiukweli anawapa wakati mgumu sana vijana wa chadema.
Wamekimbiana hawajui pa kushika,walikuamini sana na walikupenda sana ila umewakatisha tamaa,najua watajibaraguza ila moyoni mwao umewaumiza sana
Najua mapovu yatawatoka coz hampendi kuambiwa ukweli ila lisu amekosea..ushoga sio tabia ya MTU mweusi...
..
Sent using Jamii Forums mobile app
In my opinion he did very well. Tena zaidi ya Mkapa, 2001 ..............!!
Hakumpa nafasi jamaa kucontrol discussion na kuwekwa kwenye kona .... Haya mengine ni propaganda tu kujaribu kumdiscredit!!
Alimaanisha wanaohonga ili washinde au wanaoiba kura mfano bao la mkonotundu lissu HAFAI WALA HATAKIWI NA MTANZANIA YEYOTE.
Muasisi wa Taifa la Tanzania , Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa tumuogope kama ukoma mtu anayetaka kwenda ikulu kwa gharama yeyote
Wale jamaa hawana NJAA !Ila wale jamaa wa BBC ni nomaaa ukienda na akili ndogo lazma ukione cha moto kama jamaa zetu wa mlengo wa kushoto nahis wangepaliwa na lugha