BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Aisee basi ni hatari
Sidhani kama inakusaidia, Lisu was very articulate! He was very fluent in English! The vocabrary was at the tip of the mouth and therefore could manage the interview well!#Mtangazaji: Mh. Lissu ni kweli ulipigwa Risasi 38? Mbona fatuma karume hivi karibuni alisema ulipigwa risasi 18, Mbowe alisema 22, Godbless Lema alisema 32 na mkeo Alicia alisema 17? Tumwamini nani?
#Lissu: Rais Magufuli ni wa ajabu sana kutokea katika historia ya Tanzania amezuia mikutano ya hadhara, na WATESI wetu ni CCM , tunataka Rais kama wa Rwanda huyu wetu dikteta sijapata kuona
#Mtangazajii: sijakuelewa kabisa Mh. Lissu, unamaanisha nini
#Lisu: Makamanda wako tayari kunipitisha niwe mgombea urais wa chadema 2020
Sijui tatizo lilikuwa ni Lugha iliyotumiwa na ndugu Mtangazaji kuwa ngumu sana au risasi ziliathiri pia ubongo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha, kazi kweli kweli.Aiseee!
Kujua kizungu nako kunahitaji kusifiwa, dah!
Ghadafi kasoma law uingereza...english anaija fika bt hakutaka tu kutumia lugha hii.....huyu wa kwetu haijui ndo maana anatumia code mixing ili tumuone anajuaGaddaf hakuijua hiyo lugha lakini alikuwa na sauti kwenye mikutano ya umoja wa mataifa
Lakum -diyinukum-waliyadiyn
Kwasababu unavyojua wewe 1+1=2 you might be wrong as well because 1+1=10Beauty is in the eye of the beholder! Period.
Mtu unaulizwa 3x6=? wewe unajibu 2+3=5, halafu kuna mwana wa Adam anakuona wewe bonge la genius! Hii dunia ina mambo kweli!
Hahaha walicho kitazamia kimekuwa pindu pindu#Mtangazaji: Mh. Lissu ni kweli ulipigwa Risasi 38? Mbona fatuma karume hivi karibuni alisema ulipigwa risasi 18, Mbowe alisema 22, Godbless Lema alisema 32 na mkeo Alicia alisema 17? Tumwamini nani?
#Lissu: Rais Magufuli ni wa ajabu sana kutokea katika historia ya Tanzania amezuia mikutano ya hadhara, na WATESI wetu ni CCM , tunataka Rais kama wa Rwanda huyu wetu dikteta sijapata kuona
#Mtangazajii: sijakuelewa kabisa Mh. Lissu, unamaanisha nini
#Lisu: Makamanda wako tayari kunipitisha niwe mgombea urais wa chadema 2020
Sijui tatizo lilikuwa ni Lugha iliyotumiwa na ndugu Mtangazaji kuwa ngumu sana au risasi ziliathiri pia ubongo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote anayemuona Tundu Lisu ana tija ni kama unakua umebeba ugonjwa kichwaniMpumbavu huogopa hata kitu ambacho in reality hakipo, hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuogopa Lissu anapofanya mazoezi ya kutembea? amelala kitandani miaka mingapi? Hivi akitoka Ubelgiji kwenda London ni nongwa?! Ubelgiji mpaka London ni jirani kabisa, kwa ndege ni mwendo wa dakika 45 tu, mlitaka asifanye hata mazoezi, ptu..!! Kama angetaka kuzungumza na mataifa mbalimbali si angezungumza na mabalozi wa nchi mbalimbali palepale! Au si angeitisha press conference palepale Ubelgiji mwandishi gani angekosa kwenda, watu waache upumbavu, badala ya kujadili mamba yenye tija watu wanahangaika na kumjadili mgonjwa, stupid..!!
*LISSU ATAABIKA SANA, AISHIA KUAIBIKA LONDON, ABANWA VIKALI NA KUTOA MAPOVU*
_NA Mwamba wa Kaskazini_
Leo ndio msemo kuwa Kiingereza sio maarifa umethibitika.
Tundu Lissu ana uwezo wa kutosha tu kuongea Kiingereza lakini asubuhi ya kuamkia leo kukosa maarifa kujawa na umbea, uongo na uzushi na uzandiki dhidi ya nchi yake kumemtokea puani akifanya mahojiano na Kipindi cha Hard Talk cha BBC.
Sikiliza haya.
*1.Aonesha Chuki Binafsi Kwa Magufuli*
Kosa la kwanza ni kutojadili hoja bali mtu.Kila alipoulizwa aliishia kutaja jina la Magufuli hata asipohusika.
Mtangazaji mzungu akabaki anashangaa na kumbana kwa maswali zaidi akaishia kutoa macho maskini.
*2.Lissu Hakutegema*
Hakika hata mimi sikutegema kama yule mzungu angefanya utafiti kiasi kile na kuyajua mengi ya Tanzania kiasi cha Lissu mwanzoni tu kubabaika na kuanza kuzusha uongo.
*3. Jaribio la kumdanganya Mzungu lakwama*
Baada ya kuzoea kuandika viwaraka vyake na kuwapa akina Martin Malera wa Tanzania Daima au Ibrahim Yamola wa Mwananchi leo Tundu Lissu kakutana na mwanahabari wa level nyingine.
Akajikuta anakosa ushahidi...anaambiwa unalalamika kila siku Serikali imekushambulia, unaushahidi gani anasema niliona gari inanifuatafuata, mzungu akambana kwani gari ziko ngapi na mtu yeyote si anaweza kukufuatilia kwani umeshafanya kazi ngapi za kukuweka katika risk ikiwemo kuwa wakili, Lissu akajikuta anakiri kuwa ni kweli hana ushahidi wa moja kwa moja bali ushahidi wa mazingira.
Asante sana mzungu, huyu Bwana leo baada ya mbwembwe nyingi sasa kakiri hana ushahidi zaidi ya mazingira tu ambayo pia yanaweza kuonesha chama chake kinahusika au hata dereva wake.
*4.Akosa maarifa kwenye madini*
Maskini hapa ndio jamaa alitoa mimacho tu baada ya mzungu kumbana kuwa yeye alipigania sana masuala ya nchi kufaidika na madini haoni kuwa JPM anachukua hatua nzuri?
Kwa hakika na mimi hapa nilipoteza Kiingereza changu[emoji3][emoji3]Sikumbuki hata Lissu alikuwa anajibu nini, aliishia maskini kutaabika na kuruka ruka huku na kule.Mzungu akaona isiwe shida, akahamisha mada!
Kwa kifupi hapa Lissu alijikuta anatamani kumpinga Magufuli, lakini pia akawaza anampinga kwa lipi?Kurekebisha mikataba ili nchi ifaidike? Akabaki anataja taja tu majina mara uwanja wa ndege Chato wakati nchi nzima vjwanja zaidi ya 15 vinajengwa[emoji3][emoji3]
*5.Mtangazaji aamua kutaja mwenyewe mazuri ya Tanzania.*
Baada ya kuona Lissu hana analolikubali katika nchi yake mzungu wa watu akaamua kutaja mwenyewe mageuzi makubwa yanayoendelea Tanzania.
Akataja mapambano dhidi ya rushwa, akataja kuongezeka kwa mapato akataja kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kijamii na miundombinu.
Usiniulize wakati wote huu mzungu anashusha nondo Lissu alikuwa kwenye hali gani[emoji3][emoji3]Kumbuka mwenyewe kisa cha chura aliyebanwa na mlango[emoji3]
*6. Atoa mfano wa kitoto, wamuumbua*
Akieleza kwa nini wapinzani wenzake wamekuwa wakirejea CCM kuunga mkono juhudi za JPM Lissu aliishia kirusha matuhuma ambayo hadi mtangazaji akamuonya aache kuropoka bil ushahidi.
Lakini yotrme hii ni kwamba alishachanganyikiwa. Sasa sikia hii: akapewa mfano wa Masha aliyetoka CCM na kwenda upinzani (ingawa badae alirudi CCM) kama naye alihongwa huko upinzani? Usiniulize Lissu alikuwa katika hali gani hapa tena[emoji3]
*7.Akata fahamu, aunga mkono ushoga*
Akiwa hoi bin taaban na kisaikolojia akionekana mtu anayetamani mahojiano yaishe tu, Lissu akaulizwa ukiwa kiongozi wa upinzani na siku ukiingia Ikulu utafuta sheria zinazoelezwa kuwa kandamizi zinazoufanya ushoga kuwa kosa la jinai?
Maskini, mwisho wa zama ukatimia, baba la watu likajikanyagaaaa mwishowe likaingia kingi eti litafuta sheria zote zinazozuia ushoga nchini.Maweeeee[emoji17]
Rasmi Lissu kaunga mkono ushoga. Hakika ametaabika sana.
Kwa nini utaabike lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchini kwetu hapa wapungufu wa akili mko wengi kweli aisee,sema basi tu kwa kua tuna na dini pia ngoja tuheshimiane tuLisu president 2020, dictator uchwara out
"Ndio maana his excellency juzi kasema hatokuja kutokea mtu kama yeye hapa TZ na duniani wa kutatua shida zao".Asilimia kubwa ya watanzania ni mafala mfano huyo jamaa
Ndio maana his excellency juzi kasema hatokuja kutokea mtu kama yeye hapa TZ na duniani wa kutatua shida zao.
Sent using Jamii Forums mobile app