Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

For the first time Maelezo haya kuhusu Mh.Tundu Lissu hayana watu wanaomusapoti? Imekuwaje sasa? Nyie watu ndo munasema 2020 agombee uraisi wa nchi kweli hamutasahau kumpigia kura? Nilitegemea comment zakumutia moyo lakini munapita tu kama hamuoni majibu ya Mh.wetu? Yetu macho .......
Neno kuntu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna cha kunifundisha viwango vyako ni vya wanafunzi wa shule za kata, wale mnaowambia mwenge unaleta maendeleo.
Level yangu ni kufundisha wanafunzi level ya degree kama nikiamua. Kwa wewe naona huitaj kufundishwa, ni kukupa timed test tu.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Utashitakiwa huko MIGA umezuia maslahi gani ya mzungu? Hao Acacia na Barrick mpaka leo wapo na hawajalipa hata shilingi na bado wanaendelea na shughuli zao. Wakushitaki kwa lipi? Hakuna kiongozi yoyote ambaye hajawahi kuifaa nchi, bali ni kiwango gani anaifaa nchi hilo ndio jambo la msingi. Hata Hitler aliifaa nchi yake japo aliwaingiza matatizoni.
Kamanda Tundu alipiga ramli hiyo,hukumbuki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL was very composed..
Mkuu, Ulitaka amuongelee vizuri mtu alietaka kumuuwa??hahahahahaha.

Zaidi ya hapo hawa Waandishi wa Habari Wazungu wanapouliza maswali lazima wakutingishe sana ili wapate your innerself but TL was very composed..huwezi compare Hard Talk aliyofanyiwa Mkapa na PK..walitaka kurusha ngumi studio.
Kote huko usiende mkuu we rudi kwenye HARDtalk ya Mkapa ndio utajua Lissu ulikuwa very very composed.
 
Ni Ushoga unawasumbua (Si wanatetea ajenda ya ushoga hao), nahisi walikuwa wamepeleka vimbelembele vyao wakiwa na hisia kuwa wazungu watawapenda (akili za mashoga), wamekuta wazungu wana data za kutosha (The wazunguz have already researched and retain comprehensive information, even before they set for live TV interview appointment), Tanzania tutashuhudia mambo mengi sana kutoka kwa wachumia tumbo , kipindi hiki cha Kamanda JPM, watu wanajitoa akili kabisa... Ile HARDtalk ya Lissu nahisi anajuta kukutana na Stephen, maana amepigwa maswali ya kutosha hadi kachanganyikiwa akaamua kukunja sura tuu. Hahahahahahahahahahaaaaahh...Inflammatory information and baseless allegations.
Kabisa Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Level yangu ni kufundisha wanafunzi level ya degree kama nikiamua. Kwa wewe naona huitaj kufundishwa, ni kukupa timed test tu.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Ni kweli maana hawa wa degree siku hizi hata kuandika barua ya kuomba kazi ni kizungumkuti.
 
HARD TALK..... hawataki kukuweka kwenye comfort zone


Wanachotaka ni uanike mapungufu yote ya mtawala na chama chake as much as possible
eenheeeeeee! .....that's right...

yani pale mwandishi wa BBC anataka kumsaidia Tundu Lissu, kusaidia harakati za upinzani, kumjenga Lissu ili akiwa anapiga mabomu yake against serikali dunia iweze kuwa convinced...
akikuuliza maswali magumu itasaidia zaidi kuimarisha hoja zako, that's all.

ndio media za wenzetu zilivyo jamani... sisi tume grow up na Radio Tanzania, Uhuru na Mzalendo, zinaitwa state media, kazi zao zilikuwa kumpamba Nyerere, hatuna waandishi wa type za BBC, kwa hiyo hatujazoea deeply probing questions from such high caliber journalism, tunadhani eti BBC wako pamoja na serikali.
 
Mwisho wa siku kilichopo kwenye scoreboard ndo cha msingi zaidi kwetu waumini wa tarakimu. Huko jimboni kwake alikoahidi mambo kayatekeleza kwa kiwango gani? CDM ambayo yeye ni kiongozi Kuna alama yoyote ambayo inaakisi uzuri wake kichwani hata katiba tu? TLS kafanya lolote la mno au interview ya BBC pekee ndo kipimo cha uzuri wake?
 
Jana ameumbuka sana kwenye BBC Hardtalk alifikiri huko wanaendekeza uongo uongo! Amepigwa maswali akawa hana facts analeta propaganda za kisiasa!
Keshazoea media za kibongo ambapo waandishi wa habari wengi wana certificate, akiwachanganyia maneno mawili matatu wanabakia kutoa mimacho wakimshangaa.

BBC kakutana na waandishi wenye elimu za juu za uandishi, hawana muda wa kuyaamini majungu ya vijiweni.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwanza CCM ndiyo wa kubeba lawama zote kwani kama sio unyama na udikteta wao leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko ulaya
Ndo upuuzi walionao hawa watu, huwa hawawazi matokeo kila wanapofanya jambo
 
Ni kweli maana hawa wa degree siku hizi hata kuandika barua ya kuomba kazi ni kizungumkuti.
Sasa kama degree Holder anakwambia Kwanini lisu asitafute marafiki Ulaya wakati hata serikali inatafuta, unafikir anaweza andaa hata application letter?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kumbe Lissu naye kingereza empty....duh Tanzania nchi ya aman
 
Sasa kama degree Holder anakwambia Kwanini lisu asitafute marafiki Ulaya wakati hata serikali inatafuta, unafikir anaweza andaa hata application letter?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Labda huyo degree holder awe anasaka ajira kwa wanaume wenzake. Mimi na degree yangu nikaombe kazi ya kuajiriwa na mwanaume mwenzangu. Never on Earth.
 
Ndugu zangu,

Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.

kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.

Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''

Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.

Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.

Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.
Yaani hadi Steve anasema hizo ni INFLAMATORY ALLEgATION, ujue hali ni mbaya.
 
Wanasiasa wote wa tanzania wasasa hivi nafkli kidogo ukimtoa balozi maige akuna wakuongea kingereza nusu saa tena kwenye issue sensitive labda wakiwa baa hapo sawa lakini live mbele ya kamera tena za BBC mhhhhh!!!!! thubutu akuna ata mmoja kwahyo ndo muelewe tundu lissue nikichwa cha aina gani.
 
Back
Top Bottom