Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Keshazoea media za kibongo ambapo waandishi wa habari wengi wana certificate, akiwachanganyia maneno mawili matatu wanabakia kutoa mimacho wakimshangaa.

BBC kakutana na waandishi wenye elimu za juu za uandishi, hawana muda wa kuyaamini majungu ya vijiweni.

Kwa taarifa hayo mahojiano tumeyasikia na kama ni malengo ya hayo mazungumzo basi ana B hata kama sio + basi ni -. Kumbuka alikuwa hashindani na mtangazaji na hakukua na mtu wa pili tungeweza kupima kama lengo ni ulinganifu. Ni watu wachache wenye uwezo wa kujieleza kama Lissu alivyofanya jana. Kuna mtu amependekeza msemaji wa serikali aende naye hardtalk akajibu mapigo na kuweka rekodi sawa kisha mje hapa kwa mrejesho.
 
Hii yaweza kuwa habari mbaya mno kwa wale wote wanaomtakia mabaya Tundu Lissu , nimeona taarifa huko instargram kuhusu viewers wa hii BBC HARDTALK iliyotikisa dunia , hii iliyomhusu Lissu The Greatest , habari zinaeleza kwamba imeangaliwa na zaidi ya watu milion 320 .

Mwenye taarifa rasmi atuwekee hapa .

Mungu mbariki Tundu Lissu
 
Keshazoea media za kibongo ambapo waandishi wa habari wengi wana certificate, akiwachanganyia maneno mawili matatu wanabakia kutoa mimacho wakimshangaa.

BBC kakutana na waandishi wenye elimu za juu za uandishi, hawana muda wa kuyaamini majungu ya vijiweni.

Hahahahaaaahh.. Nakwambia Lissu kajuta kujipeleka kimbelembele kwenye media za wazungu, Nakumbuka siku Tundu Lissu anatua Belgium alikuwepo mbeba mizigo wa Airport amevaa uniform na reflector pamoja na wahudumu wa ambulance basi tukaanza aminishwa kwamba jamaa amepokelewa na ulinzi mkali wa Polisi na maneno lukuki kuwa Serikali ya Ubelgiji imeahidi kumlinda na kuchunguza sakata zima.... Kumbe uongo mtupu, waelevu walijua tu. wewe Airport Attendant unatuambia ni Askari !!
 
Mimi nimependa sana yale mahojiano , yalimvua mtu nishai, Tundu Lissu alibaki mtupu kabisa , alikuwa anamung'unya maneno mpaka basi na mara nyingi ameambiwa wewe ni mwanasheria si vizuri kuongea bila ushahidi.
Ushahidi atautoa mahakamani..unafikiri polisi wataachwa salama
 
Kwa taarifa hayo mahojiano tumeyasikia na kama ni malengo ya hayo mazungumzo basi ana B hata kama sio + basi ni -. Kumbuka alikuwa hashindani na mtangazaji na hakukua na mtu wa pili tungeweza kupima kama lengo ni ulinganifu. Ni watu wachache wenye uwezo wa kujieleza kama Lissu alivyofanya jana. Kuna mtu amependekeza msemaji wa serikali aende naye hardtalk akajibu mapigo na kuweka rekodi sawa kisha mje hapa kwa mrejesho.
Aliyekuwa akimhoji hakujali uwezo wake wa kuongea kingereza alimwambia anaongea allegations yaani tuhuma au ukipenda ni tetesi.

Media za mbele zinaangalia substance yako ni ipi, unaweza ukawa unajua sana kujieleza lakini bado wakahisi kitu fulani ambacho sio kizuri kutoka kwako wewe unayehojiwa.
 
Kwa taarifa hayo mahojiano tumeyasikia na kama ni malengo ya hayo mazungumzo basi ana B hata kama sio + basi ni -. Kumbuka alikuwa hashindani na mtangazaji na hakukua na mtu wa pili tungeweza kupima kama lengo ni ulinganifu. Ni watu wachache wenye uwezo wa kujieleza kama Lissu alivyofanya jana. Kuna mtu amependekeza msemaji wa serikali aende naye hardtalk akajibu mapigo na kuweka rekodi sawa kisha mje hapa kwa mrejesho.
He totally failed. Anaulizwa you as a political figure would you decriminalize homosexuality, the answer is PRESIDENT MAGUFULI ...........! He tried in the end to answer but hamna kitu.
 
Kamanda nafikiri hujui maana ya ajira.Hata kama una kampuni yako ukiomba tenda manake unaomba ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana, kwa hiyo hao wote wanaoomba tender huwa ni ajira wanaomba. Kwa hiyo hao wachina waliopata tender mmewaajiri. Mnawakata NSSF? Nakupa pole kwa kuongea neno lililokukwaza kwani ww ni wale mnaomsujudia ajira za wanaume wenzenu.
 
Hahahahaaaahh.. Nakwambia Lissu kajuta kujipeleka kimbelembele kwenye media za wazungu, Nakumbuka siku Tundu Lissu anatua Belgium alikuwepo mbeba mizigo wa Airport amevaa uniform na reflector pamoja na wahudumu wa ambulance basi tukaanza aminishwa kwamba jamaa amepokelewa na ulinzi mkali wa Polisi na maneno lukuki kuwa Serikali ya Ubelgiji imeahidi kumlinda na kuchunguza sakata zima.... Kumbe uongo mtupu, waelevu walijua tu. wewe Airport Attendant unatuambia ni Askari !!
Bongo wengi wetu mambo ya kawaida tu huwa hatuyajui. Unakumbuka Kubenea alivyowadanganya wabongo kwamba ile ndege inamwagiwa maji kwa sababu eti ni mbovu!. Kumbe ile ni water salute.

Hushangai Masanja ameanzia kwenye comedy halafu eti leo nae analo kanisa lake na linao waumini ambao ukiwatazama ni watu wenye heshima zao!.
 
Nimeangalia ile clup ya hard talk zaidi ya mara tatu. Sijaamini kile wazungu wamemfanyia jamaa. Alibaki anajikanyaga kanyaga tu bila kuwa na hoja zilizonyooka. Nasema ile interview imewaumbua sana chadema. Aibu yao wenyewe. Walitehemea maswali direct yenye mrengo wa kuiabisha nchi lakini jamaa alichokutana nacho ni hatari tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ulitaka mtanganzaji aulize maswali kama hawa wa hapa kwetu?
Kwa kuwa serikali haikuwa na mwakilishi ,lazime mtangazaji aulize kwa namna ile. Hicho ni chombo cha kimataifa lazima wafuate maadili ya uandishi. Tatizo menu mmezoea wandishi wa hapa kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom