Emanzi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 261
- 118
Steve anaonekana ana base kwa MAGUFULI ila Lissu noma anakwepa mazuri anataja mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa nimecheka sana mkuu.Magu anaita wale wa Barrick wanaume! Mwanaume huyo hapo, anajibu maswali ya mtangazaji mzoefu ambaye mezani kajiandaa na makaratasi kibao.
Tuwe wakweli katika top cream ya uongozi wetu nani anaweza kukabiliana na hard talk? Jee ni magu? Samia au Majaliwa? Nani sasa? Mambo ya ndani Lugola au IGP? Labda Mahiga? Hata yeye tukumbuke hiyo ni hard talk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamaduni wenu ni kumiminiana risasi na kususiana kwenye matibabu?Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Na hicho kidhungu cha kibongobongo ni shiiida.Ile interviews kama huna confidance unaweza kujikojolea.
Mungu bado anahitaji Tundu Lissu awe hai kwa risasi zile ungepigwa wewe moja tu ya makalio sasa hivi tushakusahau dunianiHahahaha
Mbona amesha jipaka kila mahali walahi
Mwenye Enzi Mungu mwenyewe amesha mchoma kabisa walahi
Tundulissu msaliti kwishney walahi
Kwa hiyo waendelee kuimba mapambio huku wanaumia?Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Arudi bungeni na sio kuendelea kuongopa, kwahiyo turufu yake ni ushoga?Kwa vyovyote vile usingefurahia jinsi Jiwe anawekwa hadharani kama alivyofanya Lissu dakika chache zilizopita. Na bado mapambano bado yanaendelea, muda si mrefu tutaelewana tu.
Sema mimi unasema sisi nakina nani!Sisi wengine tutampa kura za kutosha.
Naona hata kingereza kinakupiga chenga unashindwa kujibu hoja za baba yako hapoAnawashwa washwa
Inabidi akunwe.. hako ka MP kakitoe
Mbona hajiiti mgonjwa tena?
Baada:
Kaa huko huko na ukimbizi
Ukirudi hata kura ya udiwani hatukupi
Leo Lissu katoka kituko.. kweli hana akili.. Mzungu kakuumbua ukijiangalia tena utalia. Umetoka kituko eeeeeh Lissu 💀💀💀
Hukuwa na akili za kuongea kwenye Hardtalk.. hongera kwa Mzungu kwa kuongea mazuri aliyoyasikia na wewe hata kaneno ka wananchi hukutoa.. kisa tupo lako tu.
La ushoga hilo... mmmmh!! Eeeeh jiongeleeee pia umeulizwa wewe.. eeeh ungejibu wewe kiwewe.. lissu bomu.. uraisi hupati ng'oooo
La wanafunzi.. Lissu wewe hata upinzani haukufai.. ni bomu tu wewe
Unaomba nini.. eeeh husipopewa hutarudi.. umejaa upupwu.. liongo la karne..
Kituko umetoka.. tamaa mbaya.. umejiumbua.. ukome🤣🤣🤣
umeona kama mimi lakini kihalisia ni ngumu sana kuwa na evidence ya hizi habari lakini ndio ukweli wenyewe kwamba nchi inaendeshwa kihuni.The truth is..Lissu is being grilled here, he thinks he has a point, but he is just moving around the bush with no evidence, he tries to reject everything with no critical evidence..thats where I like the interviewer..give concrete evidence not just words like a parrot..[emoji847][emoji847][emoji847]
He was very articulate hiting the point in tune with the question!Nimemsikiliza Tundu Lissu akikata nyanga huko BBC.
Aisee huyu jamaa ni kichwa, ni hazina ya Taifa.
Nimefurahi jinsi alivyokuwa akimwaga mapoint huku akitumia kiingereza safi kabisa utadhani kazaliwa na kukulia kwa Malkia.
Baadhi ya maswali ya Mitego ni kwamba yeye kama kiongozi wa upinzani je yuko Tayari kuondoa sera za kupinga mashonga?.Hili swali lilikuwa la mtego mno maana angeharibu hapa wazungu wangemuona pimbi.
Lissu nikaona anareflect, anavuta pumzi kisha akamjibu WHAT IS IN THE BEDROOM REMAINS IN THE BEDROOM!. Dah yule Steven Surkur akaona keshamalizwa, akang'ang'ania swali lake hilohilo Lissu akawa ameshammaliza
Steven Sutkur akamuuliza tena swali la Mtego kwamba Je wewe uko tayari kurudi bongo na kupambana kumuondoa Jiwe madarakani, Lissu akasema any moment Daktari wake akimruhusu na kumwambia yuko fiti kuendelea na Majukumu atarudi bongo na pia akasema kama chama chake kitamuamini na wananchi kumuunga mkono yuko Tayari kulifyekelea mbali Jiwe
Kisha Jamaa akamuuliza Je huogopi kurudi nyumbani kwa usalama wake?. Lissu akamwambia Serikali ya Jiwe itakuwa na jukumu la kumhakikishia ulinzi wake kwa sababu ana haki hiyo na pia serikali ya Jiwe itakuwa na jukumu la kuionyesha dunia kuwa kweli imetimiza jukumu lake!
Aisee!. Hiki kichwa ni hatari, Lissu nje ya nchi ni hatari kwa Siasa za Jiwe kuliko kubaki humuhumu ndani kwa kipindi hiki. Mimi nasema hivi aendelee kukandamiza kutokea hukohuko!!
Kwani ulishawahi kumuunga mkono hapo kabla..?Hapo hamna rais, kwani anajua watanzania wanaupenda ushoga?
Simuungi mkono tena, kumbe mtu mwenyewe shoga!!
Sent using Jamii Forums mobile app