Kaka Jana nimepiga pombe mpaka sio powaDr am 4 real PhD kanuni yangu najikuballi mno
Kula pombe bro , mimi ndio aKaka Jana nimepiga pombe mpaka sio powa
Imagine una amka unajiuliza ivi Jana nilikula? Jana nilifikaje fikaje nyumbani JE? Sijazingua kitu? Aiseeee mambo ni mengi muda mchache..
Nipo JOB Ila sirudiiii kufanya overdrinking kaka..Hatari ipo wapi bwashee?
Kula pombe bro huko umatumbini hakuna sheriaNipo JOB Ila sirudiiii kufanya overdrinking kaka..
Wewe mdadaDooh umewaza mbali sanaaaaa
Inawezekana ujue ila Salama ni mtata mtata mngekua mshamjua😀
Haaaha 🥃🥃🥃Kula pombe bro , mimi ndio a
nataka niingie kazini na huko nasikia nimeandaliwa pombe za kutosha
Sawaaa nitakwambia mapemaaaa uje bandariniBasi ndugu yangu, wewe nitakuja kukupokea bandarini ama uwanja wa ndege kabisa, kisha nikupeleke nyumbani
😄🤣
Ivo eeh, sikumbuki walai, halafu mimi sikumbuki hata kama nilishagombana na watu humu, napenda sana amaniDr nakumbuka nilisha wahi kukukosea ila now ni rafiki yangu mkubwa
Aione bro Maxence Melo 😁Cheko la hovyo kabisa la mtu anae pitia maumivu ila anajikaza tu
Shukrani sana, December nina ka Tour kangu kwa kutembelea East Africa naimani nitafika na Entebbe, if so, nitakujulishaKa still upo Unguja... Karibu Intebe! Maarufu kama Entebbe
Nimetua na mizigo yangu yote, enh tuna kikao ama safari?Tusio weza ingiza elfu 10 kwa siku tukutane hapa🤗
Binafsi nakupenda sana ila napenda siku hiyo tukutane mimi wewe na laazizi wakoIvo eeh, sikumbuki walai, halafu mimi sikumbuki hata kama nilishagombana na watu humu, napenda sana amani
Kwanini isiwe wewe, laaziz wako, mimi na laaziz wangu?Binafsi nakupenda sana ila napenda siku hiyo tukutane mimi wewe na laazizi wako
Weweee , tuna safariNimetua na mizigo yangu yote, enh tuna kikao ama safari?
Watu wanaisaka 3some 😄🤣😂Kwanini isiwe wewe, laaziz wako, mimi na laaziz wangu?