Mike A Mugilanetza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 467
- 906
😂Hamna Babu hapa.Nitafurahi kuonja mapishi yako Mjukuu, unajua nina muda mrefu hujanionjesha 😋
Ww ni Babu Janja 😂
😂Hamna Babu hapa.Nitafurahi kuonja mapishi yako Mjukuu, unajua nina muda mrefu hujanionjesha 😋
mimi pia.Mi ntakua ikulu nakunywa Black Coffee baada ya kuvunja geti
upo tandale ipi? njoo hapa kwa mtogole tupige vituKaribu Sana tandale,tupate kahawa.
Samahani, nilimaanisha "uongo"Ubongo kivip
Pole sana aisee sasa itakuaje?? Ila waeleze ukweli tuNimepiga hesabu na kuziwakilisha sehemu sasa kosa nililofanya nimeongeza sifuri nyingi mno.
Kwenye maisha yangu huwa sipendi kusema uongo!!!!!!
Nakuna kichwa ntapata majibuPole sana aisee sasa itakuaje?? Ila waeleze ukweli tu
All the best my dadaNakuna kichwa ntapata majibu
Ujasusi umeanza lini Ndugu Msuya ?We tangu urudi jf ya VPN demu wako hayuko huru kbs kila akimreply mtu una-like, mtoto wa watu hayuko huru kbs acha kumfanyia survaillance kali
Hapo inabidi Spika iwe na defense Kali Sana.Mtt anautakaView attachment 3480963
Mwache mtoto wa watu ajimwage jukwaaniUjasusi umeanza lini Ndugu Msuya ?
Dah nime cheka kishenzi, mwamba kageuka mkaguzi😅😂We tangu urudi jf ya VPN demu wako hayuko huru kbs kila akimreply mtu una-like, mtoto wa watu hayuko huru kbs acha kumfanyia survaillance kali
Msuya Unazua Taharuki.Mwache mtoto wa watu ajimwage jukwaani
Tareek anazingua sana hapo anazuga tuDah nime cheka kishenzi, mwamba kageuka mkaguzi😅😂
Demu yuko under surveillance, mdhamini wa vitasa atokee.Tareek anazingua sana hapo anazuga tu
Acha aone kuliko mbinyo mkali anaopitia bidada wa watu in the name of 'takupa maisha mazuri'Msuya Unazua Taharuki.
Kuna mtu akiona maneno yako ya kitapeli na aka- amini utamsababishia maumivu makali mnoo.
Footprinting nimfanyie Nani Msuya ?.Tareek anazingua sana hapo anazuga tu
Anamnyima uhuru wa kuvibe na sisi wazee wa maandamano oct 29.Demu yuko under surveillance, mdhamini wa vitasa atokee.
Kwea Boat msuya.Acha aone kuliko mbinyo mkali anaopitia bidada wa watu in the name of 'takupa maisha mazuri'
Last warningFootprinting nimfanyie Nani Msuya ?.
Msuya watu watachonga Hadithi ujue.