min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,042
- 126,587
Pizza inaotesha kitambi kwa fujo bwashee 😅Nakuja twende Foro nikale zanzibar pizza, ile kitu niliipenda sana.
Pizza inaotesha kitambi kwa fujo bwashee 😅Nakuja twende Foro nikale zanzibar pizza, ile kitu niliipenda sana.
Kweli kila jambo uzoefu aseeOf course unaweza usiyapende iwapo utakuwa unatumia Kwa mara ya kwanza
Sisi wabara wengi yanatushinda
Wenyeji kule wanayapenda kweli kweliKweli kila jambo uzoefu asee
Sina pesa ndio, ni maskini wa kutupa ndio maana nipo bored yanikwahio ni kweli huna kibunda si ndio?
In reality money is everything.
hio kusema pesa sio kila kitu ni kauli ya kujifariji tu.
Ndio maana ukaitwa urojo , ukiunywa lazima uwe rojo rojoWenyeji kule wanayapenda kweli kweli
Japo binafsi nimeona hayana nguvu kwa Mwanaume, sisi wengine tumezoea vyakula vizito Vizito vya Bara
UShakula, ushaweka bando, elfu 5 ipo tu inazagaa zagaaNaunga mkono hoja , mbona mimi hapa nina 5000 ila nipo bored
😅😅 Kwa kweli aiseeNdio maana ukaitwa urojo , ukiunywa lazima uwe rojo rojo
Ukinimwagikia nikaungua je?Niletee Urojo wa elfu 25 ukiwa unarudi, najua dakika 12 za atcl utakuwa DSM
Unafika nao ukiwa wamoto moto 😋
Kwa kweli pesa sio kila kitu , ngoja nikanywe hata kasoda ka mia 500 hapa, nisome gazeti. Na inabak 4500UShakula, ushaweka bando, elfu 5 ipo tu inazagaa zagaa
Karibu sanaa, Zanzibar Pizza haina mpinzaniNakuja twende Foro nikale zanzibar pizza, ile kitu niliipenda sana.
Weka kwenye Chupa uje naoUkinimwagikia nikaungua je?
Sio kweli, virutubisho vyake ni vizuri ndio maana kaka zetu huku wanaoa wake wanne wanne na kuzaa watoto wengiNimewahi kuyatumia hapo Forodhani nikayapenda kiasi
Japo kwasisi Wanaume hayana nguvu sana, unaweza kucheza chini ya kiwango iwapo una miadi 🙌
Na hao wanawake nao si laini laini , dhubutu unywe urojo halafu mke ni mkuryaSio kweli, virutubisho vyake ni vizuri ndio maana kaka zetu huku wanaoa wake wanne wanne na kuzaa watoto wengi
Kwenye vituo vya kupiga Kura tunatiki kisha tunarejea majumbani kwetuTarehe 29 tunakutana wapi?
Mahaba yanahitaji ulaini laini, mahaba sio vita, vitu viende slow motion, mkuna na mkunwaji wote wanaenjoyNa hao wanawake nao si laini laini , dhubutu unywe urojo halafu mke ni mkurya
Inalegeza mwiliiiraha ya red wine unywe ikiwa ya moto yaani room temperature vilevile uwe umeshakula vi nyamanyama!, tena ukiona vipi unakuwa unamix na ka coca kidogo....😁