Wewe ndio mtupu hujui hata hii hoja ameitoa kwa nani? Usinitafutie ban tafadhaliMbona mleta Uzi naona hana shida yoyote!
Nina amini mleta Uzi anajua mambo mengi, hilo halina ubishi. Ikiwa wewe u mtupu kichwani sasa siye tufanyeje?
Kwakua nyie mtaishi milele haina shidaSawa sawa endeleeni kuumwa na kufa
Emu leteni point kutetea hoja yako ya kupinga alichokiandika mtoa post jazba haisaidiii chochote mwisho wake unazidi kuonekana ni 0Wewe ndio mtupu hujui hata hii hoja ameitoa kwa nani? Usinitafutie ban tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee kuna wakati unakua mtu mzima inapasa ujue ku select maneno ya kuongeaSasa hii ratiba ndefu ya kuaga mwili ni kwa maslahi ya nani? Jibu ni moja tuu... CCM...
Kwani nikionekana 100 kuna faida gani? Hizo 100 hazilipi bili,sipendi sifa za kijinga kuhusiana na huu msiba,kuna watu wanajichetua akili kuumiza hisia za watu wengine ili waonekane wa maanakwa watu fulani, jamii forum ya sasa ya ajabu sana.usikubali kila kitu ili kumfurahisha mtu fulani.Emu leteni point kutetea hoja yako ya kupinga alichokiandika mtoa post jazba haisaidiii chochote mwisho wake unazidi kuonekana ni 0
Ratiba ya Dodoma ilishatoka ingeleta usumbufu.Hivi kwa nini wasingepeleka zanzibar alafu dodoma ili wakitoka dodoma wanyooshee mwanza
namtetea mtoa mada. ametoa hoja ya msingi. in addition to that kuuga mwili wa marehemu persee ni sawa na kumchoresha tu marehemu ndio maana waislamu hawa agi. kuna wengine wana enda kuaga kwa ajili ya kumsimanga marehemuMkuu huwa najaribu kutaka kujua wewe ni mtu Wa kariba gani nashindwa kukuelewa,una vihoja na vioja vya hapa na pale huku ukijiona wewe ni mjuvi kuwaliko wana jf wote.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
uropokaji huo,Nime quote hiyo line yako yenye hadhi ya matapishi uisome tena na tenaAsee kuna wakati unakua mtu mzima inapasa ujue ku select maneno ya kuongea
do not just write kwasababu una vidole,tumia hivyo vidole kuandika vitu vya maana
si kila jambo unapaswa uliongelee au ulijadili,who are yu then? Dear mshana,jitambue
elewa watu wapo katika kipindi gani acha kuropoka,Hamna malipo unayapata kwenye
uropokaji huo,Nime quote hiyo line yako yenye hadhi ya matapishi uisome tena na tena
Dear one,Watch out your Freedom na usitumie haki yako kufanya utopolo usiokubalika,Huna Hoja
unaongozwa na chuki na Unafki ndani yako,Nakwambia wewe direct Badilika MR.chagua njia sahihi.Nimemaliza.
Akisema kuhusu gharama naweza elewa hoja. Ila sio kumsikitikia eti anaumia.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ewaaaaa adi Yesu atakapo rudiKwakua nyie mtaishi milele haina shida
Waja wema na wenye elimu, walisisitiza sana kutokupendelea kumzungumzia sana yule usiyempenda kwa kuchelea ya kuwa ni rahisi sana kumdhulumu, kumtuhumu na kumfanyia mbaya mengine kisa tu humpendi au mfano wake.[emoji2839]Ukweli una tabia moja ya ajabu sana, na juu yake haukaliwi na chochote. Ukweli ni kuwa kama kweli wewe ni mkweli na nafsi yako inashuhuduia,basi ungekiri hili na kuacha kujadili hili sababu liko wazi sana, na hili liko wazi na nilio uandika ni ukweli wa wazi kabisa, ndio maana kuna swali katika nukta moja wapo huko juu hujalijibu.
Pili, nilichokiandika hapa kimemili katika elimu na misingi yake, ndiyo maana nimegusa pande zote, upande waki, wangu,wetu na upande ulio dhidi yako.
Tatu, ukweli hauna upande mzee, ndiyo maana huwa mchungu.
Nne, hizi ni falsafa dhaifu za kusema ya kuwa kuna ukweli wa namna unavyojitokeza kwa mtu, yaani wewe uwe na ukweli wako,mimi niwe na wangu tena katika jambo moja. Hapa walio leta hii nadharia walifeli na kuwadanganya watu, ukweli ni MMOJA.
Kaka usiwe unapoteza muda katika jambo ambalo hata ukipewa miaka na mikaka huwezi kulipinga kielimu, na hapa unadhihirisha hilo. Wewe si muadilifu. Sasa hili iweje linakushinda kwamba umekosea ? Kwanini usikiri hilo ?
Ni wachache sana huwa wanawapa stahiki zao wale wanao wachukia auwale ambao ni maadui zao, hao ni wenye elimu na uchajimungu, sababu huwa wanafanya mambo kwa ajili kumridhisha Mola muumba na si kujifurahisha, au jutafuta sifa au mfano wake.
Kwanza ngoja nikufundishe jambo kuhusu tamko UKWELI, nilichokiona hujui maana ya tamko hili, ndiyo maana linakusumbua na na kutoka nje ya mipaka yake.
UKWELI ni kauli au kitendo kuafikiana na hali halisi. Maana yake ukweli hauna egemeo, bali unasimama wenyewe popote pale. Ukweli haubadiliki sababu katika ukweli kuna hayo yoyote, yaani itifaki huzingatiwa.
Sasa mbona huu uhalisia wa wewe kumili katika hisia zaidi hutaki kuukiri au kwa sababu uko dhidi yako...?
Waja wema na wenye elimu, walisisitiza sana kutokupendelea kumzungumzia sana yule usiyempenda kwa kuchelea ya kuwa ni rahisi sana kumdhulumu, kumtuhumu na kumfanyia mbaya mengine kisa tu humpendi au mfano wake.
Tunachojisahaulisha ni kuwa huyu hakuwa tu John Magufuli, alikuwa Rais wa JMT, Tena Rais aliyekufa akiwa madarakani, je tumelifikiria hilo?
Hoja ambayo ningekubaliana na mtoa mada ni kufuja hela, Ila sio "kuuchosha mwili", unachoshaje mtu aliyekufa?
Akikujibu nitag mkuu!Kaa kwa utulivu tuachie wenyewe hata tukiamua kutomzika ni sisi.
Wewe na kundi lako mliisha maliza kazi yenu ya kumwombea kifo, mmesikilizwa.
Yani ukivyowaita....wapigaji wanajilipa. .ndo wamemind etii!??😂😂😂😁😆😅😆😇😇😈😈😈😑😯😯😯😯Waja wema na wenye elimu, walisisitiza sana kutokupendelea kumzungumzia sana yule usiyempenda kwa kuchelea ya kuwa ni rahisi sana kumdhulumu, kumtuhumu na kumfanyia mbaya mengine kisa tu humpendi au mfano wake.[emoji2839]
Asante kwa bandiko refu lenye ufafanuzi wa yale niliyoandika.. Hitimisho ndio limetoa muktadha wa yote uliyoandika
Bado tunapushana kwenye ukweli na uhalisia... Nitakapopata muda nitakuja na mada inayojitegemea kuhusu ukweli na kuhusu uhalisia..
Kwasasa hatuongelei tena mtu hai... Bali mwili wa mwendazake ... Sasa kinachotokea hapa ni vitu viwili tofauti kabisa ....Mwili wa marehemu na marehemu! Ukweli ni upi? Uhalisia ni upi? Hapo ndio tunaachana njiapanda