Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Mliomuua ni ninyi wenye msiba tuliwaambia mficha ficha maradhi kilio kitamfichua. Mkatudanganya kuwa haumwi yuko fit na ni bulldozer. Sasa mmeumbuka na uongo wenu kuwa alikuwa na afya na manguvu ya kupiga push ups na kuruka kutoka top roof ya gari kumbe mtu ni mgonjwa kuliko Lowassa. Haya sasa aibu imewakuta. Ninyi mwalia Lowassa anasherehekea pasaka na familia yake. Mlishupaza mishipa kutangaza magonjwa na vifo vya wengine mkasahau kuwa msiba uko sebuleni kwenu.
Kaa kwa utulivu tuachie wenyewe hata tukiamua kutomzika ni sisi.
Wewe na kundi lako mliisha maliza kazi yenu ya kumwombea kifo, mmesikilizwa.
 
Back
Top Bottom