Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Yaani msiba umegeuka kama fursa ya ya kupiga kampeni
Tatizo lenu nyumbu ni hilo wakati wote mnawaza uchaguzi au jinsi ya kupata madaraka!

Sasa huu msiba sijui kwa nn unawatesa sana, na uchaguzi ni mpaka 2025.

Mtaendelea kusubiria embe chini ya mnazi mpaka 3020., watakapozaliwa nyumbu toleo jipya sio nyie.
 
Mlitaka aje na imekuwa hivo shida yenu nini tena? Tuachieni mwili wetu tutauzika kama tulivyopanga hiyo tarehe

subiri wa kwenu mtajipangia mtakavyo. Hatuhitaji ushauri wenu.
 
Kwani anawahi kwenda wapi ebu mtuache na rais wetu ata kama akikaa week.
 
mlitaka aje na imekuwa hivo shida yenu nini tena?!!...tuachieni mwili wetu tutauzika kama tulivyopanga hiyo tarehe

subiri wa kwenu mtajipangia mtakavyo ..hatuhitaji ushauri wenu
Great sinker
giphy.gif
 
Ngoja wahudhuriaji waje watujuze maana me sina hata mzuka wa kutazama hata kweny tv Yan
Sijui ndg yangu mi siamini kama kweli kuna muhimu kutembeza mitaa ya DSM na kote huko, kuna sehemu fulani naona common sense inatumi
 
Na leo wanasema watamlaza ikulu Zanzibar, najiuliza kuna mochwari pale?au walishamkausha ndo mana wanapiga nae route tu.
Maana kuna siku nilishiriki kupeleka maiti ya mjomba mahali,masaa 14 ilikua balaa tupu
 
Na leo wanasema watamlaza ikulu Zanzibar, najiuliza kuna mochwari pale?au walishamkausha ndo mana wanapiga nae route tu.
Maana kuna siku nilishiriki kupeleka maiti ya mjomba mahali,masaa 14 ilikua balaa tupu
Kadungwa formalin ya kutosha...
Nadhani kuna kitu kinatafutwa.. Maybe kuvunja rekodi... Leo PM kasema watu BILLION 3.9 duniani kote wamefuatilia huu msiba.. Pengine graph mpaka sasa...
I thought PM yuko busy na msiba kumbe yuko busy na record
 
Kadungwa formalin ya kutosha...
Nadhani kuna kitu kinatafutwa.. Maybe kuvunja rekodi... Leo PM kasema watu BILLION 3.9 duniani kote wamefuatilia huu msiba.. Pengine graph mpaka sasa...
I thought PM yuko busy na msiba kumbe yuko busy na record
Pengine kesho kwa sababu siku ina masaa 48!!!
Kesho wakafika 17B wala msibishe idadi imejumuisha na wa sayari ya Mars
 
Pengine kesho kwa sababu siku ina masaa 48!!!
Kesho wakafika 17B wala msibishe idadi imejumuisha na wa sayari ya Mars
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2839]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2839]
Yani kwa maana nyingine watu wote Barani Afrika tumeangalia pamoja na watu wote India na pengine nusu ya Wachina!
Kesho lazima ivuke sayari za mbali!
 
Dah, vibaraka wa mabeberu wamewaharibu akili kabisa baadhi ya Watu, yani wako kimachare kutafuta cha kusema hata kama ni ujinga.

Angeagwa siku moja pekeake mngesema sio Sawa, Ameagwa siku nyingi sio sawa, asinge agwa pia mngesema sio Sawa vilevile.

Kiongozi mmoja aliwahi kusema upumbavu ni kama urefu au ufupi ni ngumu kuuondoa
Mimi najiuliza hawa wajuaji wameliona hili kwenye msiba wa magufuli tu au hata kwa nyerere walikwazika??
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Mimi ni Mkristo lakini nakubaliana asilimia zote na Uislamu katika kipengele cha kumhifadhi Marehemu,hiki kinachoendelea ni kumdhalilisha tu Marehemu. Mtu akisha fariki kinachofuata ni kumzika tu,hizi drama zingine hazina mantiki kabisa. Namsikitikia sana Mjane,atateseka sana hadi hiyo Ijumaa.
 
Back
Top Bottom