Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Kaa kwa utulivu tuachie wenyewe hata tukiamua kutomzika ni sisi.
Wewe na kundi lako mliisha maliza kazi yenu ya kumwombea kifo, mmesikilizwa.
Kuleni per diem za mwisho mwisho ,baada ya hapo ndio mtajua hamjui
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Fedha ya kufanya hivyo ipo. Shida yako nini?
 
Nchi tajiri hii
 
Kumbe hujui; tunaanza rasmi kurudi kwenye viwango vyeti... KUPIGA! Namhurumia sana SSH, kuwaongoza watanzania ni kazi kuliko.

Nasikia mwingine anasema SSH aiongoze TZ kama Merkel anavyoingoza Ujerumani, futseke!!
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Watu watapigaje hela ?
 
Magufuli ni raisi wa watanzania sio mwenyekiti wa jumuiya hivo watanzania wote wana haki ya kumuaga hata kwa gharama gani wewe endelea kupiga ramli chonganishi ndugu mlozi.
 
Tunaujua msimamo wako wa kisiasa na jinsi ulivyokuwa -ve kuhusu Rais,japo kuwa kikatiba upo sahihi siwezi kukulaumu.

Yule ni Rais wa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ,pili kwa imani yetu ya kikristo (RC) sio kosa so acha aende wakamwage walio mpigia kura.

Ila always hata kama wewe hutoona umuhimu wa huyu mtu basi jua kuna watu kawagusa,vilevile hamna mtu anayependwa na kila mtu ,mtu hayupo.

So hata husimpo mpa heshima yake basi jua MAWE YATAMPA MPA HESHIMA yake,pili kifaida kwa wakatoliki tunaamini MISA NI MSAADA TOSHA KWA MAREHEMU,kadri atavyo somewa misa nyingi kabla na baada ya kuzikwa kwake basi hata kiroho ana nafasi ktk ufalme wa Mungu na ndio maana kila siku wakristo wakatoliki hatuchoki kuwasomea misa wapendwa wetu walio tangulia.

CHUMA KIMEONDOKA NA MNG'AO WAKE.

RIP MAGU.
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.

Ngoja tuwekane sawa katika jambo hili, na tuwe waadilifu.

Hapa nagusia nukta mbili au tatu na nukta ya mwisho itakuwa ni nasaha kwangu na kwenu.

1. Kiimani hasa kwetu sisi Waislamu jambo hili ni jambo baya na limekemewa vikali sana, na kiistilahi tunaita KUOMBOLEZA(Kuomboleza ni miongoni mwa mambo manne ya kijinga,ambayo hayataisha mpaka Kiyama kinasimama). Kiimani tunaamini ya kuwa Mtu ni wa aidha motoni au peponi,na akifa anatakiwa kuzikwa haraka ili akaanze kuishi maisha mapya kaburini, kama mtu wa kheri basi kaburi ni katika bustani miongoni mwa mabustani ya Peponi, na kaburi ni katika mashimo miongoni mwa mashimo ya motoni. Kwahiyo kitendo cha kumchelewesha maiti kumzika ni kuzidi kumpa dhiki na kumtesa kama ni wa motoni, na kama ni wa kheri basi mnamchelewesha kwenda kupata mazuri yake,kama alitoa usia mapema basi mzigo wa madhambi unakiwa ni juu yenu na si juu yake. Hitimisho ni kuwa,ni wajibu wetu na ni jambo jema kuwahisha kumzika maiti,tena huwa bora zaidi kutomsafirisha.

2. Wasia, ni jambo la dharura sana kwa mtu makini, tena ukiacha wasia mzuri juu ya maziko yako yaweje,huwa bora zaidi. Ila si kila wasia hufanyiwa kazi.

3. Hapa lazima tuelezane ukweli, mtoa mada nina hakika hali wa shani (Hii ni dhana ya hakika kabisa, kwayo inahukumu hili, sababu imevuka kiwango cha uzani wa asilimia Hamsini),umeandika uzi huu au haya kwa sababu ya chuki yako juu ya mwenda zake, lakini swali la msingi ni , Je angekuwa amekufa kipenzi chako tena katika wadhifa huo wa mwendazake ungeyaandika haya au na wewe ungekuwa katika kundi la hawa ambao wako dhidi yako na mlengo wako ambao wewe unawaita wapigaji ?

4. Hii ni nasaha ambayo kwayo,nimeigusia hapo awali ya kuwa baada ya kumaliza nukta mbili au tatu inayofata ni nasaha kwangu,kwako mtoa mada na kwa wale wasio kuwa mimi na wewe. Nasema hivi "Hutosha mtu kuwa MUONGO kusema au kuandika juu ya kila anachokiona au kukisikia". kiasili haya si maneno yangu.

Ziada : "Hajutii yule aliyekaa kimya kwenye fitina/fitna au kila wa kala."
 
Nakuunga mkono sana! Tunajihangaisha zaidi na mwili-mfu kuliko mwili-hai. Mwili-mfu ni mavumbi tu, ni utupu. Mwenye nao kaondoka, hatuoni, hatusikii wala hahisi chochote!

Mwili-hai unabeba mtu halisi ambaye ni nafsi na roho yake. Huyo ndiye tumjali zaidi, na si mwili-mfu anaouacha.
Dunia haiko hivyo wala haitakaa iwe hivyo
 
Dah, vibaraka wa mabeberu wamewaharibu akili kabisa baadhi ya Watu, yani wako kimachare kutafuta cha kusema hata kama ni ujinga.

Angeagwa siku moja pekeake mngesema sio Sawa, Ameagwa siku nyingi sio sawa, asinge agwa pia mngesema sio Sawa vilevile.

Kiongozi mmoja aliwahi kusema upumbavu ni kama urefu au ufupi ni ngumu kuuondoa
 
Wazoee tu hawa ndugu zetu akili zao wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom