Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,612
- 19,669
Hatarious .. Apumzike kwa amani ila WANNAMCHOSHA . NAWASUBIRI BUSISI HAPA ... NIMUAGEKama waliweza kufanya penetration kama hii, usalama wa nchi uko mashakani
Hatarious .. Apumzike kwa amani ila WANNAMCHOSHA . NAWASUBIRI BUSISI HAPA ... NIMUAGEKama waliweza kufanya penetration kama hii, usalama wa nchi uko mashakani
Inayompinga Magufuli fatilia kwa karibu ni Michawi,Mijizi Miuza ngada nk.....TUNAONA MKISUTWA NA ROHO ZENU WENYEWE KWA JINSI WANANCHI WANAVYOONYESHA HISIA ZAO.
KULIKUWA HAKUNA WIZI WA KURA BALI WAPINZANI MLIKATALIWA LIVE!View attachment 1730829View attachment 1730830
Yaani kuna mapopoma hawaelewi kabisa katika hili ... Anakokotwa kutoka mwanza to chato hiiiii kama km200 flani na kitorori aseee ... Ni unyama kiwango cha lamiMimi ni Mkristo lakini nakubaliana asilimia zote na Uislamu katika kipengele cha kumhifadhi Marehemu,hiki kinachoendelea ni kumdhalilisha tu Marehemu. Mtu akisha fariki kinachofuata ni kumzika tu,hizi drama zingine hazina mantiki kabisa. Namsikitikia sana Mjane,atateseka sana hadi hiyo Ijumaa.
Tungemcremenate tu majivu yakakaaa ikulu ...Sio rais tena ..hayuko tena.. Ni marehemu na ni hayati...!!!! Usijisahau
waislamu wako smart sana kwa kweli, hawa mataga wanadhani sijui ataamka ??Moja katika mambo mazuri katika dini ya Kiislamu ni hili la mazishi. Nawapa pongezi ndugu zangu waislamu katika hili
Leoo hii jpm angekuwa muislamu haya yote usingeyaina angeshazikwa na mambo mengine yangekuwa yanaendelea muda huu.
Hata yale inasemwa alikufa siku nyingi ila haikutangazwa mapema ingekuwa kwa ndugu zetu waislamu kamwe hilo lisingetokea
Angalia Maalim Seif.waislamu wako smart sana kwa kweli, hawa mataga wanadhani sijui ataamka ??
Kwenye ndoa tupumzisheAngalia Maalim Seif.
Hakuna kuchelewa.
Waislam wamefundishwa mambo matatu yafanyike kwa haraka sana.
1. Kuzika
2. Kufunga ndoa
3. Kumsilimisha anayehitaji kuwa Muislam
Sasa nalopinga ni usambazaji wa koona tu.Tungemcremenate tu majivu yakakaaa ikulu ...
Gone for good...! Nothing last forever... Sina chuki na uumbajj wa Mwenyezi Mungu...!!!Tangu lini mshana jr akaongea zuri la Magufuli?
Inawawauma nini?
Kunyweni sana mfurahi muwaache wanaotaka kumuona japo jeneza lake
Haya.. Utu uzima dawaGone for good...! Nothing last forever... Sina chuki na uumbajj wa Mwenyezi Mungu...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huey said to Jasmine...Kusema kweli hii kitu ni pointless kabisa. Uongozi uliobaki wamedhihirisha kuwa nao bado ni malimbukeni tu.
Haiwezekani kufanya mikusanyiko mikubwa namna hiyo bila kujali uhalisia wa janga la covid-19.
Watu tungeangalia shughuli kupitia kwenye TV na kusikiliza kwenye radio ingetosha. Hakukuwa na haja ya haya yote. Kwanza ni gharama kubwa tu zinatumika na zinaongeza mzigo kwenye kodi za wanaoitwa wanyonge.
Mimi kwangu haileti tofauti kuwa ameagwa na watu wengi au hajaagwa kabisa. Mtu akishakufa amekufa tu hata akiagwa na dunia nzima haimsaidii chochote.
Wangempumzisha tu tuendelee na maisha.
NB: In the end all the people you know (including you) will die.
HahahaHuey said to Jasmine...
Hahaha yap!! Kuna comic series moja inaitwa The Boondocks!! Aysee ni nzuri sanaaa! Kuna dogo anaitwa Huey freeman,alimwambia hayo maneno Jasmine[emoji23][emoji23][emoji3064][emoji848][emoji3064][emoji848][emoji3064] Jasmine!?