Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Hakuna tatizo nitumie mimi basi PM
Mmhhh, Unichome
Hakuna tatizo nitumie mimi basi PM
Mie ninayo,Unayo?
Sasa mnaanza kutetea sera zake,mnaanza kukusanya hoja ambazo kimsingi alizifanyia kazi kwa matendo .Mlipokosa hoja kutokana na jemedari kuzifuta kwa matendo mkasingizia uhuru wa habari,mara kwa sababu hakuna Bunge live.Najua kwa sasa zinakusanywa data za garama ya msiba na kuwasilishwa Ubelgiji ili mpate pa kuanzia.Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...
Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk
Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.
Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali
Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Hii nafikiri labda ni vifungo...Kuna miwani
Kuna vifungo
Kuna urembo
Vyote hivi unaweza kuvifunga secret cameras
Naomba na mie nimuone kwa Mara ya mwisho jaman kabla hajahifadhiwa.Hivi ndugu zangu jamaa aliechukua video ya Rais ndani ya Jeneza kwa ulinzi ule aliwezaje
Daaahhh
Hii niliyonayo ni ndogo sana, waliiformat kwenda gif na imecapture the actual moment yaani pale anafika mbele ya mwili na kuinama hivyo mzee kaonekana vizuri tu ndani ya jeneza...muda ni mchache sana. Sekunde kama 3 hivi..aliyerekodi atakua na clip ndefu toka anaiseti alikotoka ila hapa atakua amei-crop kwenye moment. Visibility iko super..Playtime ni ya muda gani? Visibility je?
Aliitegesha mahali na nafikiri alikua anasali pia...Hivi ndugu zangu jamaa aliechukua video ya Rais ndani ya Jeneza kwa ulinzi ule aliwezaje
Daaahhh
Katumia super spy camHii niliyonayo ni ndogo sana, waliiformat kwenda gif na imecapture the actual moment yaani pale anafika mbele ya mwili na kuinama hivyo mzee kaonekana vizuri tu ndani ya jeneza...muda ni mchache sana. Sekunde kama 3 hivi..aliyerekodi atakua na clip ndefu toka anaiseti alikotoka ila hapa atakua amei-crop kwenye moment. Visibility iko super..
Kwani uliambiwa me vampire siku yangu ikifika ntapukutika tu, heri yako wewe na ukoo wako umtakaoishi mileleVaa Barakoa wewe MATAGA ,mtapukutika mpaka mtie akili.
wanajichelewesha kuzika ili waendelee kujipigia per diem lakini haina maana kwa mtu aliyekufa ata umzungushe mwaka mzima hawezi kufufuka