Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Mtaona sasa kama ni sahihi au laa ndio mtajua hamjui kama JENEZA LITAFUNGULIWA .......
Jeneza halitafunguliwa sio kwasababu wewe umesema, bali ni kutokana na uwingi wa watu wanaojitokeza na kusababisha msongamano na vurugu kama ambavyo ilitokea jana uwanja wa Uhuru.

Tumeshuhudia bungeni limefunguliwa na wabunge wametoa heshima, hata Mwaza na Chato litafunguliwa pia kwaajili ya watu wachache.
 
Wapo wanaokaa wiki, ni wewe tu nzi wa chooni ambae hujawahi kushuhudia
Wanakaa wiki wapi maandazi wewe!!?? Wanakaa wiki wametunzwa mochwari sio hivi unazungusha kama kombe .... Wajinga hamuishi
 
Ni sahihi kuagwa kwa njia yoyote ile maana hata ingechaguliwa njia nyingine maswali ya kuhoji yangekiwapo tu kwa nini njia hii...
 
Ndo hivyo tunamzungusha kama kombe, hutaki Jamba
Mtakunya moyo ..kubeba msivyoweza Heshima yake ipo tatizo kila mtu mnaonaga mpinzani ... Endeleeni mtaona tu mtakuwa mnaaga jeneza mwili upo mochwari mpaka siku ya kuzikwa ndio mtamuona. Hata wao wameliona hilo nyie huku mnashupaza shingo
 
Eti sisi wakatoliki .... Fuatilia vizuri ujue kama mimi sio mkatoliki .... Hilo moja , pili hata tukiwa tunaaga tunaaga kwa muda mgani!! Yaani akae kwenye kioo jeneza na kioo juu niambie huyo mkatoliki aliyewekwa hivyo masaa 10 siku yake kwanza, masaa 10 siku ya pili.. Na bado dodoma, zanzibar, mwanza, geita !!?? Muache ujinga MTAONA SASA KAMA LEO LTAFUNULIWA JENEZA ...mnashupaza shingo kwa vitu vya ajabu.
Sasa huwezi kumfananisha hadhi ya rais na mtu wa kawaida na ndio maana rais ataagwa na watu wengi na mzee wa kijiji ataagwa na watu wakijiji wanao mfahamu.
 
Sasa huwezi kumfananisha hadhi ya rais na mtu wa kawaida na ndio maana rais ataagwa na watu wengi na mzee wa kijiji ataagwa na watu wakijiji wanao mfahamu.
Fungueni jeneza sasa tumuage ...tu muone wengi. Msitupitishie tu jeneza
 
Mtakunya moyo ..kubeba msivyoweza Heshima yake ipo tatizo kila mtu mnaonaga mpinzani ... Endeleeni mtaona tu mtakuwa mnaaga jeneza mwili upo mochwari mpaka siku ya kuzikwa ndio mtamuona. Hata wao wameliona hilo nyie huku mnashupaza shingo
Basi wangemuweka mochwari iweje wampeleke uwanjani na kumzungusha mitaani tena juani? Sababu yako haina mantiki.
Sababu ni kuepusha msongamano kama uliotokea jana na hakuna lingine .
 
Umesoma nilichoandika au umekurupuka toka chooni !!?? Mimi nimempinga huyo aliyesema katika ukatoliki ni kawaida kukaa hata wiki .. Ndio nakamwambia mkatoliki gani huyo aliyeagwa kwa muda huo ..na wewe kurupu unakuja kuniuliza mimi muulize huyo mkatoliki masalia joseph1989
Muda wa mtu kuagwa unategemea na hadhi yake kwa hadhi ya magufuli na mtu wa kawida ni tofauti.

Halafu mnahamasisha kujibu kwa hoja,nyie nyie mnaanza matusi mwisho wa siku mmatembea viwiliwili,vichwa mmewapa wanasiasa na wanaharakati uchwara wanao twist vitu kwa mitizamo yao ya kisiasa.
 
Mungu akiamua ataukipanga ata pangua unaweza uka imagine kabisa mtu anaacha hospital ya taifa muhimbili Anaenda kufia Dispensary ya MZENA !!!!!!!......atakama anateseka nimipango ya Mungu huenda adhabu yake ndo imeanzia hapa kabla kuingia kabrini
NI WIVU TU, HAKUNA KINGINE, WIVU TU.
 
Mtakunya moyo ..kubeba msivyoweza Heshima yake ipo tatizo kila mtu mnaonaga mpinzani ... Endeleeni mtaona tu mtakuwa mnaaga jeneza mwili upo mochwari mpaka siku ya kuzikwa ndio mtamuona. Hata wao wameliona hilo nyie huku mnashupaza shingo
Endeleeni mtaona tu mtakuwa mnaaga jeneza mwili upo mochwari mpaka siku ya kuzikwa ndio mtamuona[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2839]
 
Muda wa mtu kuagwa unategemea na hadhi yake kwa hadhi ya magufuli na mtu wa kawida ni tofauti.

Halafu mnahamasisha kujibu kwa hoja,nyie nyie mnaanza matusi mwisho wa siku mmatembea viwiliwili,vichwa mmewapa wanasiasa na wanaharakati uchwara wanao twist vitu kwa mitizamo yao ya kisiasa.
Ona jinga hili ..... Hivi haliwezi kutumia akili mpaka kila kitu lihusishe siasa!!?? una ujinga mwingi sana ....
 
Ona jinga hili ..... Hivi haliwezi kutumia akili mpaka kila kitu lihusishe siasa!!?? una ujinga mwingi sana ....
Tatizo sio wewe,kichwa ushawapa wanasiasa na wana harakati uchwara wa mtandaoni,una kiwiliwili tu hapo.
 
Endeleeni mtaona tu mtakuwa mnaaga jeneza mwili upo mochwari mpaka siku ya kuzikwa ndio mtamuona[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2839]
Kwahiyo walivyotoka pale bungeni wamemuona physically mwili ukahamishiwa kwenye gari nyingine kupelekwa mochwari? Wakabeba jeneza tupu kuelekea uwanjani...wanajeshi na viongozi wa kitaifa uwanjani wanatoa heshima kwa jeneza tupu.

This is so low Mshana Jr . Tangu baada ya uchaguzi akili yako imechanganyikiwa umekuwa Kama sie ambao hatuna hadhi hapa JF
 
Back
Top Bottom