Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Ulivyo wewe akili umeziacha kabatini unafikiri ni wote .. Pole
Una kiwiliwili,kichwa si mali yako umewapatia wanasiasa na wanaharakati uchwara wa mitandaoni,ndio maana hujielewi kama sigara kali na utendelea kuwashwa mbele na nyuma.
 
Kwahiyo walivyotoka pale bungeni wamemuona physically mwili ukahamishiwa kwenye gari nyingine kupelekwa mochwari? Wakabeba jeneza tupu kuelekea uwanjani...wanajeshi na viongozi wa kitaifa uwanjani wanatoa heshima kwa jeneza tupu.

This is so low Mshana Jr . Tangu baada ya uchaguzi akili yako imechanganyikiwa umekuwa Kama sie ambao hatuna hadhi hapa JF

Demi Duh.. Una nini kwenye hii post loh[emoji2] .. Mimi nime paste alichoandika Mtoto wa nzi na nikaweka emoji za mshangao kwakuwa nimeona kuna kitu kigeni hapo na kimesemwa zaidi ya maramoja

Hivi kweli kabisa vitu vidogo kama hivyo umeshindwa kuviona? Leo sitaki kusema unapanic japo nimeona kwenye majibizano umefika mahali ukatoa lugha isiyo na staha
 
Shida nini ... Si atazikwa !!?? Kumbukumbu zake zitaishi ... Iwe kwa namna yeyote ... Ila busara zitumike alikufa Nyerere hakuzungushwa hivi ...hapo ndipo tunapotofautiana .... Kafa Mkapa ... Vituo viwili vya kuaga vingetosha kabisa. Yote kwa yote ....tunasemaa Apumzike kwa amani lakini MNAMCHOSHA .am out
 
Haya nenda kwa amani huko OUT
 
This is so low Mshana Jr . Tangu baada ya uchaguzi akili yako imechanganyikiwa umekuwa Kama sie ambao hatuna hadhi hapa JF
Demi Duh.. Una nini kwenye hii post loh[emoji2] .. Mimi nime paste alichoandika Mtoto wa nzi na nikaweka emoji za mshangao kwakuwa nimeona kuna kitu kigeni hapo na kimesemwa zaidi ya maramoja

Hivi kweli kabisa vitu vidogo kama hivyo umeshindwa kuviona? Leo sitaki kusema unapanic japo nimeona kwenye majibizano umefika mahali ukatoa lugha isiyo na staha
Sometime unajitoa tu mtu ufahamu ili umuelewe vizuri unaye argue naye ... Wengine kidogo wameanza mitusi na siasa. Sasa hizo ndio akili zao halisi .... Apumzike kwa amani ILA MNAMCHOSHA
 
This is so low Mshana Jr . Tangu baada ya uchaguzi akili yako imechanganyikiwa umekuwa Kama sie ambao hatuna hadhi hapa JF
Demi Duh.. Una nini kwenye hii post loh[emoji2] .. Mimi nime paste alichoandika Mtoto wa nzi na nikaweka emoji za mshangao kwakuwa nimeona kuna kitu kigeni hapo na kimesemwa zaidi ya maramoja

Hivi kweli kabisa vitu vidogo kama hivyo umeshindwa kuviona? Leo sitaki kusema unapanic japo nimeona kwenye majibizano umefika mahali ukatoa lugha isiyo na staha
Leo kweli nimepanic [emoji3].

Halafu ukiona nimetoa lugha isiyo na staha ujue niliyemjibu kaanzisha kunikosea heshima.

Hii mada ina comments za ajabu ajabu that's y najikuta bado nipo.
 
Just keep cool huna hata haja ya kutibuana nyongo ... Hizi id feki hizi unaweza kujikuta unamtusi mtu wako wa karibu kabisa.. BTW we are all great thinkers, tujiepushe kuwa great sinkers..
Tulumbane kwa hoja[emoji1545][emoji1545][emoji1545] na hoja zetu zibebe utu wetu
 
Back
Top Bottom