King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Ngoja niseme tu hii liwalo na liwe.
Wanaume hamjijui kuwa hamna uwezo wa kumtimizia mwanamke zaidi ya mmoja. Kama ukiifanya kazi yako kisawasawa ujue mwanamke mmoja haumuwezi seuze wawili?. Namaanisha mkeo kutokuwa na hamu ya sex na wewe inaweza ikawa kufeli kwako kwenye maandalizi. Kwa sababu ukimuandaa sawasawa then haipaswi kuwa na shida. Nani asikie kuki wa kuchoma ananukia, na ubwabwa wa nazi una njegere za kutupia, na maharagwe ya nazi yametulia na majani ya maboga yenye karanga na udenda usimshuke? Mwanamke anakutamani kwa maandalizi banaa. Wewe utamtamani kwa kanga moko na kauli basiii!
Huyo anapanga zamu bila official announcement kuwa ana small hausi. Anaogopa surprise na kujulikana kashindwa mechi. Anaogopa kugonganisha mechi hapo. Hana lolote. Na hajajijua wake wawili hawawezi. Muambie shosti ampe likizo ya miezi mitatu manake hata ligi hazifululizani bwana. Akimtoa akilini mbona hasumbuki. Akikoroma hapo pembeni atamuona kama mwanae.
Ila wanaume wake zenu wanawastahi. Mitala hamuiwezi endapo mtawajibika kwa wake zenu ipasavyo bwana.
Nalogoff