MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Mama,sijasema kila atokae amekinai bana
Nimesema mbona wapo wanaojituma lakini watu wanakinai na kukimbilia nje
Kile cha nje sina uhakika kuwa ni mswano ila ni katika harakati ya kutafuta ridhiko tu
Hapo kwa Vasco Da Gama sina la kuongeza kwakuwa wapo wa aina hiyo pia
Lakini mapenzi na upendo ni kama hauna mwenyewe siku hizi
Hakuna cha masikini au tajiri
Wote tunalia kilio kimoja tu
Tena wakati mwingine sisi masikini ndio angalau tunayafaidi kuliko wale walio na mali na mipesa
Wale nao wanakua na matatizo mengi sana
Unaweza kunieleza kinachowasibu hao wenye hela na wanalia mapenzi wakati sisi tunaamini ukiwa na hela unayafaidi zaidi mapenzi?
Na hawa kukinau kwao ni zaidi sana,kwanini?
Kaka yangu Eiyer, sijakupata vizuri huyo mwenye pesa ndio anayelia kuwa ana'vurugwa' pamoja na pesa zake au ye ndo ana'vuruga'? Kama yeye ndo mwenye ku'vurugwa' kiasi cha kupelekea kutoa kilio basi ni vema akajichungua pengine (Kama ni mwanaume) amejisahau na kuchukulia kuwa pesa ndo kigezo cha kila kitu. Kuwa akimridhisha mpenziwe kwa mipesa yake atatulia ilhali anasahau mapenzi na mapendo............Itanifaidia nini mie unipende uwe kila siku waniletea micheki na mipesa yako, wannunulia kila ntakacho ilhali 'strongroom' unapwaya? Kila ukirudi umechoshwa na mihangaiko ya kusaka mipesa, kila ukirudi wakesha ukilalama ju ya mipesa unipayo..huna mapenzi zaidi ya mikomandi na majigambo ya nguvu za pesa zako?? nisikulize tu na mipesa yako?? ......................... Na ikiwa ni mwanamkek ndo mwenye mipesa, the same applies.......... mapenzi hayanunuliwi na ndio maana masikini wao wanajivunia mtaji wao walio nao.... kupenda na utamu wa nyama ya ulimi.
Last edited by a moderator: