Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
mwambie akubali ila ikifika hiyo siku yeye awe anaumwa ikija siku nyingine ampe kishingo upande kama vile hataki mpaka ivurugike hiyo the so called ratiba.
mzuka ukipanda room hapatoshiKwani kuna ubaya gani kupanga ka ratiba bana?
Ukijua leo ni siku ya mechi si ndio mzuka unapanda?
Halafu kule mbona sikuoni?????
Hivi inawezekanaje kupangiana muda, mahali na time kwenye hili? Mh kuna tatizo sehemu. Umemshauri vema kuwa aulize kwa upole na pia ajichunguze pengine naye amekuwa akitoa Ngararimu tu tena kwa sahani ile ile siku zote so bwana ameboreka. Na kama tatizo ni lake basi hata hiyo ratiba anayosajesti Bwana aweza asiifuate kabisa ikawa haipo. Ila pia inawezekana kuwa Bwana yuko na chombo kipya ambacho kinamkamua ipasavyo kiasi kwamba akirudi nyumbani anakuwa ashashiba hana tena hamu ya ngararimu zako............................................Mapenzi mvurugo
I dont think if its a good idea
sex should be spontaneous,mapenzi yananoga zaidi kukiwa hakuna ratiba za maalum bana
we siku una ham halafu unakutana na ratiba....
Eiyer tendo hili lahitaji ubunifu, utundu na kila aina ya shamra ili kulifanya liwe mchezo mzuri wa burudani yenye mafao........... sasa ukilifanya liwe monotonous linabore. Na ni jukumu la wote sio la mwanamke tu kuliboresha. Asipobadilika huyo mbaba basi kuna la ziada. Nakumbuka kuna mdada aliolewaga na bwana ambaye hawakuwa wamewahi kukutana kimwili kabla ya kuoana. Lakini mara baada ya ndoa na kukutana, fungate ilikwisha na kufuatiwa na kuachana, mpaka leo hakuna anaejua kisa na mkasa.......... na hata huyo mke mwenyewe hakuwahi kujua kosa lake lilikuwa ni nini...................................Duh!
Kwahiyo kama akibadilishiwa msosi kila siku ya tukio jamaa atatamani kuula daily?
Vipi kama asipobadilika na akawa hana mpango wa kando?
Eiyer tendo hili lahitaji ubunifu, utundu na kila aina ya shamra ili kulifanya liwe mchezo mzuri wa burudani yenye mafao........... sasa ukilifanya liwe monotonous linabore. Na ni jukumu la wote sio la mwanamke tu kuliboresha. Asipobadilika huyo mbaba basi kuna la ziada. Nakumbuka kuna mdada aliolewaga na bwana ambaye hawakuwa wamewahi kukutana kimwili kabla ya kuoana. Lakini mara baada ya ndoa na kukutana, fungate ilikwisha na kufuatiwa na kuachana, mpaka leo hakuna anaejua kisa na mkasa.......... na hata huyo mke mwenyewe hakuwahi kujua kosa lake lilikuwa ni nini...................................