Tunapopangiana kula

Tunapopangiana kula

Ha ha haaa Mount Kibo
si umeniacha hoi na kicheko full daaah,
Hata mie sikuweza kuhimili japo ni jinsia tofauti ya weye;
Niliona ni namna mojawapo wa kunyimwa haki yangu
......... so why not isikuwepo kabisa ikajulikana moja kwa moja.

Du pole sana wangu kumbe na wewe ni muathirika wa tukio kama hili! mimi nasema jamani acha asili ichukue mkondo wake (lets nature take its course).Mimi nikipangiwa ratiba si ndo itakuwa balaa maanake mi babu akimtaka bibi ni hapo hapo no compromise nisipopata kwa wakati huwa link inapiga chini kama vile Mkonga wa taifa ukikatika nayo internet inavokatika sasa kunipandisha mzuka nirudi kwenye kiwango ni taabu kweli ukizingatia nipo kwenye early 40s kiumri na kazi ninazofanya!Ila nimeweka wazi jamani sharing of resources ni muhimu kwa wale wanaonyimwa haki kwa wakati kwani (Justice delayed is justice denied)!Yewooomi ngoja niende nikahemee kimamtine baadae Mamgombani.
 
Last edited by a moderator:
hapana bana.......kuna kile cha asubuhi kwani kuna kujiandaaaa lakin huwa kinanoga sana
umeona hata wao wana emergence siku ukiwa na ham...sa ratiba ya nini tena hapo

Cha asubuhi?

Sasa si unaenda kazini ukiwa umechoka?

Kuna wengine wanazisimamia kama baiskeli ......LOL!
 
tupange ratiba kwa ajili ya nini eiyer.........
mi sitaki kabisaaaaaaaa

kule we ndo umekususa kabisaaaa....mie naendaga sana

Sasa si ukijua leo nakwenda kuliwa unakuwa na mzuka.....LOL!

Sasa kama unakujaga kule mbona huwa hunistui?
 
Ni kawaida sana, coz unakuwa hamfeel mwenzako, unadhani muzaka wa kuduu kila siku utatoka wapi, hapo sasa ndo ratiba zinapoaanzaga

Hujui kuwa kuna wengine ndivyo walivyo?
Kwa hao je?
 
Haha haaa mkuu mi nataka kuwa tulizo la wasio na wenzi ila SIYO WAJANE.si unajua sharing of resource bosi wangu asa aliye-responsible kumpa haki hataki so I have no choice than to act as a substitute.
Kitalolo nakikumbuka sana niliona mama'angu akipikiwa enzi ...wadogo zangu wakiwa wachanga nadhani utajua ni kipindi gani hicho kwa mama'angu.
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
We hujui mke wa mtu sumu?A
u una panya kwako......LOL!

Je kitawa nacho wakikumbuka?
 
Ngoja niseme tu hii liwalo na liwe.
Wanaume hamjijui kuwa hamna uwezo wa kumtimizia mwanamke zaidi ya mmoja. Kama ukiifanya kazi yako kisawasawa ujue mwanamke mmoja haumuwezi seuze wawili?. Namaanisha mkeo kutokuwa na hamu ya sex na wewe inaweza ikawa kufeli kwako kwenye maandalizi. Kwa sababu ukimuandaa sawasawa then haipaswi kuwa na shida. Nani asikie kuki wa kuchoma ananukia, na ubwabwa wa nazi una njegere za kutupia, na maharagwe ya nazi yametulia na majani ya maboga yenye karanga na udenda usimshuke? Mwanamke anakutamani kwa maandalizi banaa. Wewe utamtamani kwa kanga moko na kauli basiii!
Kwani mwanamke hawezi kuwa sababu?
Kama ulivyotoa huo mfano hapo hebu ubadilishe tu utauona ukweli mkubwa
Lakini naanza kuuona ukweli mwingine mkubwa sana kuwa tatizo hili lina chanzo kingine tofauti na wanandoa wenyewe!

Huyo anapanga zamu bila official announcement kuwa ana small hausi. Anaogopa surprise na kujulikana kashindwa mechi. Anaogopa kugonganisha mechi hapo. Hana lolote. Na hajajijua wake wawili hawawezi. Muambie shosti ampe likizo ya miezi mitatu manake hata ligi hazifululizani bwana. Akimtoa akilini mbona hasumbuki. Akikoroma hapo pembeni atamuona kama mwanae.
Inawezekana akawa hana nyumba ndogo
Umelifikiria hili?

Ila wanaume wake zenu wanawastahi. Mitala hamuiwezi endapo mtawajibika kwa wake zenu ipasavyo bwana.

Nalogoff

Unautani na Asprin wewe?
 
Last edited by a moderator:
Lakini pia tukumbuke kuwa sometimes hawakinai kama tunavyofikiria ila ile factor ya pesa ndio inamfanya aweze kujaribu ladha tofauti kila kukicha, mana twajua kuwa pesa sabuni ya roho............kama hazitamtawala yeye na kumfanya awe na kiburi cah "Nina pesa nawezampata mwanamke yoyote nimtakaye" basi pesa yake itawavuta wanawake wenye nguvu za kunusa.... na kama tujuavyo binadamu tu wadhaifu sana hasa tunapotegwa kwenye Nyanja za aina hiyo
Siku hizi lawama tunatupiwa sisi wanaume eti tunashindwa kazi wakati kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha hili!
 
Ha ha haaa Mount Kibo
si umeniacha hoi na kicheko full daaah,
Hata mie sikuweza kuhimili japo ni jinsia tofauti ya weye;
Niliona ni namna mojawapo wa kunyimwa haki yangu
......... so why not isikuwepo kabisa ikajulikana moja kwa moja.

Tafadhali naomba usinitaje wala kunihusisha hapo pa kimaande(Nyekundu) kwani madhara ya ke ni makubwa ..eti isiwepo kha! ..warumu gani kakudanganya isipokuwepo wewe utaishije au ndo unahalalisha ujenzi wa nyumba ya kando!Ni bora iwepo hata kama ni ile tia maji tia maji au kwa maneno ingine heri nusu shari kuliko shari kamili...anything is better than nothin at all.
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
We hujui mke wa mtu sumu?A
u una panya kwako......LOL!

Je kitawa nacho wakikumbuka?
Tehe tehee Eiyer kama Nke wa Ntu sumu bathi mume wa Ntu mathiwa ..kama kanNyima Ntu kitu alichonacho mi nifanyeje zaidi ya KUNchapa?Leo naona siku inaenda vizuri huenda Serengeti zikaenda vizuri jioni ya leo!
 
Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehee Eiyer kama Nke wa Ntu sumu bathi mume wa Ntu mathiwa ..kama kanNyima Ntu kitu alichonacho mi nifanyeje zaidi ya KUNchapa?Leo naona siku inaenda vizuri huenda Serengeti zikaenda vizuri jioni ya leo!

Ha,ha,ha,ha,haaaaaaa!!!!!!!!
Sumu zingine maziwa hayafui dafu...!!!!!!!
 
Hiyo inapoteza msisimko na mara nyngi huwa kuna tatizo la maelewano kwa wawili yanakuwa sio mazuri. Labda kama kuna mmoja ana ugonjwa au tatizo ambalo mwenzi wake apaswa kulivumilia na kumsaidia mwenzake.

Hivi haiwezekani kuwe hakuna tatizo?
 
Eiyer jiulize kama wanapanga ratiba watoto watawapataje? na kwa mfano siku za kupata ujauzito ndo unakuta ratiba hairuhusu kujamiiana

huu ni upuuzi wa hali ya juu.......kuna tatizo hapo sio bure
DEMBA hebu come zis way nikunong'oneze jambo

Wakati wa kutafuta mtoto kunakuwa na special counter atack .......LOL!
 
Kumbe nimejitungia mtihani mwenyewe!
Unataka nijibu kuwa kuitekeleza hiyo ratiba hata kama nimechoka ni jukumu langu kama mke?
Haya naomba utafute marking scheme uje usahihishe

Kuna kitu ukikitazama vyema utakiona kwenye majibu yako
Ni kitu chema tu cha kujifunza!
 
aaah aha ha ha ha si sawa jaribu ujionee mwenyewe inakuwa kama ile siku ya kwanza kuingiza nani yako kwa mwanamke.

Sijawahi hata kuiingiza
Hebu niambie inakuagaje?
 
Back
Top Bottom