Tunapopangiana kula

Tunapopangiana kula

......Nakubaliana na wewe kwa kuwa you are entitled to your opinion and besides sijui yamekukuta yepi but ninapenda kukuhakikishia kuwa sio wanawake wote wako hivyo. MJ1 anawezakuwa yuko after money, kila saa anawaza mapene but utakuta Mamndenyi au Smile au King'asti wana mapenzi ya kweli ambayo pesa haina nafasi (pengine wao ndo wenye nazo sana kiasi cha kuwa ndio wahongao)
Yanaweza kuwa yamenikuta au nimeshuhudia mendi sana

Lakini huo ndio ukweli mchungu sana kuhusiana na nyie

Kwenye suala la nyie kuhonga nalo lina maruhani yake,siku ukimchoka tu ataitambua....LOL!
 
Inanishangaza kuwekeana ratiba kwenye mambo ya ndoa. pia huyo dada-rafiki ana lake jambo analolitaka kutoka kwako anakutafutia target tu unase ili akupe uday worker kutokana na kusymphathetic feeling kwake.kuna problem pande zote mbili. jichunge

Hawezi kufanya hayo

Naheshimiana nae sana

Usijali!

Eiyer unajua hata wasiokuwa na pesa wanakero zao, tena zinaudhi zaidi bora mwenye pesa atakutuliza kwa kukutoa dinner.Jamaa anawaza lini atapata pesa na malalamiko kila kuchao achilia mbali inferiority complex kwamba anaweza kunyang'anywa mpenzi na wenye nazo.
Unayosema hapa yapo lakini kwa kiwango kidogo sana

Wenye hela tunawaona na wasiokuwa nazo tunawaona pia
Ukweli ni kinyume sana na hayo unayosema hapo

Unadhani upweke wa kukosa dushelele unaondolewa na dinner?
I doubt it!
 
Mmmh kazi kweli kweli mapenzi ya ratiba hebu niendelee kusoma comments pengine kuna waliofanikiwa ktk hili. Kama ulivyouliza ratiba inafaa au haifai jibu langu ni HAIFAI lkn kwa aliyepanga pengine yeye anazo sababu zilizomfanya aamue kupanga ratiba. Ushauri wangu kwa bidada amuulize mumewe ratiba kulikoni na kwenye majadiliano anaweza kutoa mtazamo wake ktk hili. Na kama bwana mkubwa akisisitiza ratiba basi akubali kuifuata , si vizuri kupinga kabla ya kujaribu so amwambie wafanye majaribio ikiwekiauti basi waendelee nayo.

Suala la ratiba karibu kila mmoja analipinga na sijapata sababu za kutosha

Kwanini mnalipinga?
 
Hahaha ndo maana nikasema issue ni uwezo. Hizo ratiba ni visingizio tu kuficha aibu. Jembe halichagui hali ya hewa, eti ooh jua kali! Tutalifunga ac sasa eboo

Una mambo wewe!!!!!
 
ratiba inasema leo kuna mechi ya mtanange,,,,,,,,hapo lazima uchoke figo na koromeo

sometimes we should let the nature do its work.......cc Eiyer

Inaonekana wewe unapenda sana mechi za kushtukiza .......!!!!!!!!

Yaani wewe ....................!!!!!!!
 
Ha ha!
Mi sijapangiwa ratiba za ivo, naambiwa wiki hii siji.....
manake mtanange hakuna mpaka aamue kuja!..

Mambo ya wavulana na vibint hayo....!!!!
 
Ha ha haaa Mount Kibo
si umeniacha hoi na kicheko full daaah,
Hata mie sikuweza kuhimili japo ni jinsia tofauti ya weye;
Niliona ni namna mojawapo wa kunyimwa haki yangu
......... so why not isikuwepo kabisa ikajulikana moja kwa moja.

So nini kilitokea baada ya hayo?
 
Tafadhali naomba usinitaje wala kunihusisha hapo pa kimaande(Nyekundu) kwani madhara ya ke ni makubwa ..eti isiwepo kha! ..warumu gani kakudanganya isipokuwepo wewe utaishije au ndo unahalalisha ujenzi wa nyumba ya kando!Ni bora iwepo hata kama ni ile tia maji tia maji au kwa maneno ingine heri nusu shari kuliko shari kamili...anything is better than nothin at all.

Dah!
Mkuu inaonekana ukikosa hii makitu unaweza kulia.....LOL!
 
Back
Top Bottom