Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

Mtaalamu alinichanjia kile alichokiita dawa ya mvuto. Niliona mambo yakibadilika haraka, watu walinifuata, biashara ikawa na wateja wengi, na kila nilichofanya kilionekana kukubalika. Lakini kadri muda ulivyokwenda, niligundua kuwa amani ya kweli haikuwa ndani yangu.

Nilipoamua kuacha njia hizo na kumfuata Yesu Kristo, ndipo nilipoanza kuelewa kuwa kibali cha kweli hakitokani na dawa wala nguvu za siri, bali kwa Mungu. Leo nachagua kumtegemea Yesu kuliko kitu kingine chochote, kwa sababu amani, furaha na baraka za kweli zinatoka kwake.
 
Lakini ni baada ya kua umepata faida c ndio mkuu?
 
Hesabu 23:23
“Hakuna uchawi juu ya Yakobo, wala hapana uganga juu ya Israeli; sasa itasemwa juu ya Yakobo na juu ya Israeli, Mungu ametenda nini!”
 
Hayajakukuta
 
Mtaalamu alinichanjia kile alichokiita dawa ya mvuto. Niliona mambo yakibadilika haraka, watu walinifuata, biashara ikawa na wateja wengi, na kila nilichofanya kilionekana kukubalika. Lakini kadri muda ulivyokwenda, niligundua kuwa amani ya kweli haikuwa ndani yangu.

Nilipoamua kuacha njia hizo na kumfuata Yesu Kristo, ndipo nilipoanza kuelewa kuwa kibali cha kweli hakitokani na dawa wala nguvu za siri, bali kwa Mungu. Leo nachagua kumtegemea Yesu kuliko kitu kingine chochote, kwa sababu amani, furaha na baraka za kweli zinatoka kwake.
Yesu ni nani mpaka umtegemee?
 
Back
Top Bottom