Bila uchawi mambo hayaendiTumeisha
Unataka nikurogeje mkuuAtakayeweza kuniloga nimemuandalia milioni kumi.
Naam.Unataka nikurogeje mkuu
Ningumu bila majina yako matatu mkuu , au ya mama au ya babaNaam.
Mbwembwe tu, hamna lolote.Ningumu bila majina yako matatu mkuu , au ya mama au ya baba
😁Mbwebwe tu, hamna lolote.
Tayari umeshawatisha 🤣🤣🤣JF wachawi mnaitwa huku
watakoma😄Tayari umeshawatisha 🤣🤣🤣
Hawapendi kuitwa hivo lakin wanapendawatakoma😄
Nina dawa 1 hiyo nikiweka tu nawaona mnaadui zangu kama vile naangalia TV.... Ukija wewe kama wewe lazima nikukule ila ukija na sura ya mnyama nakuua vibaya hadi naona kinyaa kula nyama😅😅😅 tupo hapa tunaenda shift.
Kwanini uuze na siyo kuchoma au kutoa bure?Nimeacha ulozi.. Nimeuza kilinge na tunguli zote.. Shetani shindwa🙌🏿🙌🏿🏃🏿View attachment 3610818
Wakiweza waambie na mimi nina dauAtakayeweza kuniloga nimemuandalia milioni kumi.