Dawa ya Mvuto hata wewe unaweza tengeneza....
1- Tafuta mchele katika duka wanalouza sana.... Robo kilo tu saga uwe unga kabisa
2-Tafuta fedha zoote katika mtiririko wa 50, 100, 200, 1000, 2000, 5000, 10000, kwangua ziwe sarafu upate unga wake kidogo, za noti kata ncha na usage ziwe unga
3- Tafuta mama wa siafu, nyuki, na mchwa kausha kisha saga
4- Tafuta na unga wa mti unaitwa Mwita
5- Maganda ya miwa yaliyopo sokoni kausha saga uwe unga kabisa
6- Mti au majani yaliyopo juu ya kilele Cha mlima saga upate unga
7- Manyoa ya mnyama ngekewa
Changanya Vyoote pamoja.
Jichanje katika nyusi, katikati ya kidole gumba na Cha shahada, chini ya kidevu na nyuma ya shingo.
KAMA KUNA UCHAWI KATIKA HAYO NILIYOSEMA JUU BASI WEWE HUNA AKILI.