Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

watu walikataa Elimu bure wakashabikia hapa kazi tu, na bado
 
Mbona IFM baadhi wamepata hiyo first lot? Hiyo ni chenga ya mwili...

Chenga kweli...IFM watu wa programs zote wamepewa japo ni majina machache kweny first lot..sasa habari za afya sijui education sijui imekuaje.
 
__mwenye tetesi.... lini io secnd lot inatoka... atujuze amanene..
 
ifm majina 79 yaliyofika hata nusu ya faculty moja haifiki..serikali haitendi haki

yap nikwel wmetoa majina machache ila kwa coz tofaut..kikubwa ni kujipa moyo kweny second lot mkuu.
 
Nauliza kwani hao waliopata first LOT wanaadavtage gani kwa sasa..?na tofauti ni ipi na atakaye pata second LOT?
 
Kwa wale wenye vigezo vya kupata mkopo Mgawanyo wa mikopo unatolewa katika LOT tatu(3) 1. LOT ya kwanza(1) imekwisha tolewa 2. LOT ya pili(2) hii itaanza kutolewa alhamisi itakayo husisha wale wenye faculty au course zenye priorty,walemavu na yatima hawa watapewa kipaumbule. 3. LOT ya tatu(3) hii itahusisha baadhi ya faculty au course amabzo ni Non-priorty Wahusika wa jambo hili wapo kwenye mchakato wa kupunguza kero hii.Juhudi zinaendelea kufanyika ilikuleta usawa katika hili. Ukikosa #mkopo subri #boom TAARIFA FUPI Log in OLAS:HAPA...#copy and paste hyo
 
hii habari umeitoa wapi???
 
Nauliza hivi ni adavtage gani mtu.anapata akipata mkopo first LOT?na tofauti yake.na anayepata second LOT ni zipi?
 
Siku hizi kila kitu deal,ukiwa mkono wa bilika subiri mungu alete kwa Neema yake tu. Kuna baadhi ya wanafunzi walichangamkia deal and now wameshakuwa na uhakika
 
Kwa wale wenye vigezo vya kupata mkopo Mgawanyo wa mikopo unatolewa katika LOT tatu(3) 1. LOT ya kwanza(1) imekwisha tolewa 2. LOT ya pili(2) hii itaanza kutolewa alhamisi itakayo husisha wale wenye faculty au course zenye priorty,walemavu na yatima hawa watapewa kipaumbule. 3. LOT ya tatu(3) hii itahusisha baadhi ya faculty au course amabzo ni Non-priorty Wahusika wa jambo hili wapo kwenye mchakato wa kupunguza kero hii.Juhudi zinaendelea kufanyika ilikuleta usawa katika hili. Ukikosa #mkopo subri #boom TAARIFA FUPI Log in OLAS:HAPA...#copy and paste hyo
Umeipata wp hii news ww
 
Kwangu mimi nishakata tamaa sijui niende wapi maana kaaah mwaka unaisha sasa
 
hii ni kweli kabisa , hawa jamaa wana roho Ngumu aisee.
 
mi nalia na suala la transfer kupitia nacte hawatoi hyo ruhusa sijui kwann na chuo kinaanza trh 9
 
Back
Top Bottom