You are off record! August, are you serious? Kweli tuna safari ndefu ya ukomboziJana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno
Wazo zuri sana sema huko Bongo muvi wamejaa machawaBongo Muvi wangekuwa siyo chawa, wangekula hela nyingi iwapo wangetengeneza muvi inayoonesha historia ya Tundu Lissu. Wangemchukua Peter Msechu kuwa main character. Wangepunguza tu lile tumbo kidogo, halafu wangemvisha uhusika.
Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Hawana elimu! Uchawa umewajaa! Muvi zao siku zote maudhui ni yale yale ya kuwafurahisha wadada wa kazi na mama wa nyumbani.
PoleniJana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno
Wewe ndio bogus kabisa kuliko hata hao Bongo Movie. Yaani uweza kugundua "bonge la aidia" na badala ya wewe kulifanyia kazi ukapiga hela, unalalamikia wengine eti kwanini hawana hiyo aidia! Wewe ni jinga kabisa!!!Bongo Muvi wangekuwa siyo chawa, wangekula hela nyingi iwapo wangetengeneza muvi inayoonesha historia ya Tundu Lissu. Wangemchukua Peter Msechu kuwa main character. Wangepunguza tu lile tumbo kidogo, halafu wangemvisha uhusika.
Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Hawana elimu! Uchawa umewajaa! Muvi zao siku zote maudhui ni yale yale ya kuwafurahisha wadada wa kazi na mama wa nyumbani.
Ulikuwa nje ya mji ? Mbona yalipostiwa vyakutosha tuJana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno
Unaishi wapi wewe!!???Jana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno
Jana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno
View attachment 3676866
- Anzia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...o-mahakamani-23-9-2026.2474722/#post-56902634
- Thread yote (Post No.1) nimeiweka kwenye AUDIO waweza sikiliza.
===
Credit
- Waufukweni
Fanya hivyo bongo wakukate kichwa...Bongo Muvi wangekuwa siyo chawa, wangekula hela nyingi iwapo wangetengeneza muvi inayoonesha historia ya Tundu Lissu. Wangemchukua Peter Msechu kuwa main character. Wangepunguza tu lile tumbo kidogo, halafu wangemvisha uhusika.
Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Hawana elimu! Uchawa umewajaa! Muvi zao siku zote maudhui ni yale yale ya kuwafurahisha wadada wa kazi na mama wa nyumbani.
Hapa mkuu umekuwa sana nimeamsha save. Kwa ajili ya kusikilizaView attachment 3676866
- Anzia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...o-mahakamani-23-9-2026.2474722/#post-56902634
- Thread yote (Post No.1) nimeiweka kwenye AUDIO waweza sikiliza.
===
Credit
- Waufukweni
mnaweza mkatumia sautiafi ambayo inabadilisha audio za kiswahili,kingereza na hata mchanganika kuwa maandishi Sauti Safi — Swahili AI Audio Transcription & NotetakerSafi sana hii Audio iwe transcribe to text ili kutunza elimu hii anayotupa Tundu Lissu kupitia kesi hii
Nashauri Maxence Melo na timu yake watumie app to transcsribe from audio to text, media nyingi Tanzania hazi cover kesi hii ya kihistoria kama hapa JamiiForums.
TV, Magazeti, Radio, online media wanaweka tu vi clip bila kuiandika au kuirusha kwa urefu wote kesi hii ya uhaini, hivyo uongozi wa JamiiForums wajiongeze kuwa chombo cha elimu huru kwa kuziba ufa huu wa kukosekana chombo huru cha kuelimisha umma.
C.C Maxence Melo.
Kiwepo kitufe cha transcribe text to audio and vice versa, kiongezwe pembeni mwa vile vitufe bofya vya translate, edit etc
Ahsante sana Mkuu!View attachment 3676866
- Anzia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...o-mahakamani-23-9-2026.2474722/#post-56902634
- Thread yote (Post No.1) nimeiweka kwenye AUDIO waweza sikiliza.
===
Credit
- Waufukweni
SujuiJana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno