Tunaomba Script ya Final submission Ili Tujifunze

Tunaomba Script ya Final submission Ili Tujifunze

Bongo Muvi wangekuwa siyo chawa, wangekula hela nyingi iwapo wangetengeneza muvi inayoonesha historia ya Tundu Lissu. Wangemchukua Peter Msechu kuwa main character. Wangepunguza tu lile tumbo kidogo, halafu wangemvisha uhusika.

Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Hawana elimu! Uchawa umewajaa! Muvi zao siku zote maudhui ni yale yale ya kuwafurahisha wadada wa kazi na mama wa nyumbani.
Hahaa mkuu msechu tena!
 
Back
Top Bottom