Paul Bonaventure anasemajé kuhusu final submission ya kesi ya Lisu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,217
Reaction score
102,315
Final submissions, hapa ndipo kesi ya Lissu itawekwa kwenye mizani ya sheria na ushahidi. 👇🏾

Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi mpaka sasa, nadhani final submissions zitakuwa ndio sehemu ambayo kila upande utajaribu kuunganisha vipande vyote vya ushahidi na kuvifanya viwe legal theory moja inayoweza kuishawishi Mahakama.

Nadhani pande wa Jamhuri, utaanza kwa msingi wa charge yenyewe, na tukumbuke tayari wakati wa hatua ya case to answer, prosecution ilieleza kwamba inaona imeweza kuonyesha allegiance,

Intention na threat au incitement kwa Serikali kupitia kauli za Lissu kuhusu kusimamisha au kuvuruga uchaguzi.

Kingine Jamhuri pia ilisisitiza kwamba sio lazima ionyeshe kwamba Serikali kweli iliogopa, ila kwa mtazamo wao, intention ya kutishia ndiyo muhimu.

Kwa hiyo kwenye final submission, prosecution itajaribu kujenga chain kuanzia maneno ya Lissu, maana ya maneno hayo, intention iliyokuwa nyuma yake, mobilisation ya wananchi.

Pia watunganisha na threat kwa Serikali, overt act au act inayohitajika kisheria na treason.

Kingine watajaribu kuonyesha kwamba ukiangalia speech nzima, context ya CHADEMA, public meetings na namna kauli zilivyotolewa.

Hayakuwa maneno ya kawaida ya political advocacy bali yalikuwa hatua kuelekea kuzuia uchaguzi na kuleta pressure kwa Serikali.

Hili ndilo eneo ambalo prosecution italazimika kulifunga kwa umakini zaidi,

Kwa sababu kuwepo kwa maneno makali pekee hakumalizi automatically kila ingredient ya offence, na hapa defence ina nafasi kubwa ya kufanya distinction.

Tukumbuke pia TAL tayari amekubali kwamba baadhi ya maneno yaliyotajwa na prosecution ni maneno yake,

Lakini msimamo wake umekuwa kwamba maneno hayo hayawezi kutolewa kwenye context ya speech nzima.

Amesema alikuwa akizungumza kuhusu constitutional and electoral reforms, na kwamba political mobilisation, peaceful demonstrations na kutumia legal avenues kupinga Serikali si sawa na treasonous conduct.

Kwa mtazamo wangu nadhani defence itaanza kwa kusema, Tukubali kwa argument kwamba Lissu alisema maneno haya.

Sasa tuonyesheni wapi kwenye record prosecution imethibitisha kwamba maneno hayo yalikuwa na criminal intention inayohitajika na sheria?

Na hapo ndipo mens rea itakuwa moja ya battleground kubwa.

Na kwa defence inaweza kuichambua speech kama document nzima, yaani ilikuwa zaidi ya saa mbili, sehemu inayodaiwa kuwa treasonous ilikuwa sehemu ndogo ya speech,

Na kulikuwa na discussion pana kuhusu constitutional reforms, composition of the electoral commission, historical electoral grievances, disqualification of candidates, observer reports,

Na political position ya CHADEMA ya No Reforms, No Election.

Pia tukumbuke wakati wa defence, mashahidi kadhaa walisisitiza kwamba msimamo huo ulitokana na maamuzi ya CHADEMA yaliyotangulia Aprili 3, 2025.

Hivyo defence itajaribu kuonyesha kwamba Lissu hakuwa anaanzisha criminal plan siku hiyo, ila alikuwa akiwasilisha institutional political position iliyokuwepo kabla yake.

Na hapo ndipo attribution na publication pia zinaweza kurudi, na pia tukumbuke Prosecution ilijenga hoja kwamba speech ilichapishwa na kusambazwa online,

Lakini Lissu amekuwa akipinga kwamba hakudhibiti Jambo TV na kwamba journalist ndiye aliyeamua kulivestream na baadaye kupakia video. Na wakati wa case to answer, hili tayari lilikuwa moja ya hoja zake.

Pia defence inaweza kusema kwamba, hata kama publication ilitokea, prosecution bado lazima ithibitishe legal responsibility ya accused kwa publication inayodaiwa kuwa sehemu ya offence,na sio kuwepo kwa video pekee.

Jambo lingine ninaloliona likiwa muhimu sana ni causal nexus, Prosecution imeleta ushahidi mwingi kuhusu violence, killings, arrests, destruction na matukio ya uchaguzi wa 2025.

Lakini hapa defence inaweza kuuliza swali rahisi sana lakini la mtego kwamba, Ni ushahidi gani unaounganisha matukio hayo na Lissu personally?
 
ile ya kurasa elfu moja ya kuaga dunia? :1Head:
 
Najikutq kuipenda sheria sema ndo hivyo siwezi rudisha muda nyuma.
Kwa maoni hayo hukumu inastahili kumuweka huru lissu kwa sababu kama kesi ingeisha kabla ya 29october hakika wasingepata hoja zakumshtaki Lissu, hivyo kwakutumia hoja hizo ni dhahiri hii kesi iloshakufaga siku nyingi kabla ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom