Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,533
Reaction score
14,841
1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.

2. Alipata muda gani wa kufanya research na kuandika?
Ikiwa muda mwingi wa mchana ulitumika mahakamani na alifika mahabusu usiku, ni muda gani halisi uliobaki kwa ajili ya kusoma, kufanya research, kuchambua hoja na kuandika submission?

3. Alipata muda gani wa kupumzika?
Submission yenye uchambuzi wa kina inahitaji muda wa kusoma na kufikiri. Ikiwa kazi hiyo ilifanyika zaidi wakati wa usiku, swali linabaki: alitumia muda gani kulala na kupumzika?

4. Siku nne zilitosha kwa kazi hiyo kwa mazingira hayo?
Si suala la kusema kwamba haiwezekani kuandika submission ndani ya siku nne. Inawezekana. Lakini mazingira ya mtu aliye nje ya ulinzi na mwenye kompyuta, internet, maktaba na muda wa kutosha ni tofauti na ya mtu anayehudhuria mahakamani siku nzima na kurejea mahabusu usiku.

5. Tofauti na upande wa serikali
Upande wa serikali ulikuwa na zaidi ya mawakili saba. Baadhi walionekana mahakamani huku wengine wakiwa nje wakifanya research na maandalizi. Hivyo, kazi inaweza kugawanywa kati ya watu kadhaa. Pamoja na rasilimali hizo, submission yao ilikuwa takribani kurasa tano tofauti na ya Lissu iliojikita ktk analysis.
 
Tundu mmoja ni Sawa na Wananchi= jaza mwenyewe
 
Lissu ana mawakili wake wa utafiti mbona hata mahakamani huwa anafanya consultation nao mkuu.

Lakini pia kwa uwezo mkubwa wa IQ alionao Lissu baadhi ya case laws anazo cite alishazisoma muda mrefu maana ni mtu wa kujisomea sana kila mara.

Pia mawakili wake wanapompelekea kile walichokitafiti yeye huenda extra miles maana ukishakuwa mzoefu kwenye tasnia basi uwezo wa reasoning na kujenga legal arguments ni mkubwa.
 
Unamaana wakili Katuga sio mzoefu?
 
1. Alipata wapi internet na kwa muda gani?
Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo.

2. Alipata muda gani wa kufanya research na kuandika?
Ikiwa muda mwingi wa mchana ulitumika mahakamani na alifika mahabusu usiku, ni muda gani halisi uliobaki kwa ajili ya kusoma, kufanya research, kuchambua hoja na kuandika submission?

3. Alipata muda gani wa kupumzika?
Submission yenye uchambuzi wa kina inahitaji muda wa kusoma na kufikiri. Ikiwa kazi hiyo ilifanyika zaidi wakati wa usiku, swali linabaki: alitumia muda gani kulala na kupumzika?

4. Siku nne zilitosha kwa kazi hiyo kwa mazingira hayo?
Si suala la kusema kwamba haiwezekani kuandika submission ndani ya siku nne. Inawezekana. Lakini mazingira ya mtu aliye nje ya ulinzi na mwenye kompyuta, internet, maktaba na muda wa kutosha ni tofauti na ya mtu anayehudhuria mahakamani siku nzima na kurejea mahabusu usiku.

5. Tofauti na upande wa serikali
Upande wa serikali ulikuwa na zaidi ya mawakili saba. Baadhi walionekana mahakamani huku wengine wakiwa nje wakifanya research na maandalizi. Hivyo, kazi inaweza kugawanywa kati ya watu kadhaa. Pamoja na rasilimali hizo, submission yao ilikuwa takribani kurasa tano tofauti na ya Lissu iliojikita ktk analysis.
Jibu rahisi: hata hizi habari ya migomo stendi ya Magufuli na kupotea kwa Nchimbi anazipata wapi? Jela hawanaga ITV? Ni wale mabeberu utawaona mahakamani kila siku. Wana mtu wao katika wafungwa mmoja wao akishirikuana na mmoja timu ya Lissu iliyo ndani anamfanyia research kimya kimya na kumfeed kila asubuhi.
 
We jamaa Muongo, mahabusu wanaogelea magazeti
 
Back
Top Bottom