Wamesema makonda wamemtengenezea zengwe Kwa sababu ya kazi take ya kupambana na madawa ya kulevya na ndio propaganda zinavyotamba kwenye mitandao hats yy mwenyewe katamka hayo Leo lakini kashindwa kukubali au kukataa swala LA jina lake na vyeti vyake, ila Kwa mm nitakuwa tofauti na maelezo yake kwani wakati serikali imeanzisha masako Wa watumishi hewa na msako Wa vyeti feki ndo swala lake lilipoanzia kuwa watu wanaachishwa kazi Kwa kupitia uhakiki Wa wakuu Wa wilaya,mikoa na wakurugenzi na wakuu Wa idara ndipo watu walipoanzia mhakiki mbona yy anacheti siyo chake kwani waliotoa hiyo ni watu wanaomjua Kwa undani na wamesoma wote na hill halina ubishi ila Kwa sasa mteuzi alishatoa maamuzi take kuwa yy hakumteua Kwa ajili ya vyeti ila Kwa utendaji wake Wa kazi,hivyo makonda ndo Rc wetu dar hakuna mjadala Ila waweke kumbukumbu Kwa tawala zijazo wasije kumgeuka wakasema arudishe mushahara yote aliyochukua akiwa kiongozi Wa wananchi,awekewe kings maalum!