mangia22
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 446
- 185
sa apo umeandika nn..mbona ka unalia liahuna lolote wewe una lako jambo. unaacha kwenda kazini eti kumsikiliza rc makonda. kwa kipi zaidi kuliko utumbuzi wa madawa ya kulevya. kwani kwa makonda unategemea a statesman au kijana mdogo anayechipukia kwenye uongozi. mumeshindwa kumlazimisha jpm amtoe dar kwa hofu ya utendaji wake..yes nyie wapinzani specificaly cdm na nyie wauza ngada. yes mumeshindwa baada ya kila fitina na matusi jpm amewapuuza.