Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

Siwezi kukulaumu sana sabb mkikosa majibu ya hoja mnakimbilia eti sisi ni watumbuzi wa dawa za kulevya; Swali: Hivi Kinje, Masogange, Gsm, je hawa si maswahiba wa makonda ambao wote wanafahamika kwa biashara ya unga?
kama kinje masogange na huyo mwingine kweli ni wauza ngada active nikuulize wewe kwa nini hawakamatwi..maana makonda kashaambiwa handsoff kuna chombo sasa mahusisi kwa shughulu hiyo. mbona authority haiwakamati. au nyie wenye ushahidi bado kupeleka ushahidi..pelekeni sasa ushahidi.
 
swali: embu tupe historia ya elimu yako?
Jibu: me natetea watoto na vijana wanaoangamia kwa madawa ya kulevya..
 
Hii ni Tanzania ya Viwonder bwana kila kitu hamna lolote.Angalia mawaziri wanavyojibu hoja za wabunge ndiyo utajuwa kwa nini miaka hamsini ya uhuru tunajadili vyoo vya matundu,watoto wanasoma chini ya miti kama tumetoka vitani,Mkuu wa mkoa kusimamia rambirambi na kuzifanya za kujengea kama vile zimetokana na kodi za wananchi,Waziri kupindisha sheria kwa sababu ya kumpendezesha bwana mkubwa ili kipenzi chake asiguswe,Waziri kujibu ati charahani nne ni kiwanda tayari na wabunge wa CCM,kama mazuzu wanashangilia na maajabu menggineyo.Tutabaki karne ya kumi na nane waTanzania tusipo jitambua.Ole wako Tanzania.
 
Rais tumekupa dhamana tafadhali tuheshimu wananchi kwa kutuondolea huyu mtu, tafadhali sana mh Rais
 
Wanatafuta kumsafisha tu mhusika.Ila Mungu anawaona ,mhusika atashangaa baada ya miaka miwili ijayo jinsi atakavyokuwa jela na watu lukuki ikiwemo anaofikiria wanamback up wataendelea hivyo hivyo.Siasa ni kitu kibaya sana.Ila nahisi hii ya huyu mhusika ni Mungu ame create ili utawala huu uanguke puuu.Just mark my words!Ndio maana tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo.Farao Mungu alimpa moyo mgumu maksudi .Ukisoma Kutoka 08:15 "Lakini wakati huu pia Farao akaufanya moyo wake mgumu".Kutoka 9;12 "Bwana akaufanya mgumu moyo wa Farao asiwazikilize....."Kutoka 7;13,22 08;19 "
So kuna sababu
 
Dogo anatiririka tu yeye na Mawaziri ni sawa hata furushi wanalopokea Mwisho wa Mwezi Ngoma droo.Majaliwa nadhani sindano itakuwa imekuingia hiyo
 
Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!

Makonda ameonyesha cheti chake.
Kifupi ni kwamba kupitia mahojiano ya leo Makonda ni kama ameonyesha cheti chake cha zero.What he was talking reflects what is in his form four certificate. Hakuna haja ya kuendelea kudai cheti

Jioni njema
Mbaya zaidi maswali kaya-print yeye mwenyewe na kashindwa kuyajibu.
 
Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.

Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!

Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku

Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO

Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.

Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau

Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?

Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana

Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!

Makonda ameonyesha cheti chake.
Kifupi ni kwamba kupitia mahojiano ya leo Makonda ni kama ameonyesha cheti chake cha zero.What he was talking reflects what is in his form four certificate. Hakuna haja ya kuendelea kudai cheti

Jioni njema
Siku nyingine usipoteze muda wako tena kuangalia mazingaombwe ya rangi ya kijani...
Hao hawanaga jipya bali kujitia ukakasi akilini tu..
 
Watanzania tuna Bahati mbaya sana, lakini tumejitakia kwa kuichagua CCM
 
Huwezi kumu-ignore bashite.
Wakati Nchi nzima imetulia na mambo yake yeye kaita media anataka kuzungumza.
Wakati watumishi wanafanya mambo Yao yeye atakuja kuwadhalilisha.
Akipotea mtu yeye anakuja kumrudisha!
Mkuu naye haishi kumtaja au kumpa kiki....
Sijui iweje Huyu jamaa aache kushughulisa watu wa mji huu.
Kweli tungependa kumuignore Lakini nahisi Itakuwa ngumu
 
Huu Uzi umenifunza kitu nimengalia kile kipindi chote Makonda ni muongo mchonganishi na mfitinishi anajificha kwenye mwamvuri wa madawa na ulokole kuficha udhaifu wake wa vyeti na ni mtu hatari na katiri sana.nipo nae group la whasap ukimpinga anakufata inbox anakutishia kiufupi aliyemteua hajielewi

Mkuu nitafutie namna uniunge hilo group halafu anifuate private ,serios fanya hivyo..
 
Huu uzi umechagua tu upande mmoja.

Endelea kutoa povu humu, huku ya nyumbani kwako yakikushinda.
 
Back
Top Bottom