Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

Hakuna jipya ulioandika.
Ni wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha makonda haandikwi wala hasikilizwi,kimekupata nini leo unampa kiki makonda?
Unashangaa akili ndogo kuongoza akili kubwa wapi?wakati kuna chama mtu ana div0,lakini anayaswaga maprofessor na madaktari
za uso hizi.
 
huyu Bashite ni mjinga hakuna haja ya kumjadili humu ndani......hata kizazi hana ananenepa matako tu....!
Zaidi ya uteuzi ana kazi nyingine ya kumfurahisha"boss" wake kimwili
TATIZO NI VYETI TU!
Hujafa hujaumbika, unadhani kama leo unakizazi kesho huwezi kukosa, unacheka mamba kabla hujavuka mto? kama una watoto wanaweza kufa wote na mungu akakunyima kizazi ukafa bila kuitwa mzazi tena katika miasha yako. wewe jadili siasa na sio utukufu wake Mungu kwani yeye ndio anapanga nani apate ninii na kwa muda gani? kama umejaaliwa watoto usidhani ni ujanja au ujuaji wako bali ni Neema toka kwa muumba.
 
mtu kama bashite kwa wadhifa wa juu kabsa alionao na jinsi anavokubalika na mkuu ...alitakiwa kutuinua vijana wnzake kielimu..kimaisha n.k ila sio kurumbana kila siku mitandaoni haisaidii kitu kabsa ni upuuzi tu
Makonda alikuwa mtu sahihi kabisa wa kuwasaidia vijana mfano kama kungekuwa na kundi la vijana wajasiamali wenye malengo mazuri, angewasaidia kupitia ofisi ya mkoa au hata kuwatafutia wafadhili - lakini wamechonganishwa na kundi maslahi na wauza sembe - wanagonganishwa vichwa tu kama misukule. Unakuta jitu lina chuki kaliii dhidi ya makonda wakati hata halifahamu. ILI MRADI MBOWE HAMPENDI MAKONDA BASI NYUMBU WOTE NI KUUNGA TELE KAMA MAZUZU
 
Yaani kuanzia leo napitisha rasmi sheria nyumbani kwangu neno MAKONDA, BASHITE ni matusi yeyote atakayetaja au kuyasema maneno hayo adhalani atakiona cha moto
 
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
mkuu hii ni kweli au umechomekeamo
 
Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.

Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!

Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku

Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO

Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.

Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau

Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?

Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana

Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!

Jioni njema

Hata hivyo na wewe pia inaonekana akili yako ni ndogo sana katika kufikiri kwani kuna mambo Makonda ameyaongea ambayo yakifuatiliwa kikamliifu meza inaweza ikageuzwa miguu juu.
 
Je umeshapokea posho yako baada ya kupost upuuzi humu ?
 
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
hahah hio ni pure psychiatry case
tunaita flight of ideas anajibu kingineee, ngachoka kabisa
 
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Typical TANGENTIALITY mkuu
 
Huu Uzi umenifunza kitu nimengalia kile kipindi chote Makonda ni muongo mchonganishi na mfitinishi anajificha kwenye mwamvuri wa madawa na ulokole kuficha udhaifu wake wa vyeti na ni mtu hatari na katiri sana.nipo nae group la whasap ukimpinga anakufata inbox anakutishia kiufupi aliyemteua hajielewi
samahani naomba mfano wa kitisho kimoja walau?
hivyo kwenye hilo group mnamuogopa? si bora uleft tu
 
Bashite ni Muongo sana kuna sehemu nilimsikia akisema mshahara wa mkuu wa mkoa upo sawa na wa waziri,
Sio kweli nauhakika kabisa mishahara yao hailingani mshahara wa waziri ni mkubwa kulipo wa rc.
Anataka kujustif upumbavu wake kirahisi.
Huyu mtu amefanya kosa la jinai la impersonification .
Achukuliwe hatua hayupo juu ya sheria
 
Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.

Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!

Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku

Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO

Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.

Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau

Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?

Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana

Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!

Jioni njema
huna lolote wewe una lako jambo. unaacha kwenda kazini eti kumsikiliza rc makonda. kwa kipi zaidi kuliko utumbuzi wa madawa ya kulevya. kwani kwa makonda unategemea a statesman au kijana mdogo anayechipukia kwenye uongozi. mumeshindwa kumlazimisha jpm amtoe dar kwa hofu ya utendaji wake..yes nyie wapinzani specificaly cdm na nyie wauza ngada. yes mumeshindwa baada ya kila fitina na matusi jpm amewapuuza.
 
Back
Top Bottom