Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Wewe ni muuzaji au mtumiaji wa madawa ya kulevya?
Kwnai huyo ni Kinje au Masogange
Wewe ni muuzaji au mtumiaji wa madawa ya kulevya?
na ndo kwenye maisha inakuwaga hivohvo..unayemwamini hapewi nafasi..anapewa usiyemwaminiMimi mwenyewe nimeangalia nikaona kabisa mamlaka za uteuzi hazipo serious kabisa.
Kama mkuu wa mkoa wa Dar ndio huyu basi sina haja ya kujua kwa nini nchi yetu masikini, kwa nini rambi rambi zinatafunywa hovyo hovyo, na kwanini ukiwa na vyereheni vinne basi una kiwanda.
kazi ipo nchi zetu hizi za kiswahili ...hadi rahaHakuna jipya ulioandika.
Ni wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha makonda haandikwi wala hasikilizwi,kimekupata nini leo unampa kiki makonda?
Unashangaa akili ndogo kuongoza akili kubwa wapi?wakati kuna chama mtu ana div0,lakini anayaswaga maprofessor na madaktari
Hata wewe sikuchukulii kwa uzito,nakupuuza tu.Hakuna jipya ulioandika.
Ni wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha makonda haandikwi wala hasikilizwi,kimekupata nini leo unampa kiki makonda?
Unashangaa akili ndogo kuongoza akili kubwa wapi?wakati kuna chama mtu ana div0,lakini anayaswaga maprofessor na madaktari
Akili yake ndogo mno kuliko mguu Wa sisimizi lakini anajidanganya kwamba kwa vile kaambiwa pigs kazi basi anaweza mdanganya hata Mungu sio dhambi lkn najiuliza ujinga na hasira zake au kwa sbb hajawahi nunua pempas za mtotoHuu Uzi umenifunza kitu nimengalia kile kipindi chote Makonda ni muongo mchonganishi na mfitinishi anajificha kwenye mwamvuri wa madawa na ulokole kuficha udhaifu wake wa vyeti na ni mtu hatari na katiri sana.nipo nae group MNA whasap ukimpinga anakufata inbox anakutishia kiufupi aliyemteua hajielewi
mambo mengne tuachaneni nayo tu yatatuumiza kichwa bure....tuangalie mchezo unachezeka vipi tu basisi mchezo huyu mkolomije anamkana dingi yake asubuhi kweupe ati yeye si Bashite yeye ni Makonda are you mental??
Tatizo lenu hamjui mnataka nini?kama umenipuuza mbona umenijibuHata wewe sikuchukulii kwa uzito,nakupuuza tu.
maana hakuna namna nyinginemambo mengne tuachaneni nayo tu yatatuumiza kichwa bure....tuangalie mchezo unachezeka vipi tu basi
akiri[/QUOTE]what is this????????kweli nyani haoni kundule.....nyie ni wale wale kwanza ushaanza na negativity hata kabla hujawasha hiko kitv chako WHAT DO YOU EXPECT????Makonda atabaki kuwa Makonda tu mtahama nyinyi.
yaahh hakuna namna ...tutafanya nn sasa na wao wameamua kugombana wakati wengne akina sisi elimu tunayo na nafasi za kazi hakuna...mpaka vyeti feki watoke....wanatoka lini haijulikani...bai ni kicheko tumaana hakuna namna nyingine