Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

Mh rais alishasema hapangiwi, cha ajabu badala afungiwe au kujadiliwa rais, Makonda ndo topic, huu si utahira na kujipendekeza? au mnasubiri teuzi?! Gwajima anajipendekeza kwa kusema tumwombe raisg, kama ni mwanaume kweli adili na rais.
 
Hivi hiki kiumbe kinachoitwa Bashite au Ma*onda ni kimbe gani!
Naomba mnifahamishe maana hata kwenye wikipedia hakipo.
Nimejaribu kuwaza labda ni mbuni maana ubongo wake ni mdogo zaidi ya jicho lake lakini naona siyo, ila nahisi ni jamii ya mbuni pengine wenye ubongo mdogo zaidi.....
 
Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: Wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.
Methali 29:11‭-‬13 BHN
Methali 29:11-13; Mpumbavu huonesha hasira yake wazi,lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Mtawala akisikiliza mambo ya uongo,maofisa wake wote watakuwa waovu. Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja:Wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.
 
ni bashite tena. mange kamwaga mboga insta, unaambiwa jamaa anashusha bonge LA hekalu mwanza. sasa,najiuliza kwa mshahara gani anaolipwa mkuu wa mkoa. bashite sio msafi. Bashite achunguzwe na vyombo husika
 
Huu Uzi umenifunza kitu nimengalia kile kipindi chote Makonda ni muongo mchonganishi na mfitinishi anajificha kwenye mwamvuri wa madawa na ulokole kuficha udhaifu wake wa vyeti na ni mtu hatari na katiri sana.nipo nae group la whasap ukimpinga anakufata inbox anakutishia kiufupi aliyemteua hajielewi
Mkuu kama hutojali, naomba namba yake nimyooshe huyo boya
 
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Ahahahaha!
 
Wamesema makonda wamemtengenezea zengwe Kwa sababu ya kazi take ya kupambana na madawa ya kulevya na ndio propaganda zinavyotamba kwenye mitandao hats yy mwenyewe katamka hayo Leo lakini kashindwa kukubali au kukataa swala LA jina lake na vyeti vyake, ila Kwa mm nitakuwa tofauti na maelezo yake kwani wakati serikali imeanzisha masako Wa watumishi hewa na msako Wa vyeti feki ndo swala lake lilipoanzia kuwa watu wanaachishwa kazi Kwa kupitia uhakiki Wa wakuu Wa wilaya,mikoa na wakurugenzi na wakuu Wa idara ndipo watu walipoanzia mhakiki mbona yy anacheti siyo chake kwani waliotoa hiyo ni watu wanaomjua Kwa undani na wamesoma wote na hill halina ubishi ila Kwa sasa mteuzi alishatoa maamuzi take kuwa yy hakumteua Kwa ajili ya vyeti ila Kwa utendaji wake Wa kazi,hivyo makonda ndo Rc wetu dar hakuna mjadala Ila waweke kumbukumbu Kwa tawala zijazo wasije kumgeuka wakasema arudishe mushahara yote aliyochukua akiwa kiongozi Wa wananchi,awekewe kings maalum!
Cheti chake kinakuhusu nini wewe mpiga story ktk vijiwe vya kahawa?

Rais angeulizia vyeti ni haki yake,Sasa Hata mwandishi wa habari naye anamuuliza vyeti hivi kweli ndiyo weledi wa wana habari wetu??

Mpaka leo sijaona chochote cha maana kinachoandikiwa kuhusu Makonda kwenda Clouds zaidi ya mihemko tu isiyo na kichwa wala miguu.
 
Labda serikali ya kijiji. Waziri na RC wako kwenye scale ya mshahara inayofanana lakini siyo lazima mishara iwe one
Labda serikali ya kijiji. Waziri na RC wako kwenye scale ya mshahara inayofanana lakini siyo lazima mishara iwe one to one. Lakini pia hata wakuu wa mikoa siyo lazima wapate mishahara inayolingana cent to cent.
Acha ujuha wewe Yaani huyo makonda mnaye mtetea hasafishiki na hii tutampatia meya Jacob aiongeze kwenye malalamiko aliyopeleka sekretarieti ya maadili ya viongozi. Haiingii akilini Kwa kiongozi RC kadanganya hadharani sasa nikudokeze kidogo viwango vya mishahara ya viongozi serikalini.
Mshahara mkubwa wa watumishi viongozi serikalini ni ngazi ya LSSP 9, mshahara huu anapotea katibu mkuu kiongozi, LSSP 8 mshahara w Mawaziri, makatibu Wa kuu wa wizara LSSP 7, Wakuu wa mikoa si LSSP 6 ,
Hivyo alivyosema mishahara ya waziri na mkuu wa mkoa ni sawa amedanganya, yaani anatia aibu Heri ajiudhulu tu anatumia nguvu kubwa pamoja na uongouongo kutetea upumbavu na ujinga wake.
Kimsingi makonda anatakiwa apandishwe kizimbani kujibu tuhuma za impersonification pamoja na kutumia cheti cha mtu mwingine.
Mwisho nakushauri acha kujiaibisha Kwa kumtetea makonda labda kama ni makonda mwenyewe unapaswa kufahamu Kuna watumishi wa umma tunafahamu sana mambo ambayo unayaongelea na hatufurahishwi na mwenendo wako,
 
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Halafu kuna wajinga wanamuona role modo wwao
 
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Halafu kunawatu wanamuona ni rolw modo wao
utasikia makonda oye khaaaaaaa akili zao vinafikiri kinyumenyume
 
Kwa mapenzi tele tele mliyonayo kwa RC Makonda

Amewaacha kwenye mataa leo, si kwa jinsi alivyoshusha nondo

Yaani bado nacheka, halafu nyie nyie mnaomsemaga vibaya ndio mko bizi kuanzisha threads na kupondea... tunajua mnataka tu kuwahi na kuonyesha haikuwa poa

Ila kweli haumpendi mtu, unasikia anaongea sijui yale yale kama vule hakuna la maana na unaendelea kumutazama usoni na kumsikiliza kea makini...eeeeeeeeeeh

Leo kawapata jamani

Makonda fans nawashangilia, sogeeninhuku tushangilie Lori la JPM lile linapita kea kasi sana na Makonda yuleeeeeeeeeee anapunga mkono



Eeeeeeeeh

Inajulikana hamrakubali kuwa leo kawaacha mataa, sasa muwaambie hivyo cyombo vya hanari tunataka kujua ya jijini iweje maji yanapungua bei hawataki kututangazia kisa RC Jembe na Hapa Kazi tu

Waambieni tunataka kujua ya jijini na fylsa zilizopo, na ntie mapaparazi najua mnasoma. Mmeambiwa mnapambana na makonda ila mnaingiza na wana darisalama kwenye majambo yenu ya kuisoma namba



Makonda oyeeeeeeeeeee
Manamba in action.
 
Back
Top Bottom