OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,687
Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?Bashite anakikana KIUNO kilichomleta duniani?!!!
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!
Makonda ameonyesha cheti chake.
Kifupi ni kwamba kupitia mahojiano ya leo Makonda ni kama ameonyesha cheti chake cha zero.What he was talking reflects what is in his form four certificate. Hakuna haja ya kuendelea kudai cheti
Jioni njema