Huu Uzi umenifunza kitu nimengalia kile kipindi chote Makonda ni muongo mchonganishi na mfitinishi anajificha kwenye mwamvuri wa madawa na ulokole kuficha udhaifu wake wa vyeti na ni mtu hatari na katiri sana.nipo nae group la whasap ukimpinga anakufata inbox anakutishia kiufupi aliyemteua hajielewi
Ni laana iliyopitiliza kumkana mzaziKama unaweza kumkana Baba Mzazi ni rahisi kulikana taifa lako na kuliweka pabaya
birds of the feather flock together=birds of the same feather flock together.Birds of the feather flock together
atakuwa ni anaefaidika na madawa ya kulevyaWewe ni muuzaji au mtumiaji wa madawa ya kulevya?
cocochanelsi mchezo huyu mkolomije anamkana dingi yake asubuhi kweupe ati yeye si Bashite yeye ni Makonda are you mental??
Aah?birds of the feather flock together=birds of the same feather flock together.