Kwa mapenzi tele tele mliyonayo kwa RC Makonda
Amewaacha kwenye mataa leo, si kwa jinsi alivyoshusha nondo
Yaani bado nacheka, halafu nyie nyie mnaomsemaga vibaya ndio mko bizi kuanzisha threads na kupondea... tunajua mnataka tu kuwahi na kuonyesha haikuwa poa
Ila kweli haumpendi mtu, unasikia anaongea sijui yale yale kama vule hakuna la maana na unaendelea kumutazama usoni na kumsikiliza kea makini...eeeeeeeeeeh
Leo kawapata jamani
Makonda fans nawashangilia, sogeeninhuku tushangilie Lori la JPM lile linapita kea kasi sana na Makonda yuleeeeeeeeeee anapunga mkono
Eeeeeeeeh
Inajulikana hamrakubali kuwa leo kawaacha mataa, sasa muwaambie hivyo cyombo vya hanari tunataka kujua ya jijini iweje maji yanapungua bei hawataki kututangazia kisa RC Jembe na Hapa Kazi tu
Waambieni tunataka kujua ya jijini na fylsa zilizopo, na ntie mapaparazi najua mnasoma. Mmeambiwa mnapambana na makonda ila mnaingiza na wana darisalama kwenye majambo yenu ya kuisoma namba
Makonda oyeeeeeeeeeee