Na hiki ndicho wanzugu huzingatia katika utawala...makonda kapoteza sifa ya kuwa kiongozi...sio mtu wakuaminika...kwa interview hii nazani kamchefua hadi jpm...ngoja tuone wiki hii Nini kitatokeaKama unaweza kumkana Baba Mzazi ni rahisi kulikana taifa lako na kuliweka pabaya
UNASEMA, upo nae wap???Huu Uzi umenifunza kitu nimengalia kile kipindi chote Makonda ni muongo mchonganishi na mfitinishi anajificha kwenye mwamvuri wa madawa na ulokole kuficha udhaifu wake wa vyeti na ni mtu hatari na katiri sana.nipo nae group la whasap ukimpinga anakufata inbox anakutishia kiufupi aliyemteua hajielewi
hii ni sample tu ya maswali aliyoulizwa na majibu aliyojibu,mkuu hii ni kweli au umechomekeamo
Siwezi kukulaumu sana sabb mkikosa majibu ya hoja mnakimbilia eti sisi ni watumbuzi wa dawa za kulevya; Swali: Hivi Kinje, Masogange, Gsm, je hawa si maswahiba wa makonda ambao wote wanafahamika kwa biashara ya unga?huna lolote wewe una jambo lako jambo. unaacha kwenda kazini eti kumsikiliza rc makonda. kwa kipi zaidi kuliko utumbuzi wa madawa ya kulevya. kwani kwa makonda unategemea a statesman au kijana mdogo anayechipukia kwenye uongozi. mumeshindwa kumlazimisha jpm amtoe dar kwa hofu ya utendaji wake..yes nyie wapinzani specificaly cdm na nyie wauza ngada. yes mumeshindwa baada ya kila fitina na matusi jpm amewapuuza.
hujui na umetawaliwa na chuki tu. status ya waziri na mkuu wa mkoa tz ni sawa. kwa hiyo anachokisema ni kweli. wengi hamjui including nape ndio maana akafanya kosa la kijinga kudhani kama waziri anaweza kuunda tume kumchunguza mkuu wa mkoa.Bashite ni Muongo sana kuna sehemu nilimsikia akisema mshahara wa mkuu wa mkoa upo sawa na wa waziri,
Sio kweli nauhakika kabisa mishahara yao hailingani mshahara wa waziri ni mkubwa kulipo wa rc.
Anataka kujustif upumbavu wake kirahisi.
Huyu mtu amefanya kosa la jinai la impersonification .
Achukuliwe hatua hayupo juu ya sheria
Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!
Jioni njema
Tuseme mpaka JPM atakapo toka urais be it 2025! Keep record for future use. makonda hatapona ICC, even kwa mahakama za ndani maana kosa la jinai halifutiki! Keep record! and his accomplice, wanafahamika fika!mimi nimekwisha washaurini jamaani kumjadili makonda ni kupoteza muda ipo hivi mimi ninapo kuchongea kitu ni kwamba nataka kukuharibia kwa bosi wako sasa kwa makonda hilo haliwezekani mbona mnatumia akili nyingi sana hilo haliwezekani tuendelee na issue zingine.
umekosea sio KKK, ni KK (kusoma na kuandika tu)Tatizo KKK,ndiyo sababu tumepeleka Binti mwenye Degree ya Sheria aliyosoma mwaka mmoja,halafu tunategemea ushindani kwenye soka la EAC.
Tupo group nae moja la whasap nilianzisha mjadara wa vyeti feki akanifata inbox akaniambia najifanya kiherehereUNASEMA, upo nae wap???
uzuri baaba yake amemsikiliza boya wakeWana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!
Makonda ameonyesha cheti chake.
Kifupi ni kwamba kupitia mahojiano ya leo Makonda ni kama ameonyesha cheti chake cha zero.What he was talking reflects what is in his form four certificate. Hakuna haja ya kuendelea kudai cheti
Jioni njema
Hii ni moja ya aibu ktk taifa letu. Nakumbuka wakati wa uongozi wa Mwl. Nyerere matukio kama hayo tungeweza yasikia nje ya nchi yetu na tungeshangaa au kucheka,sasa upuuzi wa kina Bashite hupo ndani ya nchi yetu na mtawala aliyepo anachekelea uoza wake badala ya kuchukua hatua. Aibu ni kwetu wote. Tunaipenda Tanzania?Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Na tunapoendelea kumlaumu Makonda tunakosea. Tatizo sio Makonda tatizo ni aliyemteua Makonda ambae ni rais. Huyu ndiyo mtu wa kumlaumu hasa. Huyu ndiye aliyemfanya hata Dr.Mwakyembe aonekane kituko kumtetea Makonda,huyu ndiye anayemfanya hata Kairuki ajiaibishe kuhusu "kujua kusoma na kuandika" ili kumtetea Makonda. Hata Askofu Gwajima nakushauri uachane na Makonda. Kama wewe kidume kweli mzee wa madude kula sahani moja na aliyemteua na kumkingia kifua Makonda. Jiulize swali moja tu kwa nini uliposingiziwa mtoto ulimjadili zaidi Makonda badala ya yule mama insane?Ni kwa sababu aliyemtumia ni Makonda!!
Makonda ameonyesha cheti chake.
Kifupi ni kwamba kupitia mahojiano ya leo Makonda ni kama ameonyesha cheti chake cha zero.What he was talking reflects what is in his form four certificate. Hakuna haja ya kuendelea kudai cheti
Jioni njema
we unavomuona unadhani yuko sawa bashitte wako?Mnajipa presha ya bure tu.maana hata ukimchukia.umpunguzii kitu.