Tunaenda kuomba msaada kwa nchi ambazo Mawaziri wanatumia treni

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔

Yote haya yanafanyika wakati nchi haina hata umeme. Halafu tunajiuliza kwanini sisi tu ndiyo masikini😂

Nchi hizi ni kama zile za Scandinavia
 
Ndio ukweli huo kaka,juzi alikuwa Oslo na bakuli lake na inawezekana kaja na ndege yake,lakini Norwegian prime minister hana ndege yake,na wala hana hiyo misafara ya msululu wa magari, yaani hata mfalme wao ni hivo. Sijui wabongo tuna laana gani?
 
Kipindi najiunga jf,jukwaa la siasa ndo lilinifanya nikajiunga!
Ila mambo km haya ,nikaona napata stress bure wakati wengine wanakula Bata Kwa Hela za Kodi
 
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔

Yote haya yanafanyika wakati nchi haina hata umeme. Halafu tunajiuliza kwanini sisi tu ndiyo masikini😂

Nchi hizi ni kama zile za Scandinavia
Hatuna umeme?
 
Ndio maana walipoenda kumzika malikia wa uingereza waliwekwa kwenye Eicher ila bado hawajifunzia....hivi nani aliye tulihaaaaa
 
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔

Yote haya yanafanyika wakati nchi haina hata umeme. Halafu tunajiuliza kwanini sisi tu ndiyo masikini😂

Nchi hizi ni kama zile za Scandinavia
Raha ya misafara ni pale yanapogongana yenyewe kwa yenyewe!
 
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔

Yote haya yanafanyika wakati nchi haina hata umeme. Halafu tunajiuliza kwanini sisi tu ndiyo masikini😂

Nchi hizi ni kama zile za Scandinavia
Halafu tunanunulia mashangingi ya Mil 600
 
Safari yangu ya monduli kumzika nguli Lowassa imenifanya niliwaze sana jeshi letu.
Hivi Monduli jeshi limepewa eneo kuuuubwa wanashindwa hata kupanda miti?? Wanashindwa kutuonesha jinsi walivyobadili eneo kame kuwa kijani iwe ni funzo Kwa Tz?
Wanajeshi hawana vita wala kazi zozote ngumu kwanini wasilime miwa tupate sukari nawao wapate pesa hata za mafuta??
Inamaana miaka yote watakuwa wanapima tuu shabaha,kulipua mabomu na kukimbia juani pale monduli??
Asee embu tubadilike ukame wa monduli unaonesha uvivu na kukosa ubunifu Kwa wakaazi wa pale.
Mkuu wa majeshi tafadhali tusisubiri mpaka Rais aseme...kambi zote zioneshe mfano katika kulinda mazingira na kuipendezesha nchi!!!
Jeshi la China nimfano wa kuigwa embu mbadilike.
Hii ilisaidia wanajeshi wa China kuacha kufikiri kupiga watu,pombe na wanawake kwa saaana...
 
Viongozi wa serikali ya Africa ni watu wa kujikweza, nilihisi ile siku walipandishwa daladala kule ughaibuni wangejifunza kitu, kumbe wapi? Hawana cha kujifunza kabisa
 
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔

Yote haya yanafanyika wakati nchi haina hata umeme. Halafu tunajiuliza kwanini sisi tu ndiyo masikini😂

Nchi hizi ni kama zile za Scandinavia
CCM ni janga la taifa namba moja.
 
A fool and his money are soon parted.
You can’t unscramble eggs.”
 
Back
Top Bottom