Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.
Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfunga miaka 30 jela.
Kesi hizi mbili zinashabihiana kwa jinsi serikali ya Jiwe ilivyowategeshea na kuwanasa katika madhira yaliyowakuta.
Nimeisoma hukumu ya Yanga Omari Yanga na kweli ushahidi uko watertight, haikuwa rahisi kujinasua.
Hivyo tumwombee Mdude Chadema Mungu amuepushe na uonevu unaomsubiri.
NOT: NAONA KESI YA YANGA OMARI YANGA KWENYE Court of Appeal of Tanzania decisions | Tanzania Legal Information Institute IMEKUWA WITHDRAWN, SIJUI KUNA NINI