Tumwombee Mdude Nyagali, kesi yake inashabihiana na ya Yanga Omari Yanga ambaye amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Rufaa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,174
73,616
Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.

Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfunga miaka 30 jela.

Kesi hizi mbili zinashabihiana kwa jinsi serikali ya Jiwe ilivyowategeshea na kuwanasa katika madhira yaliyowakuta.

Nimeisoma hukumu ya Yanga Omari Yanga na kweli ushahidi uko watertight, haikuwa rahisi kujinasua.

Hivyo tumwombee Mdude Chadema Mungu amuepushe na uonevu unaomsubiri.

NOT: NAONA KESI YA YANGA OMARI YANGA KWENYE Court of Appeal of Tanzania decisions | Tanzania Legal Information Institute IMEKUWA WITHDRAWN, SIJUI KUNA NINI
 
Hata wezi wa mafuta kule Kigamboni nao wamebambikiwa na Biswalo Mganga
 
Kama alibambikiwa laana ubakia kwa familia za wabambikiaji hii ni laws of nature.Jiulize why baadhi ya familia hazifananii na ukubwa au alivyokuwa mzazi wao.Jibu ni kwamba mzazi wao alimwaga machozi ya watu hivyo laana inabakia kwenye kizazi chake.
 
Kesi za kubambikwa si zilifutwa? Kama hii wamekomaa nayo labda ina ukweli ndani yake
 
Mdude hata kama alisingiziwa ila ni kitu alichokitafuta kwa muda mrefu. Kabla ya kukamatwa kwake wenye busara walimsihi sana kutulia ila hakusikiliza. BAVICHA wengi wakiwa katika upumbavu wao wa hali ya juu walikuwa wakimtukana yeyote aliyekuwa akimshauri Mdude kubadilika. Binafsi bado ninawasihi wahusika watumie tu busara na kumwachia kijana huenda atakuwa ashajifunza. Bado ni nguvukazi inayohitajika sana uraiani.
 
Bwana mdogo shida yako kubwa ni kutengeneza narrative kuwa kila mtuhumiwa wa kesi yoyote akiwa mfuasi wa Chadema kasingiziwa.Anyway,tunaiomba mahakama itoe haki
Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.

Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfunga miaka 30 jela.

Kesi hizi mbili zinashabihiana kwa jinsi serikali ya Jiwe ilivyowategeshea na kuwanasa katika madhira yaliyowakuta.

Nimeisoma hukumu ya Yanga Omari Yanga na kweli ushahidi uko watertight, haikuwa rahisi kujinasua.

Hivyo tumwombee Mdude Chadema Mungu amuepushe na uonevu unaomsubiri.

NOT: NAONA KESI YA YANGA OMARI YANGA KWENYE Court of Appeal of Tanzania decisions | Tanzania Legal Information Institute IMEKUWA WITHDRAWN, SIJUI KUNA NINI
 
Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.

Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfunga miaka 30 jela.

Kesi hizi mbili zinashabihiana kwa jinsi serikali ya Jiwe ilivyowategeshea na kuwanasa katika madhira yaliyowakuta.

Nimeisoma hukumu ya Yanga Omari Yanga na kweli ushahidi uko watertight, haikuwa rahisi kujinasua.

Hivyo tumwombee Mdude Chadema Mungu amuepushe na uonevu unaomsubiri.

NOT: NAONA KESI YA YANGA OMARI YANGA KWENYE Court of Appeal of Tanzania decisions | Tanzania Legal Information Institute IMEKUWA WITHDRAWN, SIJUI KUNA NINI
Afungwe naye alizidi na siasa za kitoto maana hajajitambua
 
Maisha Haya mchuma janga hula na wAkwao sasa hvi wanaopata shida ni ndugu zake .familia inakosa msaada wake.nchi hii huwez shindana na serikali.
 
Kwa Yanga Omar ni tofauti kidogo. Yanga alikua kama yule Chonji wa pale Magomeni. Hata watoto walikua wanajua kua jamaa ni muuza ngada.

Yanga alionywa mara kadhaa aachane na hiyo biashara hasa awamu ile ya mwendazake lakini utamu na jeuri ya pesa akadhani ameiweka serikali yote mfukoni kama alivyokua amewaweka mfukoni askari wa Tanga. Wakati anakamatwa yawezekana hakukutwa na mzigo wowote. Lakini kwa historia yake na jinsi alivyokua anaendesha biashara yake wazi wazi ilikua rahisi sana kum fix na kum implicate na kuunganisha ushahidi na akashindwa kuchomoka

Kwa Mdude Nyangali sina hakika kama naye alikua mtu wa hivyo. Kama hakua zungu ni wazi kua ushahidi utaonekana wa kulazimisha na hatimaye mahakama itamuachia na kumsafisha

Mambo ya kubambikiwa kesi yapo sana hasa awamu iliyopita. Mungu Awaongoze waliopewa dhamana ya uongozi wa taifa hili wawe watenda haki kama viapo vyao vinavyo wataka
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom