Mack84
Member
- Mar 18, 2020
- 7
- 6
Tutatoboa kweli kwa Mghana maana naona katuacha mbaliWatanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1670488