Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,114
2,000
Kwanza kabisa tuache kutishiana kuhusu covid 19 japo kama una kinga dhaifu au kama una other risk factors ya kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa wa uviko 19 jaribu kukaa mbali na watu ambao unahisi wanaweza kukuambukiza covid 19 au kama una hiari ya kupata chanjo ya covid 19 nenda ukachanjwe . Risk factors za kufa kwa ugonjwa wa Covid 19 ni kama ifuatavyo:unene uliyopitiliza,magonjwa ya presha na moyo,kisukari,ukimwi,umri mkubwa,utapiamlo,pumu,kansa,magonjwa yanaoathiri mapafu,upunguvu wa damu,kuwa na kinga pungufu mwilini.kama uko ndani ya makundi hayo jaribu kwa kipindi hichi cha ugonjwa huu kuwa makini sana au ikipidi kama una hofu tafuta chanjo ambao unahisi yaweza kukufaa

Nimetangulia kusema kuwa tusitishane kwa sababu hizi zifuatazo.
Tangia ugonjwa huu umekuwepo early january 2020,walioambukizwa ni 206,958,371,na waliyokufa ni 4,357,179. yani kati watu 100 wanaoambukizwa,wanaokufa ni asili mia 2.1.

Kwa hiyo hata ukiambukizwa usiingize hofu,wahi hospitalini.Na watoa huduma tusiogope kuwahudumia wagonjwa wa aina hii.ukimnyanyapaa ndiyo unakuwa unamuua kabisa.

Hii ndiyo hali ya mambukizi ya ugonjwa wa corona duniani kote.Kwa kizungu:
Globally, as of 12:23pm CEST, 16 August 2021, there have been 206,958,371 confirmed cases of COVID-19, including 4,357,179 deaths, reported to WHO. As of 11 August 2021, a total of 4,428,168,759 vaccine doses have been administered.

Na ukiangalia dunia kote waliyoambukizwa ugonjwa huu ni 206,958,371, kati ya watu bilioni 7.8 wanaoshi duniania.sasa piga mahesabu ni asilimia ngapi ya watu waliyoambukizwa ulimwenguni kote.

Ndiyo maana,tunatakiwa kutoingiza hofu bali tuchukue tahadhali na kufuata ushauri mzuri wa watoa huduma za afya.kama uko kwenye kundi hatarishi jitahidi sana kujikinga kwa kadri iwezekanavyo lakini pia acha hofu.wahi hospitalini endapo utahisi umeambukizwa.

Nikizungumzia kuhusu kinga .

kuna primary prevention na secondary prevention. Primary prevention ni pamoja na kuacha tabia hatarishi,kufuata ushauri wa watoa huduma za afya namna ya kujikinga,kupata chanjo safi na salama.

chanjo safi na salama inapatikana kwa kufuata hatua zilizoainishwa na shirika la afya duniani(WHO) kwa kushirikiana na taasisi zengine kama CDC na FDA.

Utengenezwaji wa chanzo unaanza kwa kutafiti kisababishi cha ugonjwa husika,muundo wa kirusi au bacteria,tabia yake,kuzaliana kwake etc .Hii inaitwa exploratoty stage .Baada ya kukielewa kirusi au bacteria alivyo ndipo watalaam wanatengeneza chanjo.chanjo ikishapatikana inajaribishwa kwanza maabara na kwa wanyama.this is mandatory.hii inaitwa pre clinical stage.

sasa swali ambalo Mh Askovu GWAJIMA amekuwa akiuliza ni hili .je?chanjo hii ilipitia kwa wanyama kwanza?tumjibu kisayansi na siyo kisiasa.

Ukitoka preclinical stage unakuja phase one clinical stage ambabo chanjo inajaribiwa kwa watu 20-80 wenye kuwa na ugonjwa huo huo au unaofanana na huo.Akofu GWAJIMA ana haki ya kuuliza kama hili lilifanyika.

i:The goals of Phase 1 testing are to assess the safety of the candidate vaccine and to determine the type and extent of immune response that the vaccine provokes".

ukishatoka clinial trial phase unaingia clinical trial phase 2 ambapo chanjo inatolewa kwa mamia ya watu.lengo likiwa hili"The goals of Phase II testing are to study the candidate vaccine’s safety, immunogenicity, proposed doses, schedule of immunizations, and method of delivery.""Hapa wamesema schedule of immunizations.yani chanjo itolewe lini,mara ngapi,kwa watu gani,.nimeona jinsi watu wanavyojikanyaga mana leo wanasema ati wapewe high risk group mara wapewe watu wote mara sijui.Hili linaleta maswali mwengi.

Ukitoka phase 2 clinical trial unaingia phase 3 ambapo chanjo inatolewa kwa maelfu ya watu.maengo ya pahse 3 yakiwa haya:
One Phase III goal is to assess vaccine safety in a large group of people. Certain rare side effects might not surface in the smaller groups of subjects tested in earlier phases. For example, suppose that an adverse event related to a candidate vaccine might occur in 1 of every 10,000 people. To detect a significant difference for a low-frequency event, the trial would have to include 60,000 subjects, half of them in the control, or no vaccine, group (Plotkin SA et al. Vaccines, 5th ed. Philadelphia: Saunders, 2008).

Vaccine efficacy is tested as well. These factors might include 1) Does the candidate vaccine prevent disease? 2) Does it prevent infection with the pathogen? 3) Does it lead to production of antibodies or other types of immune responses related to the pathogen?

ASKOFU GWAJIMA anauliza chanjo ya nini ikiwa nikichanjwa nitaambukizwa,nitambukiza nitakufa kwa ugojwa huo huo.Tumujibu kisayansi siyo kisiasa.watengenezaji wasiingize siasa kwa maisha ya watu .wamesema hata ukichanja utaambukizwa,utaambukiza ,unaweza ukafa kwa ugonjwa wa covid 19 na pia usiache kufuata zile measures nyengine kama kuvaa barakoa,kunawa mikono,social distancing .ATI MAKALI YA UGONJWA YANAPUNGUA UKIJIPATIA CHANJO YA UVIKO. sawa

Kwa kizungu ni hivii:
Safe and effective vaccines are a game-changing tool: but for the foreseeable future we must continue wearing masks, cleaning our hands, ensuring good ventilation indoors, physically distancing and avoiding crowds.

Being vaccinated does not mean that we can throw caution to the wind and put ourselves and others at risk, particularly because research is still ongoing into how much vaccines protect not only against disease but also against infection and transmission. See WHO’s landscape of COVID-19 vaccine candidates

Mashirika ya CDC ,FDA,WHO,yameweka wazi kuwa chanjo ni hiari.sasa kwa nini wanasiasa ambao mahala pengine hawajasomea mambo ya afya,layman kabisa wanalazimisha chanjo kutolewa kwa nguvu.embu jiulize MBUNGE wa tanzania ambaye amemaliza la saba,sijui form 4,form 6 ,mwanasheria ,mwalimu wa kawaida kabisa yani mtu hajawahi kufanya utafiti wowote anataka kulazimisha chanjo kwa nguvu.!!!!!!common.embu heshimuni taluma za watu.na kama wewe unataluma ya afya au ni mtafiti weka elimu na uzalendo kwanza mbele achana na siasa kichwani.Madaktari wanaelewa ninacho kisema.Yani medical ethics.Hata kipimo huwezi kukifanya kama mgonjwa hataki.HUWEZI KUMPA MGONJWA DAWA KAMA HATAKI SEMBUSE CHANJO???

Kwa kizungu ni hivi"that they have the option to accept or refuse the vaccine""

kama ulikuwa hujui nimekuwekea hapo chini kutoka mahali japo kwa kizungu ,kabla ya kujipatika chanjo unatatakiwa uelewe kwanza

How will vaccine recipients be informed about the benefits and risks of any vaccine that receives an EUA?​

FDA must ensure that recipients of the vaccine under an EUA are informed, to the extent practicable given the applicable circumstances, that FDA has authorized the emergency use of the vaccine, of the known and potential benefits and risks, the extent to which such benefits and risks are unknown, that they have the option to accept or refuse the vaccine, and of any available alternatives to the product. Typically, this information is communicated in a patient “fact sheet.” The FDA posts these fact sheets on our website.

sasa povu la nini na kumtishia askofu GWAJIMA.siasa za nini?chanjo ni hiari.acheni kulazimisha watu.kama wewe unaona ni lazima kupata chanjo nenda ukachanjwe .ASKOFU GWAJIMA anachokifanya ni ku compliment missing doubtful information about the vaccine ambayo imetolewa kwa dharula huku madhara na faida yakijulikana,lakini pia kiwango cha madhara hayo na faida hizo kikiwa hakijulikani(that FDA has authorized the emergency use of the vaccine, of the known and potential benefits and risks, the extent to which such benefits and risks are unknown,.......).

kama chanjo imetolewa under EMERGENCY USE AUTHORIZATION kwamba wanayoitoa wahakikishe wanamonitor chanjo hiyo kwa sababu ni" Under an EUA, (FDA may allow the use of unapproved medical products, or unapproved uses of approved medical products in an emergency to diagnose, treat, or prevent serious or life-threatening diseases or conditions when certain statutory criteria have been met, including that there are no adequate, approved, and available alternatives)""" KOSA LA ASKOFU GWAJIMA LIKO WAPI?

sisi wanasiasa tuache siasa kwa afya za watu.chanjo ni hiari.nashauri kama kuna mtu atalazimishwa chanjo fungua kesi mahakamani na nakuhakikishia utawashinda mapema kabisa.

AFYA NI HAKI YAKO .KUTOA ELIMU NI HAKI .

NIWAKUMBUSHE WATU WOTE HASA WANASIASA KUWA KILA CHANJO NI HIARI YA MTU KUKUBARI AU KUKATAA KUCHANJWA.na KAMA CHANJO INAFANYA KAZI INAVYOTAKIWA INATAKIWA IKUKINGE NA UGONJWA.NDIYON MAANA CHANJO NI HIARI .KWAMBA WEWE UNAYECHANJWA HUTAAMBUKIZWA AU UKIAMBUKIZWA HAUFI.

Mbona hepatitis B Vaccine hatulazimishani?kwani hepatititis B Haiuwi?


Jioni njema
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
58,323
2,000
Bahati mbaya nchi zetu hizi huwezi zitenganisha na siasa...

Miezi kadhaa iliyopita wale waliotoroka kwenda kupata chanjo nje ya nchi, walisemwa kwamba wameleta corona ya ajabu nchini...

Hata sasa ni siasa ile ile tu inayotumika, utofauti ni kwamba siasa ya sasa imebadili uelekeo kutoka ule wa awali
 

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,331
2,000
Kwa ivyo we unadhani watu wamekurupuka tu, wakupe article inayoelezea process za kupata chanjo; halafu mamlaka zao zifungie macho hatua zake.
 

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,331
2,000Majaribio ya chanjo kwa watoto na yenyewe yalianza miezi mitano iliyopita na side effects zinaelezewa wazi kwenye TV
 

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
5,640
2,000
Ukweli uko wazi, chanjo hazijapitia stage zote zinazotakiwa kwa chanjo kukamilika.
Hawawezi kujibu kisayansi kwa sababu kisayansi hawajatimiza hatua zinazotakiwa.
Most likely, wanapoulizwa maswali magumu kama hayo wanakimbilia kwenye vitisho; usipochanjwa utaambukizwa, ukiambukizwa utakufa, nk.
Hakuna anayejua kwa hakika 'long term effects' za hizi chanjo.
Tunaohoji tusitishwe, tuna uhuru wa kuhoji.
 

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,331
2,000Angalia na hiyo documentary imetengenezwa kabla COVID kulipuka. Kwa hawa wenzetu ata intervention zao sio kwamba za kukurupuka watu walishafanya simulations zao ikitokea pandemic wana handle vipi.

Kwenye hiyo documentary utaona dawa zimekuja haraka kwa sababu nchi nyingi zilikuwa na research zao za kinga ambazo zimejikita ni kwa namna gani wanaweza tweak existing vaccine to fight future similar viruses wakishawaelewa kwa haraka.

So research nyingi azijaanzia from scratch kulikuwa na ongoing work already. Nachokubaliana na wewe ni kutokulazimishana chanjo.

Hila Gwajima lazima adhibitiwe he is too much, he has to behave.
 

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,114
2,000
Kwa

Angalia na hiyo documentary ata intervention zao sio kwamba za kukurupuka watu walishafanya simulations zao ikitokea pandemic wana handle vipi.

Kwenye hiyo documentary utaona dawa zimekuja haraka kwa sababu nchi nyingi zilikuwa na research zao za kinga ambazo zimejikita ni kwa namna gani wanaweza tweak existing vaccine to fight future viruses wakishawaelewa.

So research nyingi azijaanzia from scratch kulikuwa na ongoing work already. Nachokubaliana na wewe ni kutokulazimishana chanjo.

Hila Gwajima lazima adhibitiwe he is too much.
Kwa hiyo unakubariana na watu wengine kiwa ugonjwa huu waliutengeneza.why tiari waliashaanda chanjo before the outbreak? Why simulation before the outbreak? Why watulazimishe kupata chanjo?by the where the pandemic is no lithal kama mnavyotaka kuamninisha watu.only 2.1% die from the pandemic.

However let's continue taking measures tunazoshauriwa na watalaam.
 

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,331
2,000
Kwa

Kwa hiyo unakubariana na watu wengine kiwa ugonjwa huu waliutengeneza.why tiari waliashaanda chanjo before the outbreak? Why simulation before the outbreak? Why watulazimishe kupata chanjo?by the where the pandemic is no lithal kama mnavyotaka kuamninisha watu.only 2.1% die from the pandemic.

However let's continue taking measures tunazoshauriwa na watalaam.

Hiyo documentary kama ilikuwa by design a social psychological preparation on what is to come or coincidence that is beyond me.

But either way wazungu kwenye maswala ya national security wanafanya risk assessment kwenye kila kitu wanajua mtu akija kuwavamia ataanza kutwanga wapi (most likely target ni oil reserves) kwa ivyo wana underground reserves za siri kila kona ya nchi. Wanapima chakula wataingiza vipi, morale ya nchi na hatua zipi za kivita zinahitajika etc na kujiandaa.

Sasa pandemic kwao sio kitu kipya washapambana SARS virus for decades wanajua madhara yake na wanaelewa ni influenza like of virus ila wapo wa aina tofouti. Based on previous knowledge njia sahihi ya kupambana na magonjwa kama hayo ni immunisation na wanajua to do that requires tweaking white cells; ndio maana baadhi ya hizo vaccine zinatengenezwa na egg white (ni white cells too).

So what they do in research ni kuweka new virus kweny ‘egg white’ to see how it changes and build on that to make the new vaccine.

Kwenye hiyo documentary if you watch it utaona kipindi icho walikuwa wanatafuta njia rahisi ya ku tweak hizo vaccine even further.

Lakini sio kwamba ilikuwa akitokea new wanaanza upya by then they knew what needs to be done to get the vaccine quickly.

Hizo simulation zingine ni kujua how the virus spread in society na ili wapange mbinu za kupunguza maambukizi.

Mjomba mzungu kajipanga kwa mazingira yao; kule ukisikia katibu mkuu wa wizata (watu wanao ongoza nchi kama UK jua sio mtu tia maji tia maji kabisa) they take security serious.

Yaani mtu aende tamper na source ya kupokea mafuta kama ilivyo Tanzania ina maana it’s easily accessible; dah hiyo sio kashfa ya kufukuza mtu nchi za wenzetu ni serikali kujiuzulu na kuitisha uchaguzi it is as bad as they can get. Kwetu haa ni utani utakaoishia JF sasa ngoja siku mtu alilipue ndio tutaona madhara yake kwenye uchumi.
 

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
1,170
2,000
Gwajima haulizi kutaka kujua, ameshafikw conclusion yake tayari. Kama Magufuli alivyosema chanjo haifai, ndivyo maoni ya Gwajima yalivyo.
Majibu ya maswali yake yote yako, hata huko anakookoteza conspiracies kuna majibu ya maswali yeke. Anachofanya anachagua yanayolisha mlengo wake.
 

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,557
2,000
Hoja zako ni za msingi katika mahudhui ya Kiyasansi na tiba. Chanjo zote bado ziko kwenye majaribio
 

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,557
2,000Angalia na hiyo documentary imetengenezwa kabla COVID kulipuka. Kwa hawa wenzetu ata intervention zao sio kwamba za kukurupuka watu walishafanya simulations zao ikitokea pandemic wana handle vipi.

Kwenye hiyo documentary utaona dawa zimekuja haraka kwa sababu nchi nyingi zilikuwa na research zao za kinga ambazo zimejikita ni kwa namna gani wanaweza tweak existing vaccine to fight future similar viruses wakishawaelewa kwa haraka.

So research nyingi azijaanzia from scratch kulikuwa na ongoing work already. Nachokubaliana na wewe ni kutokulazimishana chanjo.

Hila Gwajima lazima adhibitiwe he is too much, he has to behave.
Kwenye bandiko kuu kuna maswali ya kisayansi yasiyo na majibu. Badala ya kuyajibu, nikiamini wewe una uelewa, unaweka ushahidi wa ubora wa chanjo kutoka kwa watengenezaji. Upungufu wa ushahidi huo ni kukosekana kwa taarifa za afya za hao "guniea pigs" baada ya chanjo. Kama unazo, ITAPENDEZA ukiziweka hapa
 

Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,313
2,000
Mbongo akikariri masomo darasani anajifanya bingwa kweli wakati siku zote miongozo ya kitabibu tunapokea kutoka kwa wazungu,mfyuuuu.
 

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,331
2,000
Kwenye bandiko kuu kuna maswali ya kisayansi yasiyo na majibu. Badala ya kuyajibu, nikiamini wewe una uelewa, unaweka ushahidi wa ubora wa chanjo kutoka kwa watengenezaji. Upungufu wa ushahidi huo ni kukosekana kwa taarifa za afya za hao "guniea pigs" baada ya chanjo. Kama unazo, ITAPENDEZA ukiziweka hapa

Unataka ushahidi gani wakati nchi ambazo washachanja adults kwa asilimia kubwa sasa hivi kwenye hizo jamii washatoa COVID restriction zote.

Na mwezi wa tisa wanafikiria kutos COVID passport kwa watu waliokuwa fully vaccinated waende wanapotaka duniani.

Restriction baadhi ya nchi ni hatua za taasisi binafsi kwa sasa kuamua lakini kwa upande wa serikali nchi kama England na Scotland sasa hivi watu wanajiachia tu japo COVID bado ipo.

Wanaopata wengi ni vijana ambao awajachanjwa na wale wa risk group ni kwa waliokuwa wabishi.

Hao vijana wengi ni under 30 years ndio ambao bado hawana chanjo na wakipata COVID watu laki na nusu kwa week ata mia kati yao awaendi hospitali, wengi wanakaa nyumbani tu. Asilimia kubwa ya hao waliopo mahospitali wengi leo na wanaokufa ni wale design ya kina Gwajima.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom