Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

Unataka ushahidi gani wakati nchi ambazo washachanja adults kwa asilimia kubwa sasa hivi kwenye hizo jamii washatoa COVID restriction zote.

Na mwezi wa tisa wanafikiria kutos COVID passport kwa watu waliokuwa fully vaccinated waende wanapotaka duniani.

Restriction baadhi ya nchi ni hatua za taasisi binafsi kwa sasa kuamua lakini kwa upande wa serikali nchi kama England na Scotland sasa hivi watu wanajiachia tu japo COVID bado ipo.

Wanaopata wengi ni vijana ambao awajachanjwa na wale wa risk group ni kwa waliokuwa wabishi.

Hao vijana wengi ni under 30 years ndio ambao bado hawana chanjo na wakipata COVID watu laki na nusu kwa week ata mia kati yao awaendi hospitali, wengi wanakaa nyumbani tu. Asilimia kubwa ya hao waliopo mahospitali wengi leo na wanaokufa ni wale design ya kina Gwajima.
Umetoa ushahidi wa Uingereza kwa kile kinachoonekana. Kwa kuwa hukuweka takwimu hali ya sasa, naliacha lilivyo.

Linalo nigusa ni kinachoendelea kwenye nchi jirani ambako, pamoja na chanjo, ugonjwa unazidi kupamba moto, hasa hasa Rwanda ambako takwimu, hadi jana, hazipendezi, ikizingatiwa idadi ya watu 13,309,746 (15/8/2021) na walikuwa wamechukua hatua ya lockdown:
︎ Waliochajwa kikamilifu (dose 2), 888,908;
︎ Waliochanjwa dose moja (1) ni 30,932;
︎ Maambukizi mapya ni 466; na
︎ katika siku 7 maambukizi ni 3,651
 
Ukweli uko wazi, chanjo hazijapitia stage zote zinazotakiwa kwa chanjo kukamilika.
Hawawezi kujibu kisayansi kwa sababu kisayansi hawajatimiza hatua zinazotakiwa.
Most likely, wanapoulizwa maswali magumu kama hayo wanakimbilia kwenye vitisho; usipochanjwa utaambukizwa, ukiambukizwa utakufa, nk.
Hakuna anayejua kwa hakika 'long term effects' za hizi chanjo.
Tunaohoji tusitishwe, tuna uhuru wa kuhoji.
Wameshasema kuwa chanjo zimeruhusiwa kwa emergency use. Emergency haifuati utaratibu mrefu.

Hata hivyo majaribio yameshafanyika kwa watu na matokeo yanajulikana. Kwa kuangalia cost and benefit ndiyo zikaruhusiwa.

Gwajima ana agenda yake ndiyo maana kang"ang"ana na mRNA... Wakati chanjo zipo za aina tofauti. Kama anataka chanjo zilizotumia traditional methods kutengeneza nazo zipo.

Kwa yeye kujifanya anajua sana mambo, na anasoma sana anashindwaje kujua kuwa Corona virus siyo new virus. Corona virus wameshaua huko nyuma na research zimeanza Siku nyingi. Tofauti ni kuwa Corona virus wa SARS siyo hatari kama wa sasa Cov 2.
 
Kinachonisikitisha ni kuwa hawa viongozi wetu hawatuelezi juu ya wale waliochanja hivi sasa na wamepata matatizo kutokana na hii chanjo, huyu naibubwaziri si ndie alikuwa mstari wa mbele kusifia nyungu hadi akapewa huo uwaziri baada ya aliyekuwa naibu wazirikusema kupiga nyungu ni kuunguza makoo bure na akatumbuliwa na mwendazake , yeye mbona hakutupa sababu za kisayansi kuhusu nyungu. Hata akina Jafo si ndio walikuwa wanasifia nyungu je walithibitisha wapi kisayansi kuhusu hizo nyungu?
 
Wameshasema kuwa chanjo zimeruhusiwa kwa emergency use. Emergency haifuati utaratibu mrefu.

Hata hivyo majaribio yameshafanyika kwa watu na matokeo yanajulikana. Kwa kuangalia cost and benefit ndiyo zikaruhusiwa.

Gwajima ana agenda yake ndiyo maana kang"ang"ana na mRNA... Wakati chanjo zipo za aina tofauti. Kama anataka chanjo zilizotumia traditional methods kutengeneza nazo zipo.

Kwa yeye kujifanya anajua sana mambo, na anasoma sana anashindwaje kujua kuwa Corona virus siyo new virus. Corona virus wameshaua huko nyuma na research zimeanza Siku nyingi. Tofauti ni kuwa Corona virus wa SARS siyo hatari kama wa sasa Cov 2.
Mkuu badala ya kumshambulia Gwaji boy tu tupeni na matokeo ya wale waliochanjwa, fuatilieni ndio utajua kwanini wengi hawaamini hiyo chanjo
 
Gwajima haulizi kutaka kujua, ameshafikw conclusion yake tayari. Kama Magufuli alivyosema chanjo haifai, ndivyo maoni ya Gwajima yalivyo.
Majibu ya maswali yake yote yako, hata huko anakookoteza conspiracies kuna majibu ya maswali yeke. Anachofanya anachagua yanayolisha mlengo wake.
Sijui kwanini kila nikimwona Askofu Gwajima anahubiri au anazungumza mahala popote pale hudhani ni Mgonjwa wa Akili amezidiwa na anahitaji Tiba ya haraka ili asije akafanya tukio baya kwa wenye Akili timamu.
 
If you think dealing specifically with Gwajima will help you! The tune is still not clear! Let's blend it
People are wrongly accusing Gwajiboy unknown to them that he is well informed. He spoke of nanotechnology, who know about it.

I searched literature and this what I found out. Nanotechnology is the understanding and control of matter (gases, liquids and solids) at the nanoscale, at dimensions between approximately 1 and 100 nanometers, where unique phenomena enable novel applications. Application depends on the properties of the matter. Some nanostructured materials are stronger or have different magnetic properties compared to other forms or sizes of the same material. Others are better at conducting heat or electricity. They may become more chemically reactive or reflect light better or change color as their size or structure is altered.

If that is what nanotechnology is, then Gwaiboy's argument that the COVID-19 vaccine is tempered (nanostructured) to control recipients is food for thought
 
Hakuna mtu mpumbavu ka Dr Kama Upara Mollel huyu jamaa anatumia nguvu kweli kuhasisha Chanjo unajiuliza hyu kichaaa au mwendawazimu anakuja na vitisho kana kwamba wale ambao hatujachanjwa ni wakosefu jinga hili Mollel
Bahati mbaya nchi zetu hizi huwezi zitenganisha na siasa...

Miezi kadhaa iliyopota wale waliotoroka kwenda kupata chanjo nje ya nchi, walisemwa kwamba wameleta corona ya ajabu nchini...

Hata sasa ni siasa ile ile tu inayotumika, utofauti ni kwamba siasa ya sasa imebadili uelekeo wa awali
 
Umetoa ushahidi wa Uingereza kwa kile kinachoonekana. Kwa kuwa hukuweka takwimu hali ya sasa, naliacha lilivyo.

Linalo nigusa ni kinachoendelea kwenye nchi jirani ambako, pamoja na chanjo, ugonjwa unazidi kupamba moto, hasa hasa Rwanda ambako takwimu, hadi jana, hazipendezi, ikizingatiwa idadi ya watu 13,309,746 (15/8/2021) na walikuwa wamechukua hatua ya lockdown:
︎ Waliochajwa kikamilifu (dose 2), 888,908;
︎ Waliochanjwa dose moja (1) ni 30,932;
︎ Maambukizi mapya ni 466; na
︎ katika siku 7 maambukizi ni 3,651
Rwanda wanapima COVID bure sisi tuliamua kupima ni sehemu ya biashara.

Halafu kuna swala la elimu Tanzania ata ingekuwa kupima bure response rate sidhani ingekuwa sawa ukizingatia Magufuli alivyoichukulia Corona. Matokeo yake serikali mpaka leo bado inapambana kushawishi umuhimu wa chanjo.

Rwanda wametumia nguvu na resources kutoa elimu watu kujitokeza na hakuna watu kama hakina Bishop Rashid kule.

Halafu inategemea kwa siku unapima watu wangapi na wangapi unawakuta na virus ili uweke uwiano wa hizi nchi mbili.

Either way nina uhakika tungekuwa tunapima bure na watu wanajitokeza idadi yetu ingekuwa zaidi ya Rwanda.

Moreover only kwa kujilinganisha idadi ya wagongwa waliopo hospitalini baina ya hizo nchi mbili ndio tunaweza pata picha. Walau hizo info wizara ya afya wanazo.
 
Hoja yako ya watu kupimwa ingekuwa na mashiko kama kipimo cha UVIKO-19 kingekuwa "valid & reliable". Taarifa za kisayansi zimethibitisha kuwa aina mpya (variant) ya UVIKO-19 haina jinsi ya kupimwa. Hata ya awali (swab) nayo ilitoa matokeo tatanishi
 
ninacho kumbuka kipindi gwajima yupo bungeni akipinga hili alikuwa jirani na jirani yake anayemtishia sasa akitikisa kichwa kwa furaha sana na kuunga mkono ila kwa sasa naona tunatetea tumbo,,,,,,, hapa shida ni tumbo shida tumbo! wakati ule walikuwepo hawa wataalumu kwa nini hawakusimama. walitushawishi na kutuaminisha tunaweza kupona kwa dawa zetu nakumbuka walikuwa na brenda wakifanya live demonstration, leo imekuwaje tena shida TUMBO! tunatetea TUMBO na ajira zao. tusiwaamini akili kichwani kwetu na sisi kama raia tuna akili zetu.
 
Ukweli uko wazi, chanjo hazijapitia stage zote zinazotakiwa kwa chanjo kukamilika.
Hawawezi kujibu kisayansi kwa sababu kisayansi hawajatimiza hatua zinazotakiwa.
Most likely, wanapoulizwa maswali magumu kama hayo wanakimbilia kwenye vitisho; usipochanjwa utaambukizwa, ukiambukizwa utakufa, nk.
Hakuna anayejua kwa hakika 'long term effects' za hizi chanjo.
Tunaohoji tusitishwe, tuna uhuru wa kuhoji.

Ukweli ni kwamba tafiti zimefanyika muda mrefu tokea ilipoibuka Sars ile ya mwanzo, then Mers na sasa hii Sars ya 2019. Ni jamii moja ya virus vilivyopachikwa jina la corona virus na vimekuwa vikisababisha homa ya mapafu...

Hivyo kwa muda mrefu wenzetu walikuwa maabara kujaribu kuvielewa virus hivyo ili itapokuja kutokea outbreak nyingine waweze kuvidhibiti kwa ama chanjo au madawa...
 
Sijui kwanini kila nikimwona Askofu Gwajima anahubiri au anazungumza mahala popote pale hudhani ni Mgonjwa wa Akili amezidiwa na anahitaji Tiba ya haraka ili asije akafanya tukio baya kwa wenye Akili timamu.
P
 
Hoja yako ya watu kupimwa ingekuwa na mashiko kama kipimo cha UVIKO-19 kingekuwa "valid & reliable". Taarifa za kisayansi zimethibitisha kuwa aina mpya (variant) ya UVIKO-19 haina jinsi ya kupimwa. Hata ya awali (swab) nayo ilitoa matokeo tatanishi
Suppose hoja yako ya vipimo ipo sahihi hao maambukizi mapya 466 ya Rwanda uliyoleta mwenyewe hao watu wamebainika vipi?

We na huyo Gwajima mnafanana kifikra.
 
Hao wanaopima Rwanda wanatumia vipimo vinavyotumika kote duniani vyenye kutoa majibu tatanishi. Kimsingi majibu hayo yanatumika kibiashara zaidi kuliko madhumuni yake. Si ajabu mfano wako wa Uingereza, hapo awali, una malengo yale yale ya kibiashara.

Hivyo naungana na Gwajima kuuliza maswali yasiyo na majibu. Kwa kuwa hayana majibu ni budi kwenda "field" kupata majibu. Km watengenezaji wa chanjo hawajathibitisha chanjo inatoa kinga zaidi ya kudai kuwa mwenye chanjo ataambukizwa na kuambukiza, tofauti na madhumuni ya chanjo.
 
I am not even going to ask the rationale of you introducing stats to compare, only later refute their significance.

Just amazing

Cha Msingi Gwajima kaitwa kuthibitisha madai yake sasa wewe na yeye muende na chemical detectors zenu gods knows which ones zinazotumika kuonyesha hizo vaccine zimejaa nanotechnology; usiende huko ukaomba pH test I don’t think it useful in magnetism detection of any sort.

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom