Chanjo ya kwanza ya Malaria yaanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1705989950796.png
Chanjo ya Ugonjwa wa Malaria inayojulikana kama RTS,S, imeanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika baada ya kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ikiwa ni baada ya Majaribio yaliyofanyika katika Nchi za Ghana, Malawi na Kenya.

Pia, imeelezwa kuwa Chanjo nyingine iliyoidhinishwa ni R21/Matrix-M, iliyotengenezwa na Chuo Kikuu cha Oxford kwa usaidizi wa Taasisi ya Serum ya India, nayo inatarajiwa kuanza kutumika barani Afrika baadaye mwaka 2024.

Chanjo hizo zimeelezwa zitakuwa na msaada wa kupunguza Wagonjwa na Vifo vinavyotokana na Malaria ambapo takwimu zinaonesha takriban Watu Milioni 249 waliugua Malaria mwaka 2022 huku Vifo vikizidi 619,000 na asilimia kubwa wakiwa ni Watoto.

Aidha, mwaka 2021, WHO ilisema Afrika ilichangia 95% ya Wagonjwa na Vifo vya Malaria huku nusu ya vifo vyote duniani vikitokea katika nchi 4 ambazo ni Nigeria (31.3%), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (12.6%), Tanzania (4.1%) na Niger (3.9%).

===============

Cameroon today launched the RTS,S malaria vaccine into its routine national immunization services, becoming the first country to do so outside the malaria vaccine pilot programme that was carried out in Ghana, Kenya and Malawi. The introduction comes as efforts gather pace to scale up vaccination against the disease in high risk areas in Africa.

The vaccine is being rolled out across 42 health districts in the country’s 10 regions in public and private health facilities. The launch comes after Cameroon received 331 200 doses of the vaccine in November 2023. More doses are expected in coming weeks.

“The vaccine is an additional tool for malaria control. It has been chosen by the country based on its pre-qualification, ensuring guaranteed quality, efficacy and safety for inclusion in the vaccination programme,” said Dr Shalom Ndoula, Permanent Secretary of the Expanded Programme on Immunization in Cameroon. “It will specifically target all children aged six months as of 31 December 2023.”

In preparation for the launch, World Health Organization (WHO) and other partners including GAVI, the Vaccine Alliance, UNICEF, Africa Centre for Disease Control and Prevention, and the Clinton Health Access Initiative supported the national health authorities to strengthen key vaccine introduction measures. For an effective vaccine introduction, it is essential that countries put in place comprehensive preparations that include adopting the national vaccination policy and guidelines, integrating the new vaccine into the delivery schedule of other vaccines and health interventions, developing an operational roll out plan, training of healthcare workers, investing in infrastructure, technical capacity, vaccine storage, community engagement and demand generation, and ensuring formative supervision, monitoring and evaluation of the process to ensure quality vaccine delivery.

“The launch of the malaria vaccine marks a significant step in the prevention and control of the disease, especially in protecting children against severe disease and death,” said Dr Phanuel Habimana, WHO Representative in Cameroon. “We’re committed to supporting the national health authorities to ensure an effective rollout of the malaria vaccine together with scale up of other malaria control measures.”

Cameroon is among the 11 countries most affected by the disease globally. The country recorded more than 3 million cases and over 3800 deaths in 2021. Cameroon has made the fight against malaria one of the priorities of its National Health Development Plan. With the support of partners, malaria control and prevention efforts over the years have helped to progressively lower the burden of the disease in the country.

“I chose to vaccinate my twins because I've seen how harmful malaria can be,” said Helene, whose twin children were the first to receive the malaria vaccine. “I'm committed to ensuring that my children get all the four doses of the vaccine and I'll take other steps like making sure they sleep under mosquito nets.”

Since 2019, Ghana, Kenya and Malawi have been administering the RTS,S vaccine in a four-dose schedule to children from around 5 months of age in selected districts as part of the pilot programme, known as the Malaria Vaccine Implementation Programme (MVIP). More than 2 million children have been reached with the malaria vaccine in the three African countries through MVIP with over 8 million doses administered – resulting in a remarkable 13% drop in all-cause mortality in children age-eligible to receive the vaccine, and substantial reductions in severe malaria illness and hospitalizations.

Nine African countries are poised to launch the malaria vaccine this year. In addition to Cameroon, Benin, Burkina Faso and Liberia have received the vaccine and are finalizing vaccine rollout plans.

WHO, Gavi, the Vaccine Alliance, UNICEF and other partners are working closely with the African countries that are introducing the malaria vaccine to ensure delivery and successful rollout of the malaria vaccine.

Malaria burden is the highest on the African continent, which accounted for approximately 94% of global malaria cases and 95% of related deaths in 2022. There were 249 million malaria cases globally in 2022, leading to 608 000 deaths. Of these deaths, 77% were children under 5 years of age, mostly in Africa.

WHO
 
siamini hayo mambo ya chanjo wazungu wanahangaika sana na afrika ukute hapo wanazuia msizaliane huko au wana[andikiza mambo yao kwa watoto mtashituka mbele ndio mtajua hamjui

malaria tulizaliwa ipo tu watuache na maisha yetu kama wanatupenda wajenge barabara sio kuleta chanjo
 
Masikini watoto wetu tunashindwa kuwatetea wenyewe na tuna watu wajinga watakubali unyama huu. kwa nini tusiende moja kwa moja kuzuia chanzo cha ugonjwa wa malaria ambacho ni mbu bila kugusa watoto wetu? Kwa nini tusiweke mpango kabambe wa kuua mbu. Kwa teknolojia ya sasa hata electronically tunaweza kuua hawa mbu wakawa extict kabisa.
 
siamini hayo mambo ya chanjo wazungu wanahangaika sana na afrika ukute hapo wanazuia msizaliane huko au wana[andikiza mambo yao kwa watoto mtashituka mbele ndio mtajua hamjui

malaria tulizaliwa ipo tu watuache na maisha yetu kama wanatupenda wajenge barabara sio kuleta chanjo

Punguza ujinga na upumbafu,hujui watu wanakesha maabara kufanya tafiti za kusaidia na kuboresha maisha ya watu,ngombe kama wewe siku ukisikia chanjo ya ukimwi utaikimbilia bila kuhoji chochote.
 
Siyo mzoefu sana, na sijafuatilia kwa undani ila naamini hapa yapo majibu. Hivi malaria ipo Africa tu?, Na hizi chanjo Africa nzima hakujawa na wataalamu wakuzitengeneza??, Kama wapo kwanini Oxford kuja Africa na siyo Africa yenyewe. Ni wazo tu nahitaji kielewa labda sababu ya mtazamo wangu duni
 
Afrika ndio inaongoza kwa ugonjwa na vifo vya malaria,hiyo ndio motive ya kwanza
 
Punguza ujinga na upumbafu,hujui watu wanakesha maabara kufanya tafiti za kusaidia na kuboresha maisha ya watu,ngombe kama wewe siku ukisikia chanjo ya ukimwi utaikimbilia bila kuhoji chochote.
Kwa nini kampuni za Chanjo zina kinga ya kutoshitakiwa? Hivi wewe unajua hata sheria ya 1986 aliyoisaini rais Ronald Reagan kulinda makampuni ya chanjo? Kwa nini yalindwe wakati kampuni za dawa za kawaida zinashitakiwa kama dawa zitaleta madhara?
 
Chanjo ya Ugonjwa wa Malaria inayojulikana kama RTS,S, imeanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika baada ya kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ikiwa ni baada ya Majaribio yaliyofanyika katika Nchi za Ghana, Malawi na Kenya.

Pia, imeelezwa kuwa Chanjo nyingine iliyoidhinishwa ni R21/Matrix-M, iliyotengenezwa na Chuo Kikuu cha Oxford kwa usaidizi wa Taasisi ya Serum ya India, nayo inatarajiwa kuanza kutumika barani Afrika baadaye mwaka 2024.

Chanjo hizo zimeelezwa zitakuwa na msaada wa kupunguza Wagonjwa na Vifo vinavyotokana na Malaria ambapo takwimu zinaonesha takriban Watu Milioni 249 waliugua Malaria mwaka 2022 huku Vifo vikizidi 619,000 na asilimia kubwa wakiwa ni Watoto.

Aidha, mwaka 2021, WHO ilisema Afrika ilichangia 95% ya Wagonjwa na Vifo vya Malaria huku nusu ya vifo vyote duniani vikitokea katika nchi 4 ambazo ni Nigeria (31.3%), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (12.6%), Tanzania (4.1%) na Niger (3.9%).

===============

Cameroon today launched the RTS,S malaria vaccine into its routine national immunization services, becoming the first country to do so outside the malaria vaccine pilot programme that was carried out in Ghana, Kenya and Malawi. The introduction comes as efforts gather pace to scale up vaccination against the disease in high risk areas in Africa.

The vaccine is being rolled out across 42 health districts in the country’s 10 regions in public and private health facilities. The launch comes after Cameroon received 331 200 doses of the vaccine in November 2023. More doses are expected in coming weeks.

“The vaccine is an additional tool for malaria control. It has been chosen by the country based on its pre-qualification, ensuring guaranteed quality, efficacy and safety for inclusion in the vaccination programme,” said Dr Shalom Ndoula, Permanent Secretary of the Expanded Programme on Immunization in Cameroon. “It will specifically target all children aged six months as of 31 December 2023.”

In preparation for the launch, World Health Organization (WHO) and other partners including GAVI, the Vaccine Alliance, UNICEF, Africa Centre for Disease Control and Prevention, and the Clinton Health Access Initiative supported the national health authorities to strengthen key vaccine introduction measures. For an effective vaccine introduction, it is essential that countries put in place comprehensive preparations that include adopting the national vaccination policy and guidelines, integrating the new vaccine into the delivery schedule of other vaccines and health interventions, developing an operational roll out plan, training of healthcare workers, investing in infrastructure, technical capacity, vaccine storage, community engagement and demand generation, and ensuring formative supervision, monitoring and evaluation of the process to ensure quality vaccine delivery.

“The launch of the malaria vaccine marks a significant step in the prevention and control of the disease, especially in protecting children against severe disease and death,” said Dr Phanuel Habimana, WHO Representative in Cameroon. “We’re committed to supporting the national health authorities to ensure an effective rollout of the malaria vaccine together with scale up of other malaria control measures.”

Cameroon is among the 11 countries most affected by the disease globally. The country recorded more than 3 million cases and over 3800 deaths in 2021. Cameroon has made the fight against malaria one of the priorities of its National Health Development Plan. With the support of partners, malaria control and prevention efforts over the years have helped to progressively lower the burden of the disease in the country.

“I chose to vaccinate my twins because I've seen how harmful malaria can be,” said Helene, whose twin children were the first to receive the malaria vaccine. “I'm committed to ensuring that my children get all the four doses of the vaccine and I'll take other steps like making sure they sleep under mosquito nets.”

Since 2019, Ghana, Kenya and Malawi have been administering the RTS,S vaccine in a four-dose schedule to children from around 5 months of age in selected districts as part of the pilot programme, known as the Malaria Vaccine Implementation Programme (MVIP). More than 2 million children have been reached with the malaria vaccine in the three African countries through MVIP with over 8 million doses administered – resulting in a remarkable 13% drop in all-cause mortality in children age-eligible to receive the vaccine, and substantial reductions in severe malaria illness and hospitalizations.

Nine African countries are poised to launch the malaria vaccine this year. In addition to Cameroon, Benin, Burkina Faso and Liberia have received the vaccine and are finalizing vaccine rollout plans.

WHO, Gavi, the Vaccine Alliance, UNICEF and other partners are working closely with the African countries that are introducing the malaria vaccine to ensure delivery and successful rollout of the malaria vaccine.

Malaria burden is the highest on the African continent, which accounted for approximately 94% of global malaria cases and 95% of related deaths in 2022. There were 249 million malaria cases globally in 2022, leading to 608 000 deaths. Of these deaths, 77% were children under 5 years of age, mostly in Africa.

WHO
Huyu billgate atamaliza Waafrika

Kila chanjo wanaanzia Afrika?watoto wa Europe kwa nini wasiwachanje hao?
 
siamini hayo mambo ya chanjo wazungu wanahangaika sana na afrika ukute hapo wanazuia msizaliane huko au wana[andikiza mambo yao kwa watoto mtashituka mbele ndio mtajua hamjui

malaria tulizaliwa ipo tu watuache na maisha yetu kama wanatupenda wajenge barabara sio kuleta chanjo
Hii ni project ya billgate aliweka mzigo wa kitita cha dola milioni 168 mwaka jana kwa ajili ya chanjo

Huyu jamaa kila chanjo anahusika,Waafrika kwa kupenda misaada huyu jamaa atatumaliza

Billgate is a Demon 👿
 
Kwani mtoto kama hajapata hii chanjo nini kitatokea mwanangu siwezi kubari achomwe
 
Huyu billgate atamaliza Waafrika

Kila chanjo wanaanzia Afrika?watoto wa Europe kwa nini wasiwachanje hao?
Chanjo zipo kila mahali ndugu, Marekani watoto wanachanjwa chanjo zaidi ya 70, tena mtoto akizaliwa tuu wanamdunga hep B (ugonjwa mabao ni wa zinaa, sasa mtoto anahitaji chanjo hiyo ya nini?).Sasa hivi wanampango wa kuziongeza mara mbili, yaani chanjo 150 kabla mtoto hajafikisha miaka 18.
 
Watoto wale wanaozaliwa mbali na hospital mfano miaka ya nyuma mtu alikua anazaa nyumbani na Maisha yanaendelea mtoto hapelekwi hospital wala nini
 
Back
Top Bottom